Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ukweli huo. Pumzi imekata. Pia anaona aibu maovu aliyofanya kule ningeshangaa kama angenusa pua huko.Umeweka kinafiki sana hii kitu..
Haa haa haa umetumia Lugha ya Zamani Sana. Eti JebuTungepata mdahalo hata mmoja, tumpige KO mapema.Sekunde ya kwanza tu jebu moja tunaenda kuzika.....
Magufuli hata akiamua akae tu Ikulu kuanzia leo hakika ushindi kwake ni lazima.
Jiwe limekuwa laini kama fuko la rambo lililojazwa upepoLeo sio jiwe tena
Kada mwenzako wa ccm huyo , sasa unakosaje kuwa mnafki?Umeweka kinafiki sana hii kitu..
Akaja kuibuka ikulu dsm akiwa veeeeeery weakHuko si ulitokeaga na Moshi, ziara ikakatishwa ghafla.
Hakuna watu wamefanyiwa ubaguzi wa waziwazi awamu hii kama watu wa Klm, wachagga to be specificAmelegeaaaaaah
Kilimanjaro na Arusha pia hawataki kumuona. Asikanyage huko.
Jiwe kwisha habari yake
Dsm napo na hizi mvua hapakaliki, magu ana gundu sio bureMzee: Hali ni mbaya kwakweli kwa nilichowafanyia watu wa kusini siwezi kwenda huko nimeona nimtume waziri mkuu akasaidie kuokoa jahazi
Campaign manager : sasa mzee ujue watu hawatakuelewa kabisa usipotokea hata kidogo
Mzee: Wewe hujui kitu wale wazee wakule wamenipania sana kuna siku walinitumia moshi nusura waniuwe, ngoja nizuge zuge hapa dar mpaka siku ziishe.
Huyu mzee afya mgogoro jambo ambalo sio kesi ila huwa hawataki kuliweka waziKikwete alipiga mizunguko yote na round zote nchi nzima. Kwamba yeye hakua Rais na hakua na kazi za kufanya?
Semeni tu ukweli.
Kimsingi chuma kimeshatepeta. Starling TL kabakia mwenyewe kwenye Movie baada ya maadui zake wote kupoteana.😀Anaogopa korosho?
Anamtuma waziri mkuu?
Kwani kampeni ni kazi ya serikali?
Nimeamini trip shamba, trip garage!
Everyday is Saturday..............................😎
Kama asipopita Kaskazini kura zetu asahau..
Ana ogopa kuzomewa kama Kagera.
Moshi na Arusha tuna msubiri.
Subiri tarehe 28 kamanda utaelewa gari ya gereji ni ipi?
Lisu wako hafikishi hata asilimia 20. Najua utabisha kwakuwa umepumbazwa na ile mikwara yake na mafuriko ambayo hayaingii hata mara tano kwa mafuriko ya slaa achilia mbali haya ya juzi ya Lowasa.