Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli ataka Watanzania kukataa ubaguzi

Kupendelea watu wako ni ubaguzi; mfano -
1) kumpendelea Doto James kutoka karani wa mahesabu hadi mlipuaji mkuu wa serikali.

2)Kupendelea wanawake weupe (mgombea ubunge temeke) hadharani dhidi ya weusi

3)Kutosikiliza matatizo ya wananchi wenye mbunge wa upinzani na kuwaambia waendelee na Bwege wao! Kilwa huko!

4)Kudhalilisha kabila kwa geografaí yao: nyie watu wa..., Ukimwi nyie, vita nyie, gulio Katerero nyie, mto ngono nyie, tetemeko nyie n.k

5). Mchagueni na mniletee Jely Salaam kwa sababu baba yake alianguka na helikopta! (Halikupata tu iwanyime watu haki ya kupata kiongozi wanayemtaka?)

6)Kuhamisha uwanja wa ndege kutoka Omukajunguti Bukoba na kuupeleka Chato ni kuwabagua watu wa Bukoba.

7) kuvunja nyumba za watu wa Kimara na kuzuia bomoa bomoa ya watu wa Mwanza airport kisa, walilipinga kura.

8) kubariki enguaengua wagombea wa vyama vya upinzani na kulinda
Uovu wa wakurugenzi wa halmashauri za wilaya.
 
muitikio mkubwa watanzania wameonyesha kufahamu mchango wa serikali ya awamu ya tano
ni dhahiri ushindi wa mwaka huu ni wa kishindo kikubwa sana
 
Huyu ndie mbaguzi nambari one Tanzania halafu anasema nini? Lissu ndiye mwenye mamlaka ya kusema hayo sio jiwe.
mambo yako hadharani na yanajionyesha ...maendeleo yanaonekana na watu wanakubali wenyewe .... Watanzania wanatambua mchango wa Rais kuenda au kutokwenda haimaanishi hawapendi ,kwani maendeleo yakija inatajwa nchi au mkoa ?
 
..anaanza kampeni kwa kusema kataeni ubaguzi.

..anamaliza kampeni kwa kusema msiponichagulia ccm sitaipandisha hadhi halmashauri yenu kuwa jiji.

..Jpm ni mbaguzi.
 
Ama kweli nyani haoni kundule! Magufuli anawabagua walio na itikadi tofauti za kisiasa, Magufuli ni muumini wa ukabila na ukanda, ndio maana anashabikia kuongea kilugha akiwa maeneo ya wasukuma. Ni mbaguzi wa rangi, ni muumini mkubwa wa weupe. Niishie hapa.
 
Hili zee likoje lakini? Haliko sawa kichwani hili! Anayeeneza chuki na ubaguzi si ni yeye? Utawaambiaje wananchi kwamba wakichagua upinzani hupeleki miradi? Siyo ubaguzi huo? Atulie hivyo hivyo tumnyoe tarehe 28 Oktoba
 
Nimeshangaa Aliposema Hawezi Kuifanya Moshi Kuwa Jiji Sababu Ilikuwa Chini Ya Upinzani
Wakichagua Ccm Itapewa Hadhi Hiyo!!![emoji16][emoji23][emoji1787]
Kuna Mambo Yanatia Kinyaa [emoji57][emoji57][emoji57][emoji52]
Rais ni kioo na taswira ya watanzania nje ya mipaka. Kwa wingi wa matamshi ya ajabu ajabu tangu kuingia madarakani, ulimwengu unatuhurumia.
 
Rais ni kioo na taswira ya watanzania nje ya mipaka. Kwa wingi wa matamshi ya ajabu ajabu tangu kuingia madarakani, ulimwengu unatuhurumia.
Sasa kama wapinzani hawasemi chochote juu ya maendeleo ya wananchi huwezi kuwapa kipaombele
 
Ni kwanini sisi watanzania wengine hatupendi kuambiwa ukweli?
Kwani ni uongo?
Mambo mengine watanzania tunafeli wenyewe ... unachagua kiongozi akifika bungeni yeye mdomo kaweka plasta apo nani alaumiwe wakati pesa yake inaingia na wananchi wake anawakimbia
tupende kuambiwa ukweli tupone
 

..ilani ya ccm inatakiwa itekelezwe bila kujali mbunge wa eneo husika "anafunga plasta mdomoni," au la.

..mbona kodi mnakusanya kila mahali, hamsemi kwamba mbunge wenu "anafunga plasta" hivyo kodi yenu hatuiihitaji?

..WABAGUZI lazima waambiwe ukweli. Na ni lazima tuwakatea kama tulivyowakataa MAKABURU.

tindo
 

Huko kwa wabunge wa ccm kusiko na maendeleo walifunga plasta sehemu gani? Acha kwa wabunge, nenda kwenye jimbo la spika ambaye ndio mkuu wa hilo bunge kibogoyo, ulete level ya maendeleo ya huko. Propaganda mfu sio kwa kizazi hiki. Wabunge wa upinzani sio kondoo wa kufuata itakacho Serikali. Ingetokea wanaweka plasta wakati mjadala wa ujenzi wa madarasa, hospital nk ungekua na hoja.

Huo uduwanzi wa kuunga mkono utashi wa rais, bakini nao ccm maana huwa mnaingia bungeni kwa kutegemea mbeleko ya madaraka yake, na hisani yake na sio kura za wananchi. Imesha hiyo.
 
Anayesema tusibaguana yeye ndiyo mbaguzi nambari moja.
 
Ubaguzi gan mana CCM kila ofisi kuna kila aina ya watu
Kila aina ya watu gani unaomaanisha wewe?
Yani unamaanisha nini, kuna mwana CCM gani amembagua mtu na ni wa wapi? Kuna kiongozi gani wa chama amembagua mtu na ni nani aliyebaguliwa? Ukijibu uje na uthibitisho hapa tuuone.
Chagua Magufuli
Magufuli ametamka mbele ya wananchi kwa kusema hatoleta maendeleo kwenye majimbo watayachagua wapinzani, na uthibitisho wa hayo ni Kaskazini, tangu ameingia madarakani hakuna mradi hata mmoja wa maendeleo aliopeleka kwa sababu majimbo mengi yanaongozwa na wapinzani.
 
Ivi mnapata ujasiri wakumsikiliza uyu jamaa kweli nawe kichaaa.

Yaaan wewe unaweza kugongewa mkeo na ukaona kabisa unagongewa lakini mkeo akakwanbia sijagongwa na ukakubali.

Maana akili yako sio akili nimatope

Mtu anasema tuache ubaguzi apo apo anasema msiponiletea mgombea flani sileti maji afu unachekelea tu instead ya kumtemea mate.
 
Vita ya ubaguzi ilibidi aipige kwenye chama chake cha CCM pamoja na viongozi wa CCM walio wengi
Nooo hapana alibis aanze kujipiga vita yeye mwenyewe kwa kujiuzulu haraka iwezekanavyo

Naanza kuamini huyu mzee anamatatizo ya akili sio bure huyu mzee anamushkeli na ubongo wake amini nawaambia

Yeye si ndie ana nadi hadharani sera za kibaguzi kwamba usipochagua CCM haleti maendeleo

Ama kweli ukistaajabu ya Mussa utashangaa ya Magufuli

#NI YEYE 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…