Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Kanisa la leo ni la kulihurumia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani, we are greater thinkers, tufanye kwa nafasi zetu! Kuna shida gani Mhe.Rais JPM kumtumikia Mungu katika maisha yake binafsi?! Hayo ni mahusiano yake binafsi na Mungu tumwachie yeye!
Sijawahi kuona kiongozi anayenajisi Ibada kama huyu, hovyo kabisaKuna clip inatembea mitandaoni(nimeiona twitter) ikimuonyesha Magufuli akikkusanya sadaka kanisani katika ibada ya Christmas ya siku ya leo.
Ni jambo jema kabisa, lakini swali ni je,alipokuwa Waziri au wakati akiwa mwalimu, aliwahi fanya hiki alichokifanya leo hii kanisani?
Ni matarajio yangu alianza siku nyingi
View attachment 1658857
Umejuaje kuwa wako sahihi...Na ndo maana naona Wasabato wako sahihi katika hili:kwao ni marufuku mtu mwingine awaye yote kushika chombo cha matoleo (zaka +, sadaka) isipokuwa Shemasi, ambaye amewekwa wakfu kwa kazi hiyo na nyinginezo. Hata kama wewe ni Mheshimiwa sana,hakuna kushika hicho chombo maana hujawekwa wakfu kwa jukumu hilo.