Kwa akili zako unafikili uyo marehemu Nyerere,aliupitisha huo muswada kwa kupenda?!au unafikili ilikuwa ni matakwa yake binafsi!! mbona hakuupitisha kipindi yeye anatawala?!! Ndugu yangu kitu mnachoshindwa kuelewa hakuna binadamu au taasisi yeyote inayoweza kushindana na nyakati, wakati ulifika siasa za ushindani wa vyama vingi ulikuwa hauepukiki!! Hata sasa Ccm inajaribu kushindana na nyakati!! ni jambo la muda tu,Ccm itaondoka madarakani iwe kwa amani au kwa kumwaga damu kwa mtutu wa bunduki,uwezi kulazimisha ujana wakati mwili akili na nguvu inaonyesha umechoka umezeeka.IQ zetu waafrika ndio ndogo,laiti tungekuwa na IQ kubwa,wala hakuna haja ya kumwagana damu,wenzetu wazungu wala shida hawana leo kaingia Labour party,watu wakimchoka kesho anaingia conservative,nae wakimchoka anatoka anarudi tena mwingine,leo yupo Republican,kesho yupo Democratic,maisha yanaendelea vizuri tu,wananchi wote bila ubaguzi wanafaidi Nchi yao,wazungu wanapotuita waafrica mashimo ya choo hawako mbali na ukweli kama sio ukweli wenyewe.Kiongozi wa Nchi za kiafrica mkipishana hoja solution yake ni kukuondoa uhai wako!!! Harafu kuna mijitu inashangilia na kuona uyo ndio kiongozi bora!! shithole country.