Mwaka huu hamuibi n'goo, maana ninyi ni vibaka wazoefu.Lissu tutamkomesha oktoba kwenye box la kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka huu hamuibi n'goo, maana ninyi ni vibaka wazoefu.Lissu tutamkomesha oktoba kwenye box la kura
Hajui atendalo ndio maana tunamtaka LissuRais amesema anashangaa sana kuona mtu anajitokeza kumpinga Dkt. Mpango, kwani kwa namna Dkt. Mpango alivyosimamia uchumi vizuri, hakupaswa kupingwa na mtu yeyote.
Cha ajabu ni kwamba, muda mfupi kabla ya kusema hayo mheshimiwa alisifia ukomavu wa demokrasia ndani ya CCM.
Huyo Lissu apigiwe kura na mikoa yote ya Tanzania na kura zihesabiwe hadharani, bado atashindwa na Magufuli hata kama Magufuli atapigiwa kura na Mkoa mmoja tu. Watu hawampendi Lissu, hana mvuto wa kupendeka. Hana maneno mazuri wala sio handsome. Mgombea anaweza kukosa sera akawa na sura nzuri ( Joe Biden) au akawa sio mzuri lakini ana sera nzuri ( Benjamin Mkapa ). Sifa kama hizo ndizo zilizofanya chama cha Democrat kikamuacha Bernie Sanders 2016 na 2020. Kuna watu tunaishi nao kwa kuwavumilia.Ccm na hasa hasa Magufuli hajawahi kuheshimu box la kura. Usitake kujifanya ccm itashinda kupitia box la kura.
Mwambieni mtukufu maisha bila ya teuzi zake yanawezekana,akajifunze kwa alio watumbua na wale walionyimwa teuzi zake.Rais amesema anashangaa sana kuona mtu anajitokeza kumpinga Dkt. Mpango, kwani kwa namna Dkt. Mpango alivyosimamia uchumi vizuri, hakupaswa kupingwa na mtu yeyote.
Cha ajabu ni kwamba, muda mfupi kabla ya kusema hayo mheshimiwa alisifia ukomavu wa demokrasia ndani ya CCM.
Huyo Lissu apigiwe kura na mikoa yote ya Tanzania na kura zihesabiwe hadharani, bado atashindwa na Magufuli hata kama Magufuli atapigiwa kura na Mkoa mmoja tu. Watu hawampendi Lissu, hana mvuto wa kupendeka. Hana maneno mazuri wala sio handsome. Mgombea anaweza kukosa sera akawa na sura nzuri ( Joe Biden) au akawa sio mzuri lakini ana sera nzuri ( Benjamin Mkapa ). Sifa kama hizo ndizo zilizofanya chama cha Democrat kikamuacha Bernie Sanders 2016 na 2020. Kuna watu tunaishi nao kwa kuwavumilia.
Haya ni moja mambo ya hovyo humu jf kudhania kila mwana jf ni mwanachama wa chama fulani.Kwani mimi CHADEMA?
Au una mawazo potofu kwamba kila anayemsema Magufuli ni CHADEMA?
Hujagusia hata hoja moja niliyotoa mimi.
Unaniletea habari za CHADEMA ambazo mimi sijazitaja popote.
Unaweweseka sana wewe lumumbaLissu tutamkomesha oktoba kwenye box la kura
Inaonesha ufinyu wa mawazo wa huyo mtu anayerukia habari za CHADEMA.Haya ni moja mambo ya hovyo humu jf kudhania kila mwana jf ni mwanachama wa chama fulani.
Sasa unataka ampende anayempinga.
Ndiyo nyie mtu akileta upingaji wa kijinga mnamsifia ni professional. Yaleyale ya CAG kujisahau kwamba anafanya kazi kwa niaba ya Bunge. Anakagua serikali na kupeleka bungeni ambalo ndiyo linawajibu wa kuisimamia serikali.
Angalia katimiza wajibu wake? Kasimamia uchumi vizuri? Yes uchumi umekua, indicatators zote zinafanya vizuri, makusanyo mazuri, sera nzuri zinazochochea kukua kwa sekta mbalimbali za kiuchumi. Nk.
Ndiyo nyie hata bungeni mkiona serikali inapingwa bila sababu za msingi mnamkosoa Spika eti dhaifu! Sifa za kijinga zitawadanganya watu zaifu kama Membe
Wewe umesoma kuliko Mpango ?