Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Neno haki kwake ni mwiba mchungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mumiani wakubwa nyie. DraculaKura zote kwa Rais Magufuli
Zuzu mkuu ni wewe uliyeshindwa kujibu nilichoandika unaleta utopolo wakinyumbu.Ulivyo zuzu haujui hata hilo neno HAKI askofu Bagonza ndiye aliyekua analisisitiza kila mara.View attachment 1614368
Haki bila wajibu?Neno HAKI sijaliona kwny hio story yote.
MNIOMBEEEEEEEEEEEEEEE.Haki bila wajibu?
Sasa boya utamjibu nini sasa?Zuzu mkuu ni wewe uliyeshindwa kujibu nilichoandika unaleta utopolo wakinyumbu.
Mwisho wenu wakutupigia kelele humu ni leo.
Unaota, vibaraka hawawezi shinda uchaguziHaki Inaenda Kutendeka Zanzibar. Je, Kuna sababu gani ya Kufanya uchaguzi kama unataka chama chako na watu wako ndio wachaguliwe tu. Kuamasisha watu kupiga kura ni jambo moja , Kuwapa haki yao ni jambo la muhimu sana katika kulinda Amani. Otherwiae hakuna sababu ya kupiga kura.. kama ukiporwa ushindi ni kulidhika tu na kusema sawa. Haki....Haki...Haki!
Akanywe damu anayoendelea kuimwaga ya watu wasio na hatia.
Mumiani wakubwa nyie. Dracula