Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Hiki ni kipindi changu cha mwisho kuliongoza Taifa

Kwangu haya maneno ni sawa na kusema kazi hii ni ngumu najuta kuomba lakin form inaprintiwa moja
 
Wakati huo huo, MBOWE NA CHADEMA NA UPINZANI WOTE WALIIMBA HUU WIMBO:

TANZANIA INAHITAJI RAIS DICTATOR.....
Kwahiyo ndiye mwakuzi
Hata hao kina Gadaff walianza taratibu taratibu. Siku wakisikimika watu wao wote na mifumo yao yote ikawa full functional hapo sasa ndio hata ninyi mashabiki zake mtaimbw haleluya.
 
Ipo siku atauzungumza ukweli kwa yaliyotokea kwenye uchaguzi huu.
 
Umeshasahau ya yeye kusema analala usiku sana kwa Sababu ya kusoma VITABU VYA BUNGE NA SERIKALI na kufikia kuvifanya MITO kitandani pake?!!!
tofautisha kati ya vitabu/hansard na miswada
 
Wakati huo huo, MBOWE NA CHADEMA NA UPINZANI WOTE WALIIMBA HUU WIMBO:

TANZANIA INAHITAJI RAIS DICTATOR.....
Mbowe siyo msemaji wa Watanzania. Yeye na chama chake wataputa ila Tanzania itabaki.

Sasa wewe endelea kulichekea Dikteta Kwasababu ya chuki zako kwa Mbowe.

Utakuja kushtuka wote tushafungwa mikono na micuu hatuwezi kutembea tena.
 
Kuna wasouth Afrikan wakishirikiana na makaburu nahawakuona umuhimu wakuandamana lkn leo hii wanafurahia kuondoka kwa ubaguzi.kwahio watu kama wewe ambao wanaangalia matumbo yao hawakosekani katika jamii.
Nadhani ujumbe huu Ni wa hao wanaohamasisha fujo Kwa mgongo wa amani
Vyeo vinawafanya kutaka kuwateketeza wanyonge
Miaka 15 bungen....haya wew unajishughulisha Na nini ...
Mimi nafanya kilimo Na kimenitoa kweli kweli
 
Kama wewe unafanya kilimo hongera, lkn nachofahamu pia naweza kukuajiri wewe pamoja mumeo namwisho wasiku nikawalipa.
 
Mbowe siyo msemaji wa Watanzania. Yeye na chama chake wataputa ila Tanzania itabaki.

Sasa wewe endelea kulichekea Dikteta Kwasababu ya chuki zako kwa Mbowe.

Utakuja kushtuka wote tushafungwa mikono na micuu hatuwezi kutembea tena.
Najua unakereka ila huna cha kufanya. Karibu jamhuri stadium kumuapisha rais aliyechaguliwa kwa kishindo na watanzania
 
Kama wewe unafanya kilimo hongera, lkn nachofahamu pia naweza kukuajiri wewe pamoja mumeo namwisho wasiku nikawalipa.
Kumbe unaweza kuajiri watu Sasa kwann hizo nguvu usizitunze ili usije shtukia kilema chako cha ujinga wa kesho kikafunga hata miradi yako Na pesa zote kuishia kwenye madawa Na kuchangia Pato la taifa
 
Kwahiyo ndiye mwakuzi

Hata hao kina Gadaff walianza taratibu taratibu. Siku wakisikimika watu wao wote na mifumo yao yote ikawa full functional hapo sasa ndio hata ninyi mashabiki zake mtaimbw haleluya.
Well kumbe hajakuwa dikteta bado..Sawa nimekupata mkuu Wangu...

Haya sasa hayo mengine ya Sintofahamu za hapa na pale na kutoridhishwa na baadhi ya mambo mna haki ya kuongea na kuAIR VIEWS zenu Kama raia sawasawa na hivi unavyofanya hapa!!!
 
Kumbe unaweza kuajiri watu Sasa kwann hizo nguvu usizitunze ili usije shtukia kilema chako cha ujinga wa kesho kikafunga hata miradi yako Na pesa zote kuishia kwenye madawa Na kuchangia Pato la taifa
Wewe kama hufanyi biashara nahujaguswa nahuyu dikteta basi utakuwa hujafikia hata hadhi yakuitwa machinga. Endelea kuneemeka namfumo kandamizi kwa sababu unakunufaisha, lkn sisi ambao tunabambikizwa kodi na serikali yahuyu jamaa kesho wote tutakuwa barabarani kuhakikisha demokrasia inashamiri ili tuweze kufanya biashara zetu katika mazingira rafiki.
 
Ikifika 2014 ataanzisha miradi mingine mikubwa itakayomfanya aongeze mda ili kuikamilisha, funga mkanda tujiandae na msoto hapa ni Hadi 2040.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…