Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Mtu aliyethubutu kumpinga Dkt. Mpango siwezi kumteua nafasi yoyote

Hajui atendalo ndio maana tunamtaka Lissu
 
Ccm na hasa hasa Magufuli hajawahi kuheshimu box la kura. Usitake kujifanya ccm itashinda kupitia box la kura.
Huyo Lissu apigiwe kura na mikoa yote ya Tanzania na kura zihesabiwe hadharani, bado atashindwa na Magufuli hata kama Magufuli atapigiwa kura na Mkoa mmoja tu. Watu hawampendi Lissu, hana mvuto wa kupendeka. Hana maneno mazuri wala sio handsome. Mgombea anaweza kukosa sera akawa na sura nzuri ( Joe Biden) au akawa sio mzuri lakini ana sera nzuri ( Benjamin Mkapa ). Sifa kama hizo ndizo zilizofanya chama cha Democrat kikamuacha Bernie Sanders 2016 na 2020. Kuna watu tunaishi nao kwa kuwavumilia.
 
Mwambieni mtukufu maisha bila ya teuzi zake yanawezekana,akajifunze kwa alio watumbua na wale walionyimwa teuzi zake.
 

Duuu kazi ipo.
 
Kwani mimi CHADEMA?

Au una mawazo potofu kwamba kila anayemsema Magufuli ni CHADEMA?

Hujagusia hata hoja moja niliyotoa mimi.

Unaniletea habari za CHADEMA ambazo mimi sijazitaja popote.
Haya ni moja mambo ya hovyo humu jf kudhania kila mwana jf ni mwanachama wa chama fulani.
 

Ushauri wa Mpango kwa JIWE nchi imepata kuwa uchumi wa kati lakini ni nchi ya 8 [NANE} toka ya mwisho duniani kwa umasikini!!! Halafu mnajisifia nchi yenu ni tajiri!!!

Mpango kwa kujipendekeza kwake amesahau yale aliyofundishwa pale idara ya Uchumi UDSM; ngoja nimkubushe machache, ILI NCHI IPATE MAENDELEO MSHAURI JIWE LAZIMA AFUATE YAFUATAYO;-

1.TEUZI ZISIFUATE UKABILA WALA UDUGU AU URAFIKI BALI WELEDI, KUWA MPWA SIO SIFA YA KUPEWA CHEO-- MERITOCRACY

2. ANGALIA MATOKEO YA KAZI USIJALI YAMEFANYWA NA NANI; USIJALI RANGI YA PAKA MRADI ANAKAMATA PANYA

3 UADILIFU ; WATEULE LAZIMA WAWE NI WATU WENYE HADHI KUTOKANA NA HISTORIA YAO !! KUWA WANAFUNZI WA KIONGOZI SIO QUALIFICATION YA KUTEULIWA!! TUMEONA WENGINE WALIPEWA VYEO NA KUTEMBEA NA ILANI YA CHAMA TAWALA KUMBE NI WEZI!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…