Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli hajawahi kushindwa, hatashindwa

Labda uishie kusema 'hajawahi kushindwa' ila kusema 'hatashindwa' mh! utata.Hayo ya Mungu ndugu.Labda kama kakutuma umfariji humu.Hata hivyo kisaikolojia unamsaidia sana.Kuamka kutwa kucha unakutanana na mineno mikali ya kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa chato,kutoajiri,kubugia hela za rambirambi n.k. Kibinadamu inaleta tabu sana.Good job.Swali la kizushi,je,umeshapokea chako?.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Hela ipi ya rambirambi aliyobugia?
Ajira nyingi sana zimetolewa, na zingine 13,000 za ualimu zimetangazwa,
Flyover za kumwaga,
Barabara kibao - hata hapo ulipokanyaga ni lami,
Umeme kona zote,
Vituo vya afya na zahanati kibao,
Uzalishaji mazao ya chakula na kibiashara umeongezeka, nk nk nk
 
Hahahahahaaaaa ndugu yangu wewe,muogope Mungu aisee!.Unaweza kutoka hadharani ukayasema haya?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Unaishi nchi ipi hapa duniani?
 
11. Pamoja na majaribio yote Lissu ndio huyo bado anadunda!
 
Mtu kama weww sijui unatumia akili za mnyama gani au mdudu
 
Mtu kama weww sijui unatumia akili za mnyama gani au mdudu
Unaishi nchi ipi hapa duniani?

Hoja hujibiwa kwa hoja
 
Muulize Magu kama anamjua Phares Kabuye atakueleza jinsi jamaa alivyomtesa. Ndiyo maana hadi leo Magu hapendi uchaguzi
 

Ukimchangua ww na familia yako inatosha, wengine tutampa tunaemtaja
 
Muulize Magu kama anamjua Phares Kabuye atakueleza jinsi jamaa alivyomtesa. Ndiyo maana hadi leo Magu hapendi uchaguzi
Historia hiyo naifahamu vizuri - wakati huo uchaguzi ulitawaliwa na ukanda Chato "wasukuma" na Biharamulo "wasubi" - kura ziligawanuika

Lilipotengwa Jimbo la Biharamulo Mashariki ndiyo alipambana na akina Mabina Nyororo mwenye ukwasi mwingi lkn akashinda na mara ya kwanza akawa mbunge wa Jimbo jipya
 
Mwaka huu ndio tutajua kwani alishindwa mara ngapi kwenye ubunge biharamulo?
 
Kwa hiyo unakubali amewahi kushindwa?
 
Mbona kashindwa kujenga the so called tanzania ya viwanda aliyoahidi 2015?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…