Kupendelea watu wako ni ubaguzi; mfano -
1) kumpendelea Doto James kutoka karani wa mahesabu hadi mlipuaji mkuu wa serikali.
2)Kupendelea wanawake weupe (mgombea ubunge temeke) hadharani dhidi ya weusi
3)Kutosikiliza matatizo ya wananchi wenye mbunge wa upinzani na kuwaambia waendelee na Bwege wao! Kilwa huko!
4)Kudhalilisha kabila kwa geografaí yao: nyie watu wa..., Ukimwi nyie, vita nyie, gulio Katerero nyie, mto ngono nyie, tetemeko nyie n.k
5). Mchagueni na mniletee Jely Salaam kwa sababu baba yake alianguka na helikopta! (Halikupata tu iwanyime watu haki ya kupata kiongozi wanayemtaka?)
6)Kuhamisha uwanja wa ndege kutoka Omukajunguti Bukoba na kuupeleka Chato ni kuwabagua watu wa Bukoba.
7) kuvunja nyumba za watu wa Kimara na kuzuia bomoa bomoa ya watu wa Mwanza airport kisa, walilipinga kura.
8) kubariki enguaengua wagombea wa vyama vya upinzani na kulinda
Uovu wa wakurugenzi wa halmashauri za wilaya.