Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

Kuwekwa chini ya wakala ndege za serikali ndio Atcl haikaguliwi kamanda?
Hahah si unaona ulivyo kamanda uchwara sasa,we unaleta report ya assad ya 2015-2016,2016-2017 mimi nakwambia habari ya 2019 up to now.

Ujinga ni kipaji arifu.
 
Attachments

  • Screenshot_20200914-154858.png
    Screenshot_20200914-154858.png
    20.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20200914-154908.png
    Screenshot_20200914-154908.png
    21.6 KB · Views: 1
KWANI KUNASHIDA GANI KUJENGA UWANJA CHATO?
KWANI CHATO SIO TANZANIA?
KWANI UWANJA WA NDEGE CHATO SI UWANJA WAWATANZANIA WOTE?
KWANI UWANJA WA CHATO NI MALI YA MAGUFULU NA FAMILIA YAKEEE??
Taratibu za sheria za nchi anazozisimamia kwa majigambo yeye MWENYEWE na kwazo kuwatumbua wengine, hazikufutwa.
 
So raisi Ni muhimu kuliko wananchi,thus kuendelea Ni ndoto, wenzetu Wana maendeleo sababu rais Ni mtumishi wa wananchi na sio mungu mtu.
Kama unadhibiti upotevu wa mapato kwa kuzuia mianya then unazidump fedha pasipotija Kuna tofauti gani na upotevu wa mapato.
Kujenga kiwanja sio upotevu wa mapato,ni investment...miaka 50 toka sasa huo uwanja utawafaa vizazi vijavyo
 
Hahah si unaona ulivyo kamanda uchwara sasa,we unaleta report ya assad ya 2015-2016,2016-2017 mimi nakwambia habari ya 2019 up to now.

Ujinga ni kipaji arifu.
Hujui kusoma kamanda,ilikuwa imecompile 2016-2019. Ila ni uthibitisho Atcl inakaguliwa. Mnaiabisha Chadema kwa ushabiki wa kijinga.
 
Sio hivyo,,kipindi cha jk wapinzani walimlaumu sana kwa kufa kwa shirika la ndege,,jpm akaona hili tatizo aliondoe,ndiposa akaamua kulifufua shirika la ndege

Ni jambo jema kufufua Shirika letu japo walio liua ni Serikali ya CCM ,tatizo ni namna (njia) iliyo tumika ktk kulifufua.Raisi ameamua kila kitu na kutekeleza kitu bila ya ushirikishwaji wa Wnaanachi kupitia Bunge lao hali inayoacha Mashaka ya jambo hili kuwa valid.
 
Kujenga kiwanja sio upotevu wa mapato,ni investment...miaka 50 toka sasa huo uwanja utawafaa vizazi vijavyo
Akitoka tu madarakani unageuka wa kuchungia mbuzi na kujifunzia bodaboda na msaada wa kuanikia mazao.Hapo economic of scale haikuangaliwa. Na pia sio hitaji la wanachato. Je uwanja umetatua shida za wanachato.
 
TARATIBU ZIPI HAZIKUFUATWA?
KWANI UWANJA UMEJENGWA KIMAKOSA?

Mkuu ,hivi leo unapotaka kufanya Biashara ya kubwa utaenda kuwekeza Sehemu ambayo kwa hatua za awali unakuwa umesha lamba hasara !!?.

Yani una Mtaji unaenda kufungua Mall Vijijini huko na ukatarajia Faida !!?
 
Jamaa anapenda ndege! Hebu afanye utafiti ni watanzania wangapi Wana uwezo WA kupanda ndege ,anakera.
Mkuu Hali Ni ngumu kwako tu,kushindwa kwako kumudu gharama ya huduma fulani, hakufanyi huduma hiyo kukosa maana.
Chamsingi jipange uendane na Hali,tafuta hela, acha kushinda huku kwenye majukwaa kupiga kabobo, haitakusaidia...!
 
Ni jambo jema kufufua Shirika letu japo walio liua ni Serikali ya CCM ,tatizo ni namna (njia) iliyo tumika ktk kulifufua.Raisi ameamua kila kitu na kutekeleza kitu bila ya ushirikishwaji wa Wnaanachi kupitia Bunge lao hali inayoacha Mashaka ya jambo hili kuwa valid.
Rais anaamua kwa niaba ya wananchi,,sasa ikifika kila kitu kikitaka kununuliwa sharti tuulize wananchi mbona itakuwa michosho sana?
 
Sio hivyo,,kipindi cha jk wapinzani walimlaumu sana kwa kufa kwa shirika la ndege,,jpm akaona hili tatizo aliondoe,ndiposa akaamua kulifufua shirika la ndege
Hoja ni kwamba kama ushirika linafanya vizuri kwanini ameenda kulificha kwenye vote ambayo haikaguliwi na CAG?
 
Akitoka tu madarakani unageuka wa kuchungia mbuzi na kujifunzia bodaboda na msaada wa kuanikia mazao.Hapo economic of scale haikuangaliwa. Na pia sio hitaji la wanachato. Je uwanja umetatua shida za wanachato.
Utatatua shida zao,miaka ijayo huo uwanja utakuwa muhimu sana kwa ku export samaki kwenda ulaya
 
Hapo bado. Atuambie ni kwanini vijijini hakuna maji safi angali kajenga flyover ubungo na tazara. Maendeleo ya watu weighs more than maendeleo ya vitu. Gharama ya flyover mbili za ubungo na tazara ni sawa na visima vya maji vitano kila kata vinavyotoa maji safi na salama ya kunywa nchi nzima. Gharama za hizi flyovers ni sawa na visima elfu 20 vimelala ubungo na tazara
 
KWANI KUNASHIDA GANI KUJENGA UWANJA CHATO?
KWANI CHATO SIO TANZANIA?
KWANI UWANJA WA NDEGE CHATO SI UWANJA WAWATANZANIA WOTE?
KWANI UWANJA WA CHATO NI MALI YA MAGUFULU NA FAMILIA YAKEEE??

Yote haya hakuna mwenye pingamizi nayo ,tatizo ni Matokeo ya hicho alicho kifanya Mh Rais je kina Matokeo (faida ) gani kwa Watanzania !?.

Una wekeza Mabilioni eneo ambalo Biashara hamna na bado unataka tukusifu !?.Hapana Mkuu ,huo ni upotevu wa Pesa.Hebu fikiri kama hizi Pesa zingetumika kwenye Elimu/ Afya unadhani faida ingekuwa kiasi gani !!!..
 
Lissu hana hadhi ya kufanya mdahalo na Mh, Rais wetu, Lissu mnamkuza mitandaoni, Hana hadhi, ropo ropo atapata wapi hadhi ya kupewa mdahalo na Mh. Rais wetu, Midahalo afanye Mitandaoni.
Inatakiwa JIWE ndio aseme, sio nyie wa nyuma ya keyboard
 
Back
Top Bottom