Dkt. Magufuli alipokuwa Waziri, aliwahi kukusanya sadaka Kanisani kama alivyofanya leo katika Ibada ya Christmas?

Jamani, we are greater thinkers, tufanye kwa nafasi zetu! Kuna shida gani Mhe.Rais JPM kumtumikia Mungu katika maisha yake binafsi?! Hayo ni mahusiano yake binafsi na Mungu tumwachie yeye!

Ipo tofauti ya kupiga picha ukiwa kanisani na kumtumikia Mungu ni vitu viwili tofauti usichanganye
 
Sijawahi kuona kiongozi anayenajisi Ibada kama huyu, hovyo kabisa
 
Umejuaje kuwa wako sahihi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…