Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Nikimaliza urais, nitaoa mwanamke wa pili Zanzibar

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Nikimaliza urais, nitaoa mwanamke wa pili Zanzibar

torosi

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2020
Posts
862
Reaction score
1,430
Wapwa,

Magufuli anaendelea na kampeni zake, wakati wakiendelea kunadi sera, akachomekea kuwa akimaliza uraisi ataoa mwanamke wa pili Zanzibar hii ni baada ya kudokezwa na mzee Mwinyi kuwa siri ya yeye kuishi maisha marefu ni kuwa na wake wawili.

Hivi First Lady yuko Zanzibar au anaangalia TBC kama sisi?

Haki huinua taifa

====
20201003_193233.jpg

“Unajua Mzee Mwinyi aliniambia siri ya kuishi maisha marefu yeye ana miaka karibu 96 ni kuwa na Wanawake wawili, sasa mimi nina mmoja tu nikimaliza Urais nitaangaliaangalia kupata wa pili huku Zanzibar, nimeona mambo mazuri huku” amesema Magufuli akiwa Zanzibar
 
Huyu ni Mkristo wa madhehebu ya Kikatoloki. Kwa mujibu ya dining ya kikristo Kuna imani ya ndoa ya mke mmoja na mme mmoja.

Hivyo huyu bwana hafuati miongozo ya Dini yake,na mtu ambae anaomba dhamana kubwa Kama urais na akiwa hafuati miongozo ya Dini anayoiamini hastahili kuchaguliwa.

Pili Ni unyanyasaji mkubwa kwa mke wake aliyenae Sasa hivi. Hivyo wanawake wote,wakristo na waislam mkataeni mtu huyu.
Pia Wakristo wote mkataeni mtu huyu.

Kama angekua Ni muislam Haina shida,kwa imani ya kiislam Ni ruksa kuwa na mkezaidi ya mmoja angalau mwisho wanne.

Wito mtu asiefuata mafundisho au Sheria za Dini hastahili kuongozwa Taifa. Nawaomba waislam na wakristo wote tumkatae kwa Hilo.
Pia ni mnyanyasaji wa wanawake.
 
Hizo personal affairs zake sisi kama wananchi zinatuhusu kweli? Najua labda ana muda na media za kutosha ila badala ya kulipia hizo airwaves kwa kuwaambia wananchi kwanini wamchague, kwa kuongea haya sidhani kama hayo ni matumizi bora ya muda.
 
Huyu Ni Mkristo wa madhehebu ya Kikatoloki,
Kwa mujibu ya dining ya kikristo Kuna imani ya ndoa ya mke mmoja na mme mmoja.
Hivyo huyu bwana hafuati miongozo ya Dini yake,na mtu ambae anaomba dhamana kubwa Kama urais na akiwa hafuati miongozo ya Dini anayoiamini hastahili kuchaguliwa.
Pili Ni unyanyasaji mkubwa kwa mke wake aliyenae Sasa hivi.
Hivyo wanawake wote,wakristo na waislam mkataeni mtu huyu.
Pia wakristo wote mkataeni mtu huyu.

Kama angekua Ni muislam Haina shida,kwa imani ya kiislam Ni ruksa kuwa na mkezaidi ya mmoja angalau mwisho wanne.

Wito mtu asiefuata mafundisho au Sheria za Dini hastahili kuongozwa Taifa .
Nawaomba waislam na wakristo wote tumkatae kwa Hilo.
Pia Ni mnyanyasaji wa wanawake.
Povu jingi wakati ni utani....
 
Wapwa

JPM anaendelea na kampeni zake, wakati wakiendelea kunadi sera, akachomekea kuwa akimaliza uraisi ataoa mwanamke wa pili Zanzibar hii ni baada ya kudokezwa na mzee Mwinyi kuwa siri ya yeye kuishi maisha marefu ni kuwa na wake wawili

Hivi First Lady yuko Zanzibar au anaangalia TBC kama sisi

Haki huinua taifa
Mzee kutwa anawaza mapenzi ndiyo maana hayuko serious na nchi
 
Back
Top Bottom