Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani unafanya mambo ki selfish afu bado unatetea,unatuchosha Magufuli...Chato ingekua sio kwa mambo kede kede yanayoelekezwa huko Chato wala tusingepiga kelele, wewe uwanja wa michezo,hospitali,kila kitu Chato,watanzania tunataka equal share of resources!..watanzania hawapatikani Chato pekee..umetukosea watanzania kwa miaka mitano,its time to step down.
Hopeless thread ever!"Mtu anazungumza eti nimejenga uwanja nyumbani, nikifa nitaenda nalo hilo liuwanja kaburini? ,ni lazima upange mipango mipana, tumejenga na tunajenga viwanja vingi zaidi ya 11..hivyo viwanja vyote watu hawavioni wanakiona cha Chato tu, ashindwe akalegee kweli kweli". Rais Magufuli
Hoja za Wadau,wapiga kura hawajaridhika
expand...
1. Ni faida kiasi gani ndege hizo zinaleta kwa taifa?
2. Kwanini amehamishia ndege kwenye kasma namba 20 ambayo haikaguliwi na CAG kama ambayo mashirika mengine ya umma yanakaguliwa?
3. Kwanini hataki kuweka wazi mikataba ya manunuzi ya ndege?
4. Kama anaweza kusafiri na gari nchi nzima wakati wa kampeni anashindwaje kusafiri kutoka mwanza airport mpaka chato?
5. Baada ya yeye kumaliza uraisi huo uwanja utatumika kwa kazi gani?
Kwa kuwa makampuni yote duniani hayanunui ndege za abiria kwa hela taslimu ( commercial aircraft leasing agreement ) ili kuweza kumudu mtaji na gharama za uendeshaji. Je biashara hii inaweza kuhimili ushindani sokoni?
Faida na corona hii!! Biashara ina kupanda na kushuka na ni sekta wezeshi kiuchumi.
Huwezi kulinganisha na zile biashara za Mpesa au tigopesa.
Ulitaka apeleke kwenu?Yaani unafanya mambo ki selfish afu bado unatetea,unatuchosha Magufuli...Chato ingekua sio kwa mambo kede kede yanayoelekezwa huko Chato wala tusingepiga kelele, wewe uwanja wa michezo,hospitali,kila kitu Chato,watanzania tunataka equal share of resources!..watanzania hawapatikani Chato pekee..umetukosea watanzania kwa miaka mitano,its time to step down.
Baada ya yeye kumaliza uraisi huo uwanja utatumika kwa kazi gani?
Wameshajibiwa sana mkuu ila wao wanaelewa walicholishwa tuu.Hizi ndizo zinaitwa akili za kimaskini. Viwanja vyote vya ndege vinakarabatiwa kwanini huo wa Chato ndio ufe baada ya rais kuondoka?.
Kwani akiondoka rais mahitaji ya viwanja vya ndege yatatoweka?.
"Mtu anazungumza eti nimejenga uwanja nyumbani, nikifa nitaenda nalo hilo liuwanja kaburini? ,ni lazima upange mipango mipana, tumejenga na tunajenga viwanja vingi zaidi ya 11..hivyo viwanja vyote watu hawavioni wanakiona cha Chato tu, ashindwe akalegee kweli kweli". Rais Magufuli
Hoja za Wadau,wapiga kura hawajaridhika
expand...
1. Ni faida kiasi gani ndege hizo zinaleta kwa taifa?
2. Kwanini amehamishia ndege kwenye kasma namba 20 ambayo haikaguliwi na CAG kama ambayo mashirika mengine ya umma yanakaguliwa?
3. Kwanini hataki kuweka wazi mikataba ya manunuzi ya ndege?
4. Kama anaweza kusafiri na gari nchi nzima wakati wa kampeni anashindwaje kusafiri kutoka mwanza airport mpaka chato?
5. Baada ya yeye kumaliza uraisi huo uwanja utatumika kwa kazi gani?
Kwa kuwa makampuni yote duniani hayanunui ndege za abiria kwa hela taslimu ( commercial aircraft leasing agreement ) ili kuweza kumudu mtaji na gharama za uendeshaji. Je biashara hii inaweza kuhimili ushindani sokoni?
Hoja kama hizi zinawaondolea heshima makamanda wenzangu. Kipindi hiki cha Corona unategemea Atcl wapate faida?
Atcl kwa nini isikaguliwe na CAG wakati ni shirika la umma? Tunajiabisha tuwe makini kujibu hoja
Mtafute Mkurugenzi wa atcl atakupa figures.Faida kabla ya Corona boss.
Ulitaka apeleke kwenu?
Wanajiliwaza kwani wanahisi kama wakikaa kimya wataonekana kama vile wamekubaliana na JPM.Wameshajibiwa sana mkuu ila wao wanaelewa walicholishwa tuu.
Sasaivi Wewe ukikuta thread za hivi zipuuzie pita zako kimya ukafanye mambo ya msingi
Cc Kiongozi mkuu2020 magu2016 dndagula
Ass!sijisikii kuongea upuuzi leo, pita kule..
Ass!
Swali ni kuna faida ipi kujenga uwanja Chato? Atuambie baada ya kuwekeza karibu Bil 40, umeingiza faida zipi kwa taifa?KWANI KUNASHIDA GANI KUJENGA UWANJA CHATO?
KWANI CHATO SIO TANZANIA?
KWANI UWANJA WA NDEGE CHATO SI UWANJA WAWATANZANIA WOTE?
KWANI UWANJA WA CHATO NI MALI YA MAGUFULU NA FAMILIA YAKEEE??