Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

Keshapaniki. Na siasa haihitaji hasira.

ATCL kwasasa si ruhusu mdhibiti kuikagua. Yasemekana linajiendesha kwa hasara hasara tu.
Jomba umeshawahi lipa kodi forodhani kwa namna yoyote ile..Au nawwwe ni kibaka kama wale vibaka wengine jomba...maana sio ni hapa uchungu wewe unautolea wapi...kwanza hata ndege zimekujajekujaje hujui..hiyo hasara hasara umejuaje. ..shwaiannnnmm
 
Lissu ndio kambo kmdahaalo, kupitia kipindi cha dkk 45 cha ITV pamoja na interview na Dotto Bulendu
Andika kiswahili kinachoeleweka, Lissu hana hadhi ya kufanya mdahalo na Rais wa nchi, anaweza akagombea naye na kupiga makelele majukwaani kama chizi mwisho wa siku atabaki kuwa Makamu wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Hata uenyekiti wa CHADEMA Lissu hawezi pewa.
 
Kwa akili zenu hakina tija kwa kuwa kimejengwa anakotoka Mh Rais, kwetu kumejengwa uwanja na ndege zinatua mara 3 kwa mwaka na hamjawahi kukizungumzia,Ila hiki cha Chato ndio mnakiongelea saaana.
Kwa akili zenu hakina tija kwa kuwa kimejengwa anakotoka Mh Rais, kwetu kumejengwa uwanja na ndege zinatua mara 3 kwa mwaka na hamjawahi kukizungumzia,Ila hiki cha Chato ndio mnakiongelea saaana.

Kwenu wapi. ? Chato
 
Hoja kama hizi zinawaondolea heshima makamanda wenzangu. Kipindi hiki cha Corona unategemea Atcl wapate faida?
Atcl kwa nini isikaguliwe na CAG wakati ni shirika la umma? Tunajiabisha tuwe makini kujibu hoja
Kwani Kuna Corona?😀
 

Ni kweli kabisa mkuu ukichunguza kwa umakini utagundua kuwa wabongo wengi kutokana na maoni wanayoyatoa yamejaa ulalamishi sana na huwezi kujua ni nini hasa wanakihitaji. Wakati wa JK walimponda sana na kelele nyingi za ufisani na nchi kukosa mwelekeo. JPM kwa sehemu kubwa kafanyia kazi malalamiko mengi kwa vitendo kiasi cha kukipa chama cha CCM nguvu na watu kukiamini tofauti na kipindi cha JK.

Vilevile kuna mwelekeo kama nchi tunauona na ni vizuri kutambua kazi kubwa ambayo JPM ameifanya licha ya mapungufu ya hapa na pale ambayo ni kawaida ya binadamu yeyote yule. Ukiondoa mihemko na kelele nyingi za hapa na pale na ukitafakari kwa kina bila msukumo wa kelele za nje utakubali kuwa JPM kaitendea haki Tanzania.
 
Haha, eti Lissu hana hadhi, hiyo PhD mtatueleza mliipataje mwaka huu, Mbuzi kabisa nyie😀
 
Nimekaaa na kutafakali juu ya haya malumbano juu ya huu uwanja wa ndege Chato ambao mimi kwa maoni yangu naona serikali iliyopo madarakani ilifanya jambo jema kuujenga.

Nasema ilifanya jambo jema sababu Geita sasa ni mkoa na ulikuwa hauna uwanja wa ndege. Na ndege zilizokuwa zinatua Geita zilikuwa zinatumia Airstrip ya Geita gold mine.Kwa hiyo ujenzi wa uwanja huu ni kwa manufaa ya wananchi wa Geita wote na wala sio mali ya rais JPM na familia yake.

Nilimsikikiza mbunge wa Geita vijijini akisema kuwa ujenzi wa uwanja ule ulipata baraka za baraza la halmasuri la Geita ambalo linakuwa na wabunge na madiwani. Na hivyo liliodhinisha uwanja huo ujengwe.

Pia nimemsikiliza katibu mwenezi wa Ccm juu ya ujenzi wa uwanja huu na nikamsikia akisema serikali ya Ccm iliridhia uwanja huu ujengwe na ulijengwa Chato sababu ya mikakati maalumu kama kuwa karibu na hifadhi ya taifa Rubondo na muinuko wa maeneo ya mkoa wa Geita.

Leo akiwa Mufindi ndugu Tundu Lissu nimesikia kama akijibu mashambulizi ya mgombea wa Ccm baada ya kuonekana anatetea ujenzi wa uwanja wa Chato kama ujenzi wa viwanja vya ndege vinavyojengwa mikoa mimgine. Mfano ni mkoa wa Rukwa ulijengewa kiwanja cha ndege mjini mpanda na ndege za Atcl zinaweza kutua.

Nimensikiliza Lissu akisema uwanja wa ndege Chato ulijengwa kwa utashi wa rais JPM na upendeleo kwa eneo analo tokea. Jambo ambalo wakazi wa mkoa wa Geita hawawezi kukubali sababu nao wanahitaji maendeleo kama kujengewa uwanja wa ndege. Lissu ameenda mbali na kusema kuwa mabilioni yaliyotumika kujenga uwanja wa ndege Chato yangeweza kujenga barabara nyingi tu za mji wa Mufindi. Swali langu kwa Lissu je watu wa Geita hawahitaji maendeleo ya kuwa na uwanja wa ndege? Je watu wa Mufindi na watu wa Geita wote si watanzania? Kama kuna kiwanja Chato kwa nini asiwaahidi kuwajengea hizo barabara ambazo anasema hazipo Mufindi! Kwa hiyo watu wa Geita kwa Lissu hawana umuhimu kisa tu JPM anatokea Geita?
 
Wajinga wengi sana hususani upande wa pili.
1. Wanajibu hoja juu juu sana
2. Wanauliza maswali ya kijinga
3. Wanashabikia hata upumbavu
4. Hawatazami maslahi ya nchi
5. Hawachambui sera zitolewazo
 
Watu wenye akili kama wewe ni wachache sana, Akili za wengi wanalia hamna hela, eti JK Alimwaga hela mtaani, JPM Kaondoa zooote.
 
Haha, eti Lissu hana hadhi, hiyo PhD mtatueleza mliipataje mwaka huu, Mbuzi kabisa nyie😀
Lissu bado hana hadhi ya kufanya mdahalo na JPM, Kwa hadhi ipi inayompa uwezo wa kuomba mdahalo na JPM? Achana na Phd Stories, sema facts kwa hadhi ipi?
 

Hatuwezi kulingana na China Mkuu hata ukirudi nyuma ktk hiyo Miaka ,namna ambavyo wanafanya mambo yao kuanzia kuheshimu Sheria na kuzisimamia kwa vitendo.Hapa kwetu Mtu mmoja anakuwa Polisi yeye /Mahakama yeye / na Askari Magereza ni yeye pia Sababu tu kwenye Katiba pamempa nguvu ya kufanya hayo.Hasa kile kipengele kinacho sema nna nukuu "Raisi halazimiki kufuata Ushauri wowote ule ktk kuamua /kutekeleza Majukumu yake"..

Lazima tuwe wawazi kama tunataka Maendeleo .
 
kama mpaka leo bado hujamuelewa lisu basi wewe ni lofa!
 
Sio yeye tu hata MAGUFULI anaamini hivyo jaribu kujiuliza kwanini anataja makilomita ya barabara na vipande vya madaraja ila anajisahaulisha kwa CHATO, anajua ni hasara kwa taifa.
 
Ni afrika pekee raisi ni mungu thus maendeleo tutayasikia ndotoni, afrika itakuwa na maendeleo Kama tukianza kuwafunga jela maraisi wahuni
 
Sasa kama katiba ndo inampa hiyo power,tatizo liko wapi?,jk alitoa oppotunity ya kubadli katiba,,hatua za mwisho UKAWA walisusa,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…