Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Mtu aliyethubutu kumpinga Dkt. Mpango siwezi kumteua nafasi yoyote

Uongo Zito ndie aliyemgomea teuzi, kwa hasira za kumpiga kisasi Zitto ndo akawanunua kina Anna, na Kitila ili kumbomoa Zitto lipo wazi mbona Hilo.
 
Anampenda Mpango kwasababu ni mtu ambae ni wa kujipendekeza na mwoga. He is not professional, he will only tell JIWE what he wants to hear. The real professionals walikuwa Ndullu and Likwelile; hao walikuwa wanampa ukweli juu ya hali ya uchumi wa nchi na yeye hakuweza kumeza ikabidi warudi kushika chaki!
Sasa unataka ampende anayempinga.
Ndiyo nyie mtu akileta upingaji wa kijinga mnamsifia ni professional. Yaleyale ya CAG kujisahau kwamba anafanya kazi kwa niaba ya Bunge. Anakagua serikali na kupeleka bungeni ambalo ndiyo linawajibu wa kuisimamia serikali.

Angalia katimiza wajibu wake? Kasimamia uchumi vizuri? Yes uchumi umekua, indicatators zote zinafanya vizuri, makusanyo mazuri, sera nzuri zinazochochea kukua kwa sekta mbalimbali za kiuchumi. Nk.

Ndiyo nyie hata bungeni mkiona serikali inapingwa bila sababu za msingi mnamkosoa Spika eti dhaifu! Sifa za kijinga zitawadanganya watu zaifu kama Membe
 
Umeandika pumba tupu na upotolo mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani alimuambia hiyo teua tengua yake itadumu Milele?muda si mrefu na yy atakuwa anakimbilia kwenye TV kusikia teuzi
 
Muswada haukupitishwa majority walikataa vyama vingi, hasa viongozi wa CCM, but Nyerere akaupitisha kitemi.
Kwa akili zako unafikili uyo marehemu Nyerere,aliupitisha huo muswada kwa kupenda?!au unafikili ilikuwa ni matakwa yake binafsi!! mbona hakuupitisha kipindi yeye anatawala?!! Ndugu yangu kitu mnachoshindwa kuelewa hakuna binadamu au taasisi yeyote inayoweza kushindana na nyakati, wakati ulifika siasa za ushindani wa vyama vingi ulikuwa hauepukiki!! Hata sasa Ccm inajaribu kushindana na nyakati!! ni jambo la muda tu,Ccm itaondoka madarakani iwe kwa amani au kwa kumwaga damu kwa mtutu wa bunduki,uwezi kulazimisha ujana wakati mwili akili na nguvu inaonyesha umechoka umezeeka.IQ zetu waafrika ndio ndogo,laiti tungekuwa na IQ kubwa,wala hakuna haja ya kumwagana damu,wenzetu wazungu wala shida hawana leo kaingia Labour party,watu wakimchoka kesho anaingia conservative,nae wakimchoka anatoka anarudi tena mwingine,leo yupo Republican,kesho yupo Democratic,maisha yanaendelea vizuri tu,wananchi wote bila ubaguzi wanafaidi Nchi yao,wazungu wanapotuita waafrica mashimo ya choo hawako mbali na ukweli kama sio ukweli wenyewe.Kiongozi wa Nchi za kiafrica mkipishana hoja solution yake ni kukuondoa uhai wako!!! Harafu kuna mijitu inashangilia na kuona uyo ndio kiongozi bora!! shithole country.
 
Rais amesema anashangaa sana kuona mtu anajitokeza kumpinga Dkt. Mpango, kwani kwa namna Dkt. Mpango alivyosimamia uchumi vizuri, hakupaswa kupingwa na mtu yeyote.

Cha ajabu ni kwamba, muda mfupi kabla ya kusema hayo mheshimiwa alisifia ukomavu wa demokrasia ndani ya CCM.
Huyu mzee huwa hajui hata anasimamia nini
 
Kwa akili zako unafikili uyo marehemu Nyerere,aliupitisha huo muswada kwa kupenda?!au unafikili ilikuwa ni matakwa yake binafsi!! mbona hakuupitisha kipindi yeye anatawala?!! Ndugu yangu kitu mnachoshindwa kuelewa hakuna binadamu au taasisi yeyote inayoweza kushindana na nyakati, wakati ulifika siasa za ushindani wa vyama vingi ulikuwa hauepukiki!! Hata sasa Ccm inajaribu kushindana na nyakati!! ni jambo la muda tu,Ccm itaondoka madarakani iwe kwa amani au kwa kumwaga damu kwa mtutu wa bunduki,uwezi kulazimisha ujana wakati mwili akili na nguvu inaonyesha umechoka umezeeka.IQ zetu waafrika ndio ndogo,laiti tungekuwa na IQ kubwa,wala hakuna haja ya kumwagana damu,wenzetu wazungu wala shida hawana leo kaingia Labour party,watu wakimchoka kesho anaingia conservative,nae wakimchoka anatoka anarudi tena mwingine,leo yupo Republican,kesho yupo Democratic,maisha yanaendelea vizuri tu,wananchi wote bila ubaguzi wanafaidi Nchi yao,wazungu wanapotuita waafrica mashimo ya choo hawako mbali na ukweli kama sio ukweli wenyewe.Kiongozi wa Nchi za kiafrica mkipishana hoja solution yake ni kukuondoa uhai wako!!! Harafu kuna mijitu inashangilia na kuona uyo ndio kiongozi bora!! shithole country.
POINT
 
Mimi nafurahishwa na Demokrasia ilivyokua Tanzania, na atakaempinga Magufuli asipate hata udiwani ( wapo watakaompinga Dr Magufuli pamoja na maneno yangu haya, hiyo ndo demokrasia yenyewe)
 
Back
Top Bottom