Haki Inaenda Kutendeka Zanzibar. Je, Kuna sababu gani ya Kufanya uchaguzi kama unataka chama chako na watu wako ndio wachaguliwe tu. Kuamasisha watu kupiga kura ni jambo moja , Kuwapa haki yao ni jambo la muhimu sana katika kulinda Amani. Otherwiae hakuna sababu ya kupiga kura.. kama ukiporwa ushindi ni kulidhika tu na kusema sawa. Haki....Haki...Haki!