Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Nikimaliza urais, nitaoa mwanamke wa pili Zanzibar

Mr. Pumba ni hatari sana. Anasemaga sitaki kuandikiwa hotuba, sasa madhara yake ndio haya.

Kule Mbeya alisema sugu nisugue..kikikikiki..teh teh teh

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Mtu mmoja akasema kwa hio Sugu kaombwa aichakate sio๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wabongo wana maneno sn๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ni chuma haswa ngoja niitafute. Kabula kateuliwa ubunge viti maalum wakati kura za maoni alipata kura 84.Alikuwa wa nne na walitakiwa watatu waliopata kura nyingi. Kabula utamwona mbunge viti maalum mkoa wa Mwanza bunge lijalo.
Kielelezo tosha za matumizi mabaya ya madaraka

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Kakusikiaaa Ataacha Utani Sawa Bro na Wewe unakubali Kubali Kuwa Mitano Mingine yeye ndio RAIS wetu
 
Mh sio kweli, Siasa na mambo ya kuoa wapi na wapi?

Bytheway huyu Rais mjanja sana hiv hapo ashachukua kura za wamama.
 
Hivi Mkristo Mkatoliki anapoahidi hadharani kuoa mke wa pili na wa tatu sheria za Kanisa zinakaa kimya kwa sababu ni Mfalme?
 
Huyu Magufuli akili Zake ni wanawake tu pole mzee hujitambui
 
Ndio utafahamu kuna wachangiaji wa aina gani JF, kila neno analosema JPM wanalichukulia literally.
 
Amechomekea tu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
nchi imemshinda linawaza kuchomekea tu,hivi kumbe mbeya alimwambia sugu amfanyeje....vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ