Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

Ha ha ha...

Uchaguzi huu kazi kwel kwel...
 

Hapa umemaliza kila kitu. Kwa maneno rahisi ni selfish sana huyu baba.
 
Hopeless thread ever!
 
Ulitaka apeleke kwenu?
 
Kwa maoni yangu uwanja wa ndege wa Chatto ni strategic kwa kuzingatia kuwa:
1. Uwanja huu uko karibu na hifadhi za taifa za burigi chatto, saanane, kibondo, Rumanyika na Igombe. Sera ya utalii ni kusambaza utalii kusini naagharbi ili kuongeza pato. Je kuna ubaya gani kujenga uwanja wa ndege chatto. Kisiasa hata kama agejenga uwanja huo Geita hata kumalizia jengo la abiria uwanja wa Mwanza mngesema tu. Mbona hamsemi kuhusu Msalato airport,JNIA yenye terminal 3, KIA na Arusha Airport barabara njia nne Arusha wakati majiji mengine hayana nk
2.Mapato yatakayotokana na uwanja wa Chatto yatatumika kitaifa kwa jinsi mfumo wa kiuchumi ulivyo hapa nchini
3. Uwanja wa Chatto utachagiza maendeleo ya kanda ya ziwa na hususani utasadiana na uwanja wa ndege wa Mwanza (creating a backward and forward linkage and support)
4. Utatoa ajira kwa watu wote wamakonde,wajaruo, wachaga, wanyiramba na wataturu walioko Chato na Kanda ya ziwa.
5. Uchumi wa kanda ya ziwa unachangia almost 40% ya GDP je usipojenga mzingira ya uwekezaji na uzalishaji kwenye kanda hili utaongezaji pato la taifa.
6. Uwanja huu umezungukwa na shughuli za kiuchumi za madini, uvuvi,kilimo, utalii, mifugo hivyo sina shaka na full utilization kitakapokamilika.
Kelele zote hizi ni kwamba watu walizoea kuona maendeleo yakielekezwa kwenye maeneo kadhaa ya nchi na zaidi ni mitizamo yao ya kikanda au kimaeneo badala ya kitaifa ( nationalisti outlook). Rais najua umefanya miradi nchi nzima ikiwemo Mradi wa umeme Rufiji Pwani ambako siyo kwako.Baada ya Uchaguzi na kupata ridhaa ya wananchi- endelea na upanuzi wa miradi yote iliyoko kanda ya ziwa consinstently tena nakuomba ukamilishe ahadi ya ilani ya ccm ya kujenga jengo la abiria uwanja wa Mwanza ambao hautoi sura ya kimataifa lakini wenye sera za majimbo hawausemei kabisa na pia malizia kwa jengo la abiria uwanja wa chato barabara nje nne kuingia Jiji la Mwanza, Tanga na Mbeya. Vinginevyo kelele zinazotolewa ni kukutoa kwenye mstari. Mungu akubariki ushinde na mapema.
 
Watanzania tuone jamani. Mambo ya kiserikali yanafanyika Chato. Tena mambo sensitive kwa nchi.. sijui marais wa nchi zingine wanafikia Chato, kuapisha mawaziri na wateule baadhi yanafanyikia Chato! Jamani Jiwe hana mpango wa kuchomoka. Tusipoact sasa ndio basi tena.
 
President Mobutu's ruined jungle paradise, Gbadolite - in pictures

The president of what was then Zaire lavished millions on a palace complex and international airport in the remote town of Gbadolite. Guardian photographer Sean Smith heads for the jungle to document the pitiful shell that remains
Where Concorde once flew: the story of Mobutu’s ‘African Versailles’
Sean Smith in Gbadolite
Tue 10 Feb 2015 13.04 GMT

Baada ya yeye kumaliza uraisi huo uwanja utatumika kwa kazi gani?

A mural of former President Mobutu outside the mayor’s office in Gbadolite. When Joseph Desire Mobutu took power he renamed himself Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Waza Banga (meaning ‘the all-powerful warrior who, because of endurance and an inflexible will to win, will go from conquest to conquest leaving fire in his wake’)
Photograph: Sean Smith for the Guardian





President Mobutu's ruined jungle paradise, Gbadolite - in pictures
 
Hizi ndizo zinaitwa akili za kimaskini. Viwanja vyote vya ndege vinakarabatiwa kwanini huo wa Chato ndio ufe baada ya rais kuondoka?.

Kwani akiondoka rais mahitaji ya viwanja vya ndege yatatoweka?.
Wameshajibiwa sana mkuu ila wao wanaelewa walicholishwa tuu.
Sasaivi Wewe ukikuta thread za hivi zipuuzie pita zako kimya ukafanye mambo ya msingi
Cc Kiongozi mkuu2020 magu2016 dndagula
 
Kwenye haya mambo mawili amesha feli

1. Ununuzi wa ndege

2. Uwanja wa ndege chato

 
Low IQ.. hata kama ninkada maelezo yako yapo chini sana.. beyong low IQ
Hoja kama hizi zinawaondolea heshima makamanda wenzangu. Kipindi hiki cha Corona unategemea Atcl wapate faida?
Atcl kwa nini isikaguliwe na CAG wakati ni shirika la umma? Tunajiabisha tuwe makini kujibu hoja
 
Magufuli amekuwa kama vile umerushwa kwenye swimming pool na hujui kuogela,
unarusha mikono, miguu, kiuno, kichwa,kelele nakadhalika.
 
Faida kabla ya Corona boss.
Mtafute Mkurugenzi wa atcl atakupa figures.

Sekta ya anga inachagiza ukuaji wa sekta nyingine, yenyewe unaweza usiione faida yake leo au kesho lakini fuatilia zile sekta nyingine zinazozaliwa na kukua kupitia sekta ya anga utagundua ni nyingi.
 
KWANI KUNASHIDA GANI KUJENGA UWANJA CHATO?
KWANI CHATO SIO TANZANIA?
KWANI UWANJA WA NDEGE CHATO SI UWANJA WAWATANZANIA WOTE?
KWANI UWANJA WA CHATO NI MALI YA MAGUFULU NA FAMILIA YAKEEE??
Swali ni kuna faida ipi kujenga uwanja Chato? Atuambie baada ya kuwekeza karibu Bil 40, umeingiza faida zipi kwa taifa?
 
Huyu Lisu tunamsubiri ataenda kuombaje kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…