Jomba umeshawahi lipa kodi forodhani kwa namna yoyote ile..Au nawwwe ni kibaka kama wale vibaka wengine jomba...maana sio ni hapa uchungu wewe unautolea wapi...kwanza hata ndege zimekujajekujaje hujui..hiyo hasara hasara umejuaje. ..shwaiannnnmmKeshapaniki. Na siasa haihitaji hasira.
ATCL kwasasa si ruhusu mdhibiti kuikagua. Yasemekana linajiendesha kwa hasara hasara tu.