Azizi J Hamad
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 442
- 230
Yani wewe kweli Fala tena Fala haswa, kwa hiyo kwa vile mbowe, bwana kabwe, babu madevu, na Aunty Li na genge lote la wahuni wameliwa vichwa na wananchi, demokrasia haipo acha ulofa wewe demokrasia inampa kila mtu haki ya kuchagua na kuchaguliwa wengine wamechaguliwa hilo genge la wahuni wasugue benchi kwanza hadi makalio yaote gaga, hakuna atakaye andamanaTukutane barabarani kesho kudai demokrasia iliyopokwa na watawala mafedhuli.
Mwaka 2012 dikteta mwenzake Kagame naye alisema hivi hivi baada ya kushinda uchaguzi. The rest is history!Rais John Magufuli ameipongeza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kufanikisha uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020 na kubainisha kuwa baada ya kuibuka na ushindi ataliongoza Taifa la Tanzania kwa miaka mingine mitano na ndio itakuwa ya mwisho.
Rais Magufuli ameyasema hayo leo Jumapili Novemba Mosi, 2020 jijini Dodoma baada ya kukabidhiwa cheti cha ushindi na mwenyekiti wa NEC, Jaji Semistocles Kaijage.
Amewashukuru Watanzania kwa ushindi huo na kusema ana deni kubwa la kuwalipa kwa imani kubwa waliyoionyesha kumchagua tena kuliongoza Taifa hilo kwa miaka mingine mitano.
“Ninaipongeza Tume ya Uchaguzi kwa kufanikisha uchaguzi huu kwa kuwahisha matokeo. Ninawashukuru Watanzania kwa kunichagua tena…, hiki ni kipindi cha pili cha mwisho.”
“Mmetupa ushindi mkubwa sana ambao umetuachia deni kubwa sana, ninamuomba Mungu anisaidie katika kipindi hiki cha pili tuweze kukidhi haja za Watanzania,” amesema Rais Magufuli ambaye ameshinda uchaguzi kwa kura 12,516,252.
Amesema ushindi huo siyo wake peke yake wala wa chama chake bali ni wa Watanzania wote. Amesema atawatumikia wote bila kujali wanapotoka, dini au kabila.
Demokrasia gani wakati wapiga kura wenu hawakwenda kupiga kura?Tukutane barabarani kesho kudai demokrasia iliyopokwa na watawala mafedhuli.
Malofa wengine hawa wenye vijiba vya roho
Wapiga kura hawakwenda lkn kura fake zilienda?.Demokrasia gani wakati wapiga kura wenu hawakwenda kupiga kura?
Fanyeni kazi achana na siasa ni pasua kichwa.
Labda ungesema tuandamane kudai mitandao ya kijamii irudi watu tuendelee kupiga hela
Hansard ni maandiko yanayobaki kama kumbukumbu za bunge wewe mbwiga.Miswada inaandikwa HEWANI?!!
Tusubir kesho we pimbi. Kipindi Wakina Kawawa wanapigania Uhuru mzee wako au babu yako hakushiriki lkn kunakipindi ulifurahia nchi, kwahio hata kesho sitegemei pimbi kama wewe uwepo.Yani wewe kweli Fala tena Fala haswa, kwa hiyo kwa vile mbowe, bwana kabwe, babu madevu, na Aunty Li na genge lote la wahuni wameliwa vichwa na wananchi, demokrasia haipo acha ulofa wewe demokrasia inampa kila mtu haki ya kuchagua na kuchaguliwa wengine wamechaguliwa hilo genge la wahuni wasugue benchi kwanza hadi makalio yaote gaga, hakuna atakaye andamana
Tukutane barabarani kesho kudai demokrasia iliyopokwa na watawala mafedhuli.
"Mimi nilishatangaza kuwa ni kipindi changu cha mwisho lakini Bunge limenilazimisha kuendelea kuongoza" alisikika jamaa mmoja akisema wakati huo
Nakukumbusha hakikisha familia yako ipo kwenye mazingira mazuri if not better stay home.Haya Asante tusubiri kesho yamebaki masaa, ili hizo kazi zako uzifanye vizuri.
Nimezungumzia anachopelekewa mh.rais kusoma na kutia sahihi Kuwa SHERIA kamili....Hansard ni maandiko yanayobaki kama kumbukumbu za bunge wewe mbwiga.
Wewe wasema.....Kama alivyosema Mh.Kangi Lugola...Magufuli ni yesu, hajawahi kukosea
Kwa jinsi unavyomuona huyu Dingi anaweza kweli kukataa kusaini?Sharti asisaini akisaini atakuwa amekubali ndo tutazidi chakaa