Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Kanisa litueleze kama sadaka tuzitoazo zimegeuzwa kuwa kodi za serikali! Si kila muumini anaweza kuinuka na kuanza kukusanya sadaka bila ya kuteuliwa na kanisa, he, TRA imeingia kanisa ni kutafiti makusanyo ya sadaka?Kuna clip inatembea mitandaoni(nimeiona twitter) ikimuonyesha Magufuli akikkusanya sadaka kanisani katika ibada ya Christmas ya siku ya leo.
Ni jambo jema kabisa, lakini swali ni je,alipokuwa Waziri au wakati akiwa mwalimu, aliwahi fanya hiki alichokifanya leo hii kanisani?
Ni matarajio yangu alianza siku nyingi
View attachment 1658857