Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara huenda ikipick momentum,,ni suala la mda tu,baadae italipa tuHoja ni kwamba kama ushirika linafanya vizuri kwanini ameenda kulificha kwenye vote ambayo haikaguliwi na CAG?
Picha ya kaburi? Yapo mengi tu na la bibi yake kizaa baba lipoBaba au BABU??
Katupigie picha utuletee
Aaah mnawapelekea samaki mabeberu.Utatatua shida zao,miaka ijayo huo uwanja utakuwa muhimu sana kwa ku export samaki kwenda ulaya
Tunajua historia ya huyo bwana,acha uongo hayo maeneo nayafahamu vzr. Basi tuambie babu yake mzaa Nani kazikwa pale kalebezo?. Unaposema mbele ya Nyehunge unamaanisha kutokea wapi? Yale makaburi ya katoma nzela ni ya Nani? Nenda chato uliza wazee wanajua alikuja kashikwa mkono na Nani pale.Babu yake kazikwa kalebezo mbele kidogo ya nyehunge
KWANI KUNAHASARA GANI ZIMEONEKANA?Mkuu ,hivi leo unapotaka kufanya Biashara ya kubwa utaenda kuwekeza Sehemu ambayo kwa hatua za awali unakuwa umesha lamba hasara !!?.
Yani una Mtaji unaenda kufungua Mall Vijijini huko na ukatarajia Faida !!?
Kumbe na weye ni mmoja wa ma Rais? Hivi mko wangapi huko lumumba?Rais anaamua kwa niaba ya wananchi,,sasa ikifika kila kitu kikitaka kununuliwa sharti tuulize wananchi mbona itakuwa michosho sana?
Biashara huenda ikipick momentum,,ni suala la mda tu,baadae italipa tu
Picha ya kaburi? YapoBaba au BABU??
Katupigie picha utuletee
Yaani huyu mzee IQ yake ndogo sana! Hoja hizo huwezi kujibu kama mtoto wa darasa la 2 C! Haiwezekani! Baada ya Urais wake ndege gani itaenda kutua hapo? Tukatae tukubali uwanja ule ni white elephant ya mwaka 2026 na kuendelea!
Wewe tuhabarishe unaemjua zaidiTunajua historia ya huyo bwana,acha uongo hayo maeneo nayafahamu vzr. Basi tuambie babu yake mzaa Nani kazikwa pale kalebezo?. Unaposema mbele ya Nyehunge unamaanisha kutokea wapi? Yale makaburi ya katoma nzela ni ya Nani? Nenda chato uliza wazee wanajua alikuja kashikwa mkono na Nani pale.
NYINYI CHADOMO NDO MKO BIZE KUKOSOA UJENZI WA UWANJA CHATO.Wajitoa fahamu?
Orodhesha mwenyewe taratibu zote zinazotakiwa halafu anza kutiki mojamoja ndio utajua kwa nini anajifanya kupandisha hasira.
KWANI KUNASHIDA GANI KUJENGA UWANJA CHATO?
KWANI CHATO SIO TANZANIA?
KWANI UWANJA WA NDEGE CHATO SI UWANJA WAWATANZANIA WOTE?
KWANI UWANJA WA CHATO NI MALI YA MAGUFULU NA FAMILIA YAKEEE??
Mbona pia nyie mlio nyuma ya Keyboard ndio mnaotaka mdahalo wa Lissu na Mh. Rais wetu!Inatakiwa JIWE ndio aseme, sio nyie wa nyuma ya keyboard
Mimi ni kamanda ninaetumia akili sikariri ushabiki.
KWANI KUNAHASARA GANI ZIMEONEKANA?
UWANJA HAUFANYI KAZI??
Leta picha na usiende kuokoteza kama bungeni walivyookoteza Mkataba wa Muungano baada ya kubanwa vilivyo na TAMLPicha ya kaburi? Yapo mengi tu na la bibi yake kizaa baba lipo
Lissu ndio kambo mdahaalo, kupitia kipindi cha dkk 45 cha ITV pamoja na interview na Dotto BulenduMbona pia nyie mlio nyuma ya Keyboard ndio mnaotaka mdahalo wa Lissu na Mh. Rais wetu!
Mnamsemea mtu wenu sie tukimsemea Rais wetu nongwa.
Kuna mwaka china walijenga miji,mfano wa ile plan ya new kigamboni,wakaweka maskyscraper ya hatari,,nyumba zilimaliza miaka 10 hazina wapangaji,,wazungu wakaanza kuwacheka wachini eti wamejenga ghost cities,,Ni kwa nini ufanye Biashara ya kunufaika baadae wakati ulikuwa na option ya kuchagua njia sahihi na ukizingatia sisi ni Masikini tunaotaka kuyakimbilia maendeleo !?
Kwa akili zenu hakina tija kwa kuwa kimejengwa anakotoka Mh Rais, kwetu kumejengwa uwanja na ndege zinatua mara 3 kwa mwaka na hamjawahi kukizungumzia,Ila hiki cha Chato ndio mnakiongelea saaana.Hiki siokiwanda cha kwanza cha ndege kujengwa nchini.Lakini ni cha kwanza kulalamikiwakwakuwa hakina tija.
Nadhani kila mvuta kamba huivutia kwake, hivyo ubinafsi ni silka ya wanadamu wote.
faida ya kununua ndege itachukua muda mrefu kupata faida, tena na hii corona ndo kabisaa hasara inaongezeka
Lissu kamatia hapo hapo mtu keshameza ndoano😀"Mtu anazungumza eti nimejenga uwanja nyumbani, nikifa nitaenda nalo hilo liuwanja kaburini? ,ni lazima upange mipango mipana, tumejenga na tunajenga viwanja vingi zaidi ya 11..hivyo viwanja vyote watu hawavioni wanakiona cha Chato tu, ashindwe akalegee kweli kweli". Rais Magufuli
Hoja za Wadau,wapiga kura hawajaridhika
expand...
1. Ni faida kiasi gani ndege hizo zinaleta kwa taifa?
2. Kwanini amehamishia ndege kwenye kasma namba 20 ambayo haikaguliwi na CAG kama ambayo mashirika mengine ya umma yanakaguliwa?
3. Kwanini hataki kuweka wazi mikataba ya manunuzi ya ndege?
4. Kama anaweza kusafiri na gari nchi nzima wakati wa kampeni anashindwaje kusafiri kutoka mwanza airport mpaka chato?
5. Baada ya yeye kumaliza uraisi huo uwanja utatumika kwa kazi gani?
Kwa kuwa makampuni yote duniani hayanunui ndege za abiria kwa hela taslimu ( commercial aircraft leasing agreement ) ili kuweza kumudu mtaji na gharama za uendeshaji. Je biashara hii inaweza kuhimili ushindani sokoni?