Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ndizo zinaitwa akili za kimaskini. Viwanja vyote vya ndege vinakarabatiwa kwanini huo wa Chato ndio ufe baada ya rais kuondoka?.Swali zuri sana. Huu uwanja utakuwa hauna kazi tena, tutaubadilisha utakuwa wa kuchezea mpira. Kawaida mtu aliyejenga uwanja wa ndege, akishamaliza muda wake wa urais, viwanja vya ndege vyote alivyojenga huwa vinabadilishwa na kuwa viwanja vya mpira!
Ndege zinashambuliwa kisiasa ingawa zenyewe ni za kuinua uchumi wa nchi.
Yamekuwa hayo Kamanda mwenzangu!
Nimecheka sana hapo 'kwa ustadi mkubwa'."Mtu anazungumza eti nimejenga uwanja nyumbani, nikifa nitaenda nalo hilo liuwanja kaburini? ,ni lazima upange mipango mipana, tumejenga na tunajenga viwanja vingi zaidi ya 11..hivyo viwanja vyote watu hawavioni wanakiona cha Chato tu, ashindwe akalegee kweli kweli". Rais Magufuli
Hoja za Wadau,wapiga kura hawajaridhika
expand...
1. Ni faida kiasi gani ndege hizo zinaleta kwa taifa?
2. Kwanini amehamishia ndege kwenye kasma namba 20 ambayo haikaguliwi na CAG kama ambayo mashirika mengine ya umma yanakaguliwa?
3. Kwanini hataki kuweka wazi mikataba ya manunuzi ya ndege?
4. Kama anaweza kusafiri na gari nchi nzima wakati wa kampeni anashindwaje kusafiri kutoka mwanza airport mpaka chato?
5. Baada ya yeye kumaliza uraisi huo uwanja utatumika kwa kazi gani?
Kwa kuwa makampuni yote duniani hayanunui ndege za abiria kwa hela taslimu ( commercial aircraft leasing agreement ) ili kuweza kumudu mtaji na gharama za uendeshaji. Je biashara hii inaweza kuhimili ushindani sokoni?
Kuna upigajiHoja kwamba uwanja umejengwa bila kufuata sheria ya manunuzi ina usiasa gani?
Hoja kwamba MAGUFULI alimuita mtengeneza ndege wakakaa chumbani huku amekalia sheria ya manunuzi makalion ina usiasa gani? Sheria zimewekwa ili kudhibiti matendo ya binadam wenye hulka kama MAGUFULI.kwann mnaamini kwamba huwezi kuchukua 10% ya hiyo midubwasha/ mindege?
Kama uwanja umejengwa kimkakati kwann usijengwe Bukoba au mara ambayo ni karibu na mwanza?
Ameshindwa kujibu hoja anawatuma mje mbwabwaje tu hapa unadhani mpo kariakoo sokoni.jibu hoja acha kuweka miswada
Hoja ni kwanini chato? Kwanini sheria ya manunuzi ya umma haijafuatwa?
haaa haaa ustadi utoke wapi mkuu.Nimecheka sana hapo 'kwa ustadi mkubwa'.
Tunataka ripoti ya gharama za uendeshaji ndege kabla ya kipindi cha corona.Hoja kama hizi zinawaondolea heshima makamanda wenzangu. Kipindi hiki cha Corona unategemea Atcl wapate faida?
Atcl kwa nini isikaguliwe na CAG wakati ni shirika la umma? Tunajiabisha tuwe makini kujibu hoja
Ni kawaida kwa watu wenye asili ya Burundi na Rwanda, ndio maana hilo hawaishi kupiganaHuyu jamaa anahasira sana, sipati picha alivyokuwa mwalimu, wanafunzi walipata shida sana.
Faida na corona hii!! Biashara ina kupanda na kushuka na ni sekta wezeshi kiuchumi.Weka faida yake mpaka sasa tuone mwelekeo.
Duhh.... Nimekustukia mzee babaHoja kama hizi zinawaondolea heshima makamanda wenzangu. Kipindi hiki cha Corona unategemea Atcl wapate faida?
Atcl kwa nini isikaguliwe na CAG wakati ni shirika la umma? Tunajiabisha tuwe makini kujibu hoja
Huko Makambako sasa hivi, petroli zaidi imemwagwa motoni!!"Mtu anazungumza eti nimejenga uwanja nyumbani, nikifa nitaenda nalo hilo liuwanja kaburini? ,ni lazima upange mipango mipana, tumejenga na tunajenga viwanja vingi zaidi ya 11..hivyo viwanja vyote watu hawavioni wanakiona cha Chato tu, ashindwe akalegee kweli kweli". Rais Magufuli
Hoja za Wadau,wapiga kura hawajaridhika
expand...
1. Ni faida kiasi gani ndege hizo zinaleta kwa taifa?
2. Kwanini amehamishia ndege kwenye kasma namba 20 ambayo haikaguliwi na CAG kama ambayo mashirika mengine ya umma yanakaguliwa?
3. Kwanini hataki kuweka wazi mikataba ya manunuzi ya ndege?
4. Kama anaweza kusafiri na gari nchi nzima wakati wa kampeni anashindwaje kusafiri kutoka mwanza airport mpaka chato?
5. Baada ya yeye kumaliza uraisi huo uwanja utatumika kwa kazi gani?
Kwa kuwa makampuni yote duniani hayanunui ndege za abiria kwa hela taslimu ( commercial aircraft leasing agreement ) ili kuweza kumudu mtaji na gharama za uendeshaji. Je biashara hii inaweza kuhimili ushindani sokoni?
"Mtu anazungumza eti nimejenga uwanja nyumbani, nikifa nitaenda nalo hilo liuwanja kaburini? ,ni lazima upange mipango mipana, tumejenga na tunajenga viwanja vingi zaidi ya 11..hivyo viwanja vyote watu hawavioni wanakiona cha Chato tu, ashindwe akalegee kweli kweli". Rais Magufuli
Hoja za Wadau,wapiga kura hawajaridhika
expand...
1. Ni faida kiasi gani ndege hizo zinaleta kwa taifa?
2. Kwanini amehamishia ndege kwenye kasma namba 20 ambayo haikaguliwi na CAG kama ambayo mashirika mengine ya umma yanakaguliwa?
3. Kwanini hataki kuweka wazi mikataba ya manunuzi ya ndege?
4. Kama anaweza kusafiri na gari nchi nzima wakati wa kampeni anashindwaje kusafiri kutoka mwanza airport mpaka chato?
5. Baada ya yeye kumaliza uraisi huo uwanja utatumika kwa kazi gani?
Kwa kuwa makampuni yote duniani hayanunui ndege za abiria kwa hela taslimu ( commercial aircraft leasing agreement ) ili kuweza kumudu mtaji na gharama za uendeshaji. Je biashara hii inaweza kuhimili ushindani sokoni?
Magufuli sio rais wa Kwanza. Tuambie mwingine aliyevutia kwake kwa mtindo huuNadhani kila mvuta kamba huivutia kwake, hivyo ubinafsi ni silka ya wanadamu wote.
faida ya kununua ndege itachukua muda mrefu kupata faida, tena na hii corona ndo kabisaa hasara inaongezeka
Mheshimiwa lakini mchezo wa siasa hauhitaji hasira! Tena Mheshimiwa lissu ameshaomba open meeting ya mdahalo, sasa kama kweli ccm ina hoja za kujenga uwanja huo wa kimataifa kwa ajili ya kuhudumia ndege moja ya rais ambvaye baada ya miaka 5 anaiacha ikulu, haya toka mje mtufafanulie! hoja na ijibiwe kwa hoja!
Na hapa ieleweke vema, shida sio kujenga uwanja chato, bali shida ni aina ya uwanja na gharama zilizotumika ukilinganisha uwekezaji wake au return of the project (Profit Analysis).
hakuna, labda Mobutu SesesekoMagufuli sio rais wa Kwanza. Tuambie mwingine aliyevutia kwake kwa mtindo huu
Hoja si kujenga uwanja bali faidi ya huo uwanja maana ata Mabotu alifanya aya aya.KWANI KUNASHIDA GANI KUJENGA UWANJA CHATO?
KWANI CHATO SIO TANZANIA?
KWANI UWANJA WA NDEGE CHATO SI UWANJA WAWATANZANIA WOTE?
KWANI UWANJA WA CHATO NI MALI YA MAGUFULU NA FAMILIA YAKEEE??
Ana hasira kuliko Lissu ambaye tangu kampeni imeanza anafoka tu hakuna seraHuyu jamaa anahasira sana, sipati picha alivyokuwa mwalimu, wanafunzi walipata shida sana.