mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Hahah si unaona ulivyo kamanda uchwara sasa,we unaleta report ya assad ya 2015-2016,2016-2017 mimi nakwambia habari ya 2019 up to now.Kuwekwa chini ya wakala ndege za serikali ndio Atcl haikaguliwi kamanda?
Ujinga ni kipaji arifu.