Sio Uwoga Unataka Niingie BaraniBarani Kuupinga Ukweli? Mimi sio Kichaaa kama BAVICHA mnaoishi Maisha ya Kufikilika na Kuukataa uhalisia MAGUFULI 5 TENA.Wewe itakuwa wanakuchapia maana si kwa woga huo mtoto wa kiume.
Duh ndo akili zako zilipoishia hapo?Hahaha Unamwones Huruma Eeeh ,Au Anakunyoosha Mpka Hujielewi ,unabaki unajifariji kwa Matusi YANI KAMA UNAMCHUKIA MAGU JIANDAE MIAKA 5 TENA YA MAUMIVU YA MOYO MAANA MTAKUFAWENGI BAVICHA KWA PRESSURE
Na waliomchagua,tuseme watu laki 3 wamempa mpinzani na watu laki 2 wamempa CCM!Hao laki 2 na wenyewe wakale wapi?EEee! kila mtu akale aliko peleka mboga
Katika uchaguzi kuna kupata na kukosa. Ni hiyari yako kuchagu fungu la kukosa au la kupata. Ukichagua la kukosa basi kubali kukosa. Ukichagua fungu la kukosa utakachopata ni kile statutoly. Ila yale ambayo yanapatikana kwa preference usahau.Na waliomchagua,tuseme watu laki 3 wamempa mpinzani na watu laki 2 wamempa CCM!Hao laki 2 na wenyewe wakale wapi?
Nways ukija kwenye mantiki,mnaonaje mbadili katika ili iwe kwenye maandishi kuwa serikali inayochaguliwa itapeleka maendeleo kule tu iliposhinda viti vya ubunge na udiwani?
Hivi mmefikia hatua ya kujitoa ufahamu kwa kiwango hiki?Akili zenu ziko sawasawa kweli?
Futeni mfumo wa vyama vingi ili kuondoa huu mkanganyiko kwa wananchi!
Wananchi muwaambie wako huru kuwa chama chochote na kupigia kura chama chochote kwenye katiba,halafu mnakuja kuwaambia wakichagua cha fulani basi maendeleo wasahau!Hii ni nini?
Inawezekana ww unayemfatilia ndio umechanganyikiwa....!Hivi mheshimiwa yupo sawa kweli?
heri angekuwa na msimamo kwenye kitu kimoja na siyo kuwa mnafki ,anadhani asubuhi anahubiri maendeleo hayana vyama jioni anahubiri mkiniletea wabunge wa upinzani sintawajengea hii barabara ,mzee ni mnafki sanaAmetugawa sana kikabila, na kisiasa, anayoyaongea na anayotenda ni vitu viwili tofaut kabisa
Dkt. Magufuli asubuhi hii amefanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Misungwi jijini Mwanza na kuwataka Watanzania tupendane.
Dkt. Magufuli amewasihi wananchi kutobaguana kwa misingi ya chama cha siasa, dini au kabila kwa mustakabali mwema wa taifa letu.
Kadhalika Dkt. Magufuli amewataka wanamisungwi kuchagua Rais, mbunge na diwani kutoka CCM ili waendeleze maendeleo yaliyo katika ilani ya uchaguzi.
Source: Channel Ten
Maendeleo hayana vyama!
==============
Rais Magufuli leo Jumanne anaendelea na kampeni za kuwania Urais na kuwanadi Wabunge na Madiwani wa chama anachokiongoza. Amepita Misungwi jimbo lilikuwa linaongozwa na waziri wa zamani wa mambo ya ndani, Charles Kitwanga ambalo kwa sasa CCM ilimpitisha ndugu Mnyeti, Hii ni sehemu ya hotuba yake fupi.
DKT MAGUFULI: Ninachowaambia mimi niko nyumbani, ninawashukuru sana watu wa Misungwi mmepitisha mbunge bila kupingwa, mmepitisha madiwani bila kupingwa, hongereni sana. Nimebaki mimi tu kwa sababu hamnipendi, hamjanipitisha bila kupingwa, wangapi mtanipitisha bila Kupingwa? Asanteni sana.
Nataka nieleze ukweli, mlikuwa na mbunge hapa, Kitwanga alikuwa ananisumbua sana baadhi ya miradi. Ni lazima tujue historia ilikotoka, mahali tulipo na tunapoenda na Mnyeti atakuwa Mbunge.
Katika mipango ambayo imefanyika hapa ni mingi, hata hili barabara halikuwepo, katika kipindi cha miaka mitano tulilifanya na alienisumbua ni Kitwanga, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Nataka niyazungumze haya, bahati nzuri katika kazi zetu huwa sio za maisha. Palikuwa na Nyerere akamaliza muda wake, akaja Mwinyi akamaliza miaka yake kumi, akaja Mkapa akamaliza miaka yake kumi, akaja Kikwete miaka yake kumi na mimi mkitipisha hapa imebaki miaka mitano tu watakuja na wengine.
Hapa tuna mradi mkubwa wa maji ambao utagharimu bilioni 12 utakaonufaisha watu zaidi ya sitini na nne elfu.
Tumeanza vizuri, naomba mtuamini, naomba muendelee kuiamini CCM na hasa mnaona kazi nyingine ambayo inafanyika hapo Kigongo-Busisi, tunatengeneza daraja ambalo halijawahi kuonekana Tanzania na Afrika mashariki, daraja la kilomita 3.2.
Sasa msiache mkanichagua, yakaja mengine yakafuta haya mamiradi kwa sababu gharama ya daraja hili ni bilioni 699, bilioni 700 tunaziweka hapa. Ninachowaomba ndugu zangu wa Usagara na Misungwi endeleeni kushikamana, muwe wamoja. Haya mambo ya siasa yaliyokuwa yanawatenganisha myaache na bahati nzuri ndoa ya Mnyeti, alieiandaa ni Kitwanga.
MNYETI: Mheshimiwa Rais ni kweli kama ulivyosema, ndoa yangu aliiandaa mzee Kitwanga, namheshimu sana, nampenda sana siku zote.
MAGUFULI: Nampongeza Mnyeti kwa kushinda, nawapongeza waheshimiwa madiwani. Ninafahamu kuna appeal zitatokea tokea lakini tusubiri hilo ni kazi la tume pia nawapongeza wananchi wa hapa kwa kushikamana, maendeleo hayana chama.
Nina mke wangu nae nilimuoa Misungwi, mke wa Kitwanga hebu njoo hapa bwana.
MAMA JANETH MAGUFULI: Tunamuombea kura Rais, wabunge, madiwani, mtawachagua? Basi tunawashukuru sana asanteni.
MAGUFULI: Jamani nawapenda, nitakuja siku moja tufanye mkutano hapa.
Nadhani wote ni mashahidi wa usemi huu ambao jamaa yetu, ameutumia kuwalaghai wananchi kuwa yeye ni msema kweli. Mtu huyu ni wa ajabu sana maana amekuwa akisahau sana kuwa yeye ni mtakatifu ambaye ataongoza malaika mbinguni, huku akisahau kuwa anawafanya wale wote wanaoishi kama malaika wawe kama mashetani.Hahaha Unamwones Huruma Eeeh ,Au Anakunyoosha Mpka Hujielewi ,unabaki unajifariji kwa Matusi YANI KAMA UNAMCHUKIA MAGU JIANDAE MIAKA 5 TENA YA MAUMIVU YA MOYO MAANA MTAKUFAWENGI BAVICHA KWA PRESSURE
Hivi mheshimiwa yupo sawa kweli?
RiTunataka mgombea urais anaehubiri amani Kama Dr John Pombe Magufuli hawa wengine wanaohubiri fujo na chuki hakika kura zetu hawatapata tutawaelekeza watoto wetu mama zetu na baba zetu hakuna kuchagua hao wahuni
Mimi nilijua nchi hii kuna mipango ya maendeleo inafanyika kulingana na mahitaji ya maeneo husika na fursa zinazoweza kukuza uchumi!Kumbe kuna upendeleo kwa kuangalia maeneo yapi walipigia kura CCM!Katika uchaguzi kuna kupata na kukosa. Ni hiyari yako kuchagu fungu la kukosa au la kupata. Ukichagua la kukosa basi kubali kukosa. Ukichagua fungu la kukosa utakachopata ni kile statutoly. Ila yale ambayo yanapatikana kwa preference usahau.
Yaani limeanza kuongelea makaburi ya shangazi zake ili iweje...kazi ipoDkt. Magufuli asubuhi hii amefanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Misungwi jijini Mwanza na kuwataka Watanzania tupendane.
Dkt. Magufuli amewasihi wananchi kutobaguana kwa misingi ya chama cha siasa, dini au kabila kwa mustakabali mwema wa taifa letu.
Kadhalika Dkt. Magufuli amewataka wanamisungwi kuchagua Rais, mbunge na diwani kutoka CCM ili waendeleze maendeleo yaliyo katika ilani ya uchaguzi.
Source: Channel Ten
Maendeleo hayana vyama!
==============
Rais Magufuli leo Jumanne anaendelea na kampeni za kuwania Urais na kuwanadi Wabunge na Madiwani wa chama anachokiongoza. Amepita Misungwi jimbo lilikuwa linaongozwa na waziri wa zamani wa mambo ya ndani, Charles Kitwanga ambalo kwa sasa CCM ilimpitisha ndugu Mnyeti, Hii ni sehemu ya hotuba yake fupi.
DKT MAGUFULI: Ninachowaambia mimi niko nyumbani, ninawashukuru sana watu wa Misungwi mmepitisha mbunge bila kupingwa, mmepitisha madiwani bila kupingwa, hongereni sana. Nimebaki mimi tu kwa sababu hamnipendi, hamjanipitisha bila kupingwa, wangapi mtanipitisha bila Kupingwa? Asanteni sana.
Nataka nieleze ukweli, mlikuwa na mbunge hapa, Kitwanga alikuwa ananisumbua sana baadhi ya miradi. Ni lazima tujue historia ilikotoka, mahali tulipo na tunapoenda na Mnyeti atakuwa Mbunge.
Katika mipango ambayo imefanyika hapa ni mingi, hata hili barabara halikuwepo, katika kipindi cha miaka mitano tulilifanya na alienisumbua ni Kitwanga, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Nataka niyazungumze haya, bahati nzuri katika kazi zetu huwa sio za maisha. Palikuwa na Nyerere akamaliza muda wake, akaja Mwinyi akamaliza miaka yake kumi, akaja Mkapa akamaliza miaka yake kumi, akaja Kikwete miaka yake kumi na mimi mkitipisha hapa imebaki miaka mitano tu watakuja na wengine.
Hapa tuna mradi mkubwa wa maji ambao utagharimu bilioni 12 utakaonufaisha watu zaidi ya sitini na nne elfu.
Tumeanza vizuri, naomba mtuamini, naomba muendelee kuiamini CCM na hasa mnaona kazi nyingine ambayo inafanyika hapo Kigongo-Busisi, tunatengeneza daraja ambalo halijawahi kuonekana Tanzania na Afrika mashariki, daraja la kilomita 3.2.
Sasa msiache mkanichagua, yakaja mengine yakafuta haya mamiradi kwa sababu gharama ya daraja hili ni bilioni 699, bilioni 700 tunaziweka hapa. Ninachowaomba ndugu zangu wa Usagara na Misungwi endeleeni kushikamana, muwe wamoja. Haya mambo ya siasa yaliyokuwa yanawatenganisha myaache na bahati nzuri ndoa ya Mnyeti, alieiandaa ni Kitwanga.
MNYETI: Mheshimiwa Rais ni kweli kama ulivyosema, ndoa yangu aliiandaa mzee Kitwanga, namheshimu sana, nampenda sana siku zote.
MAGUFULI: Nampongeza Mnyeti kwa kushinda, nawapongeza waheshimiwa madiwani. Ninafahamu kuna appeal zitatokea tokea lakini tusubiri hilo ni kazi la tume pia nawapongeza wananchi wa hapa kwa kushikamana, maendeleo hayana chama.
Nina mke wangu nae nilimuoa Misungwi, mke wa Kitwanga hebu njoo hapa bwana.
MAMA JANETH MAGUFULI: Tunamuombea kura Rais, wabunge, madiwani, mtawachagua? Basi tunawashukuru sana asanteni.
MAGUFULI: Jamani nawapenda, nitakuja siku moja tufanye mkutano hapa.
Mahubiri yake na matendo yake ni vitu viwili tofauti,katika kipindi cha utawala wake amepandikiza na kupalilia chuki kubwa kati ya wanachama na wapenzi wa chama chake na wanachama wa vyama vingine.Tunataka mgombea urais anaehubiri amani Kama Dr John Pombe Magufuli hawa wengine wanaohubiri fujo na chuki hakika kura zetu hawatapata tutawaelekeza watoto wetu mama zetu na baba zetu hakuna kuchagua hao wahuni
Huyu Baba la Baba kachanganyikiwa.Dkt. Magufuli asubuhi hii amefanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Misungwi jijini Mwanza na kuwataka Watanzania tupendane.
Dkt. Magufuli amewasihi wananchi kutobaguana kwa misingi ya chama cha siasa, dini au kabila kwa mustakabali mwema wa taifa letu.
Kadhalika Dkt. Magufuli amewataka wanamisungwi kuchagua Rais, mbunge na diwani kutoka CCM ili waendeleze maendeleo yaliyo katika ilani ya uchaguzi.
Source: Channel Ten
Maendeleo hayana vyama!
==============
Rais Magufuli leo Jumanne anaendelea na kampeni za kuwania Urais na kuwanadi Wabunge na Madiwani wa chama anachokiongoza. Amepita Misungwi jimbo lilikuwa linaongozwa na waziri wa zamani wa mambo ya ndani, Charles Kitwanga ambalo kwa sasa CCM ilimpitisha ndugu Mnyeti, Hii ni sehemu ya hotuba yake fupi.
DKT MAGUFULI: Ninachowaambia mimi niko nyumbani, ninawashukuru sana watu wa Misungwi mmepitisha mbunge bila kupingwa, mmepitisha madiwani bila kupingwa, hongereni sana. Nimebaki mimi tu kwa sababu hamnipendi, hamjanipitisha bila kupingwa, wangapi mtanipitisha bila Kupingwa? Asanteni sana.
Nataka nieleze ukweli, mlikuwa na mbunge hapa, Kitwanga alikuwa ananisumbua sana baadhi ya miradi. Ni lazima tujue historia ilikotoka, mahali tulipo na tunapoenda na Mnyeti atakuwa Mbunge.
Katika mipango ambayo imefanyika hapa ni mingi, hata hili barabara halikuwepo, katika kipindi cha miaka mitano tulilifanya na alienisumbua ni Kitwanga, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Nataka niyazungumze haya, bahati nzuri katika kazi zetu huwa sio za maisha. Palikuwa na Nyerere akamaliza muda wake, akaja Mwinyi akamaliza miaka yake kumi, akaja Mkapa akamaliza miaka yake kumi, akaja Kikwete miaka yake kumi na mimi mkitipisha hapa imebaki miaka mitano tu watakuja na wengine.
Hapa tuna mradi mkubwa wa maji ambao utagharimu bilioni 12 utakaonufaisha watu zaidi ya sitini na nne elfu.
Tumeanza vizuri, naomba mtuamini, naomba muendelee kuiamini CCM na hasa mnaona kazi nyingine ambayo inafanyika hapo Kigongo-Busisi, tunatengeneza daraja ambalo halijawahi kuonekana Tanzania na Afrika mashariki, daraja la kilomita 3.2.
Sasa msiache mkanichagua, yakaja mengine yakafuta haya mamiradi kwa sababu gharama ya daraja hili ni bilioni 699, bilioni 700 tunaziweka hapa. Ninachowaomba ndugu zangu wa Usagara na Misungwi endeleeni kushikamana, muwe wamoja. Haya mambo ya siasa yaliyokuwa yanawatenganisha myaache na bahati nzuri ndoa ya Mnyeti, alieiandaa ni Kitwanga.
MNYETI: Mheshimiwa Rais ni kweli kama ulivyosema, ndoa yangu aliiandaa mzee Kitwanga, namheshimu sana, nampenda sana siku zote.
MAGUFULI: Nampongeza Mnyeti kwa kushinda, nawapongeza waheshimiwa madiwani. Ninafahamu kuna appeal zitatokea tokea lakini tusubiri hilo ni kazi la tume pia nawapongeza wananchi wa hapa kwa kushikamana, maendeleo hayana chama.
Nina mke wangu nae nilimuoa Misungwi, mke wa Kitwanga hebu njoo hapa bwana.
MAMA JANETH MAGUFULI: Tunamuombea kura Rais, wabunge, madiwani, mtawachagua? Basi tunawashukuru sana asanteni.
MAGUFULI: Jamani nawapenda, nitakuja siku moja tufanye mkutano hapa.
Huyu mzee ni mnafki.Huyu mzee amechanganyikiwa hajui hata anachoongea na hana msimamo na anachoongea,yeye mwenyewe ndo anagawa watanzania .
Tumwogope sana hafai kabisa
Kwani hao wamepitishwa lini na wananchi?Nimebaki mimi tu kwa sababu hamnipendi, hamjanipitisha bila kupingwa, wangapi mtanipitisha bila Kupingwa? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
inategemea wewe unamuonaje,pengine wewe ndo hauko sawa.Hivi mheshimiwa yupo sawa kweli?
Mzee Baba ndie anaeitafuta hiyo huruma.Hahahahah! Huruma yako haimsaidii lolote.
Hivi mheshimiwa yupo sawa kweli?