Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli atinga Kagera, Mama Tibaijuka asema watampa kura za heshima na kusisitiza wao ni 'Natural Allies'. Magufuli amuahidi cheo

"BASHIRU: Hapa mimi ndiko ulikonitoa jalalani(Bukoba) maana kuna lugha ya jalalani, ukiwa Kagera sisi wasaidizi wako umetutoa jalalani na mimi niko kwenye jalala langu na jana nimekuona ukiwa kwenye jalala lako Chato, sasa ni zamu yangu, acha nijidai kwenye jalala langu la Kagera."

Nashangaa sana huu uharo kuharishwa kutoka kinywa cha mtu anayeitwa Dokta! Yaani Dokta anasimama kwenye maiki na kuharibu pumzi ya Mungu, si ajabu na maji kanywa (ambayo ni gharama ya kodi za walalahoi) ili alainishe koo kabisa kutoa huo upuuzi!

Wanajaribu kutafuta kura za huruma kutoka kwa wananchi kwa kumchonganisha Tundu Lissu aonekane yeye ndiye aliyeanzisha msemo huo wakati muasisi anafahamika.

Pia wanajaribu kuwashawishi wananchi wa makwao ionekane sehemu hizo ndizo zimeitwa majalala.

Ni vema Kabudi ajitokeze atueleze jalalani alikomaanisha ni wapi, ili kama alimaanisha jimboni kwake ndiko jalalani basi wananchi wamshughulikie hata kama atakuwa kajipitisha bila kupingwa.
 
Ndg Rais Magufuli, nakuomba uruhusu TBC wawe wanarusha live mikutano yote ya Lissu ili usipate tabu ya kuweka bando la kumtazama

Screenshot_20200915-143901.png

Screenshot_20200915-143841.png
 
Vipi na Lissu nae si anafuatilia sana kampeni za Magu?
 
Rais Magufuli leo yupo mkoani Kagera akitokea Chato kuendelea na kampeni za kuwania Urais kwa muhula wa pili, akiwa njiani amesimama Muleba, lililokuwa jimbo la mama Anna Tibaijuka upande wa Muleba Kusini. Hii ni sehemu ya yaliyojiri huko...
Magu bana anaongea kama si Rais wa nchi, CCM mlibugi big time
 
Naona huo ulikua ni mkutano wa watu kupeana vyeo na kuonyeshana jinsi wanavyo juana kifamilia zaidi.

Mdogo wangu/kaka yangu/dada yangu/Mume wake
 
Mkoa wa Kagera huyu mzee anakwenda kupoteza muda wake tu, hawajasahau kauli zake za hovyo wakati wa tetemeko.

Ni vizuri akitumia mkutano huu kuwaeleza rambirambi zao za tetemeko zimekwenda wapi?
Hizo ni dalili za kifilisika Sera kichwani..nakwambia mtanzania wa Leo huwezi mdanganya hivi
 
Magu yupo kila TV na kila media kinachoshangaza Lissu kazimwa kila kona lakini bado sindano zake zinamfikia na kumchoma
Mwaka 2015 mlijipaga moyo hivihiviiiii..mlichoambulia Mungu mwenyewe ndie anayejua...Sasa naona mnakuja na wimbo uleulee..subirini rungu la wananchi
 
Mkoa wa Kagera huyu mzee anakwenda kupoteza muda wake tu, hawajasahau kauli zake za hovyo wakati wa tetemeko.

Ni vizuri akitumia mkutano huu kuwaeleza rambirambi zao za tetemeko zimekwenda wapi?
Una uhakika? Mkoa wa Kagera mwaka huu tunaenda kuvunja rekodi, kuanzia madiwani, waving mpaka Raisi! Ni mafiga matatu kwelikweli! Chadema na lissu wenu mtakuwa na raisi wa twita! Kichinjio ninacho hapa kituo cha kupigia kura ni hapa Kitendaguro ofisi ya kata! Wewe na wenzako hata huku Kagera hamjawahi kufika
 
Bashiru huyu akili zake zipoje? Jalala kila mtu anafahamu maana yake
 
Rais Magufuli leo yupo mkoani Kagera akitokea Chato kuendelea na kampeni za kuwania Urais kwa muhula wa pili, akiwa njiani amesimama Muleba, lililokuwa jimbo la mama Anna Tibaijuka upande wa Muleba Kusini. Hii ni sehemu ya yaliyojiri huko.

===========

Anna Tibaijuka: Nashukuru sana mheshimiwa Rais kuniruhusu na mimi nikapumzike. Ninapopumzika, hapa tunaacha ni mahali salama. Kuna mtu mwenye mashaka na baba huyu? Kuna mtu mwenye wasiwasi? (Wananchi: Hamna).

Nyinyi wanangu wa Muleba, walio wengi hapa ni wanangu na wewe mheshimiwa Rais ukiwa mdogo wangu. Hapa Muleba, jirani yetu ni Chato, wembe ni uleule. Wazungu wanasema kama huyu Rais Magufuli ana mshikaji wake, wanasema natural allie ni Muleba Kusini, Muleba kwa ujumla.

Kwa hio kura hapa zitaendelea kuwa za heshima mheshimiwa Rais kama ilivyokuwa 2015. Hapa usiwe na shaka na mimi hapa mstaafu na dada yako, nashukuru sana.

BASHIRU: Hapa mimi ndiko ulikonitoa jalalani(Bukoba) maana kuna lugha ya jalalani, ukiwa Kagera sisi wasaidizi wako umetutoa jalalani na mimi niko kwenye jalala langu na jana nimekuona ukiwa kwenye jalala lako Chato, sasa ni zamu yangu, acha nijidai kwenye jalala langu la Kagera.

MAGUFULI: Miaka mitano iliyopita tulipita hapa kuomba kura na tuliwaomba kwa heshima kubwa, mgombea ubunge wakati alikuwa Prof. Tibaijuka. Mimi Prof. Tibaijuka ni dada yangu na nataka niwaeleze hata marehemu mume wake alipokuwa balozi kule Sweden, mimi nikiwa naibu waziri wa ujenzi na mbunge kwenye miaka ya 95 nilienda mpaka huko kwa hio Prof. Tibaijuka ninamfahamu.

Baada ya wakati ule, mheshimiwa Masilingi, aliyekuwa mbunge wa hapa kabla ya mama Tibaijuka nae ni rafiki yangu, tulihangaika nae wote kwenye barabara ya kwenda mpaka Kyamyora mpaka kuelekea Kimwali. Ndio maana alipomaliza kumuachia Pro. Tibaijuka, Masilingi nikamteua kuwa balozi na hata mpaka leo ni balozi kule Marekani, ndiyo faida ya kumteua unayefahamu.

Hata mama Tibaijuka amesema amestaafu lakini kwangu mimi hajastaafu.

Huyu Bashiru, hakuna mtu alitegemea atakuwa katibu mkuu wa chama cha mapinduzi Tanzania nzima, alikuwa muuza ndizi pale Kemondo, baadae akaenda chuo kikuu akafundisha lakini leo ndio katibu mkuu wa chama cha mapinduzi Tanzania nzima, Muleba Oyee.

Serikali hii ina mavyeo mengi na ndio maana nimemwambia hata Prof. Tibaijuka, ameniambia hapa, mdogo wangu nimestaafu. Mimi nakwambia hapa, Prof. hujastaafu. Hauwezi tukamuacha Profesa akakaa tu hapa wakati kuna maeneo mengi ya kwenda kufanya.

Muachane na propaganda ambazo zinafanyika, kwamba mkituchagua sisi tutafuta kodi. Utafutaje kodi wakati kwenye mikutano yako unachangisha kodi?

Unasema utafuta kodi, ukienda kwenye mkutano, naomba mtuchangie, sasa wakiingia zile tulizozikusanya si watazitumia vibaya, zile tulizopanga kununua meli ambayo inatengenezwa pale, zitapotea.

Msichagua watu wasiomanika, msichague watu watakaokuja kutawala kwa matakwa ya watu wengine. Na si ajabu zikarudishwa hapa lockdown wakati Mungu ameshaimaliza.

Kumbeee wasubiri vipimo
 
Kosa kubwa sana kuita Kagera jalala, wana Kagera fanyeni kitu.
Washirikisheni wananchi wote wa Tanzania na Pambaneni mpaka tone la mwisho. Wananchi wa Tanzania wapo nyuma yenu, nyinyi pamoja na ACT Wazalendo (kwa upande wa Zanzibar) ndo tegemeo letu pekee wana wa nchi hii lililobaki, tarehe 24 oktoba ni nafasi ya dhahabu (golden chance), itumieni vema.
Alisema, namnukuu: "Kama Rais Magufuli hata yaachia hayo makontena ya mchanga na kuyaruhusu yaende kwa wazungu hakika tutapigwa kama Gadafi na tutachakazwa ndani ya masaa 48 tutakuwa tumekwisha"
Njombe hiyooooo

Moto chini, uuwi , Lissu namba nyingine aisee
Wewe si ulisema kaahirisha? Muda sio mrefu utashangaa watu mada zako hawasomi sababu wanakuona kuwa huko reliable
Baada ya kujidhalilisha kwa kauli ya jalalani wanajaribu kubadilisha maana yake ingawa wanazidi kujichanganya.

Wanajitapa uchumi wa kati na kuwa tunapata maendeleo kama Ulaya, ni kwa nini sasa wanaanza kuita kila sehemu ni jalalani?
Mkumbushe Tibaijuka barabara ya Muleba Rubya kaitelekeza miaka minne kilometa 100 na point hazijaisha watu wanateseka
 
Rais Magufuli leo yupo mkoani Kagera akitokea Chato kuendelea na kampeni za kuwania Urais kwa muhula wa pili, akiwa njiani amesimama Muleba, lililokuwa jimbo la mama Anna Tibaijuka upande wa Muleba Kusini. Hii ni sehemu ya yaliyojiri huko.

===========

Anna Tibaijuka: Nashukuru sana mheshimiwa Rais kuniruhusu na mimi nikapumzike. Ninapopumzika, hapa tunaacha ni mahali salama. Kuna mtu mwenye mashaka na baba huyu? Kuna mtu mwenye wasiwasi? (Wananchi: Hamna).

Nyinyi wanangu wa Muleba, walio wengi hapa ni wanangu na wewe mheshimiwa Rais ukiwa mdogo wangu. Hapa Muleba, jirani yetu ni Chato, wembe ni uleule. Wazungu wanasema kama huyu Rais Magufuli ana mshikaji wake, wanasema natural allie ni Muleba Kusini, Muleba kwa ujumla.

Kwa hio kura hapa zitaendelea kuwa za heshima mheshimiwa Rais kama ilivyokuwa 2015. Hapa usiwe na shaka na mimi hapa mstaafu na dada yako, nashukuru sana.

BASHIRU: Hapa mimi ndiko ulikonitoa jalalani(Bukoba) maana kuna lugha ya jalalani, ukiwa Kagera sisi wasaidizi wako umetutoa jalalani na mimi niko kwenye jalala langu na jana nimekuona ukiwa kwenye jalala lako Chato, sasa ni zamu yangu, acha nijidai kwenye jalala langu la Kagera.

MAGUFULI: Miaka mitano iliyopita tulipita hapa kuomba kura na tuliwaomba kwa heshima kubwa, mgombea ubunge wakati alikuwa Prof. Tibaijuka. Mimi Prof. Tibaijuka ni dada yangu na nataka niwaeleze hata marehemu mume wake alipokuwa balozi kule Sweden, mimi nikiwa naibu waziri wa ujenzi na mbunge kwenye miaka ya 95 nilienda mpaka huko kwa hio Prof. Tibaijuka ninamfahamu.

Baada ya wakati ule, mheshimiwa Masilingi, aliyekuwa mbunge wa hapa kabla ya mama Tibaijuka nae ni rafiki yangu, tulihangaika nae wote kwenye barabara ya kwenda mpaka Kyamyora mpaka kuelekea Kimwali. Ndio maana alipomaliza kumuachia Pro. Tibaijuka, Masilingi nikamteua kuwa balozi na hata mpaka leo ni balozi kule Marekani, ndiyo faida ya kumteua unayefahamu.

Hata mama Tibaijuka amesema amestaafu lakini kwangu mimi hajastaafu.

Huyu Bashiru, hakuna mtu alitegemea atakuwa katibu mkuu wa chama cha mapinduzi Tanzania nzima, alikuwa muuza ndizi pale Kemondo, baadae akaenda chuo kikuu akafundisha lakini leo ndio katibu mkuu wa chama cha mapinduzi Tanzania nzima, Muleba Oyee.

Serikali hii ina mavyeo mengi na ndio maana nimemwambia hata Prof. Tibaijuka, ameniambia hapa, mdogo wangu nimestaafu. Mimi nakwambia hapa, Prof. hujastaafu. Hauwezi tukamuacha Profesa akakaa tu hapa wakati kuna maeneo mengi ya kwenda kufanya.

Muachane na propaganda ambazo zinafanyika, kwamba mkituchagua sisi tutafuta kodi. Utafutaje kodi wakati kwenye mikutano yako unachangisha kodi?

Unasema utafuta kodi, ukienda kwenye mkutano, naomba mtuchangie, sasa wakiingia zile tulizozikusanya si watazitumia vibaya, zile tulizopanga kununua meli ambayo inatengenezwa pale, zitapotea.

Msichagua watu wasiomanika, msichague watu watakaokuja kutawala kwa matakwa ya watu wengine. Na si ajabu zikarudishwa hapa lockdown wakati Mungu ameshaimaliza.

Ujinga mtupu Kama kawaida ya maccm
 
Mbna anadanganya aliemteua Masilingi balozi marekani ni jk.
 
Back
Top Bottom