Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Nikimaliza urais, nitaoa mwanamke wa pili Zanzibar

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Nikimaliza urais, nitaoa mwanamke wa pili Zanzibar

Mr. Pumba ni hatari sana. Anasemaga sitaki kuandikiwa hotuba, sasa madhara yake ndio haya.

Kule Mbeya alisema sugu nisugue..kikikikiki..teh teh teh

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Mtu mmoja akasema kwa hio Sugu kaombwa aichakate sio😅😂😂😂😂😂
Wabongo wana maneno sn😂😂
 
Ni chuma haswa ngoja niitafute. Kabula kateuliwa ubunge viti maalum wakati kura za maoni alipata kura 84.Alikuwa wa nne na walitakiwa watatu waliopata kura nyingi. Kabula utamwona mbunge viti maalum mkoa wa Mwanza bunge lijalo.
Kielelezo tosha za matumizi mabaya ya madaraka

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Utani!!! na kwa mambo ya wanawake tu!, hivi kumbe hizi ndio Sera eeh, badala ya kuelewesha mambo ya msingi,yeye afanye utani, na kila anapo pita lazima huo utani,ingekuwa Mara moja ndio,lakini kila apitapo akifungua mdomo ni wanawake tu, hizi zi kampeni za uraisi, awe serious, Kama ataka kuchekesha watu na akahamie kwenye majukwaa ya vichekesho,huwezi kuendesha nchi kwa upuuzi huu, miaka mitano tumeona drama alizofanya,na majukwaani ni hayo hayo,huyu hafai.
Kakusikiaaa Ataacha Utani Sawa Bro na Wewe unakubali Kubali Kuwa Mitano Mingine yeye ndio RAIS wetu
 
Mh sio kweli, Siasa na mambo ya kuoa wapi na wapi?

Bytheway huyu Rais mjanja sana hiv hapo ashachukua kura za wamama.
 
Wapwa,

Magufuli anaendelea na kampeni zake, wakati wakiendelea kunadi sera, akachomekea kuwa akimaliza uraisi ataoa mwanamke wa pili Zanzibar hii ni baada ya kudokezwa na mzee Mwinyi kuwa siri ya yeye kuishi maisha marefu ni kuwa na wake wawili.

Hivi First Lady yuko Zanzibar au anaangalia TBC kama sisi?

Haki huinua taifa

====
View attachment 1589366
“Unajua Mzee Mwinyi aliniambia siri ya kuishi maisha marefu yeye ana miaka karibu 96 ni kuwa na Wanawake wawili, sasa mimi nina mmoja tu nikimaliza Urais nitaangaliaangalia kupata wa pili huku Zanzibar, nimeona mambo mazuri huku” amesema Magufuli akiwa Zanzibar
Hivi Mkristo Mkatoliki anapoahidi hadharani kuoa mke wa pili na wa tatu sheria za Kanisa zinakaa kimya kwa sababu ni Mfalme?
 
Huyu Magufuli akili Zake ni wanawake tu pole mzee hujitambui
 
Ndio utafahamu kuna wachangiaji wa aina gani JF, kila neno analosema JPM wanalichukulia literally.
 
Huyu ni Mkristo wa madhehebu ya Kikatoloki. Kwa mujibu ya dining ya kikristo Kuna imani ya ndoa ya mke mmoja na mme mmoja.

Hivyo huyu bwana hafuati miongozo ya Dini yake,na mtu ambae anaomba dhamana kubwa Kama urais na akiwa hafuati miongozo ya Dini anayoiamini hastahili kuchaguliwa.

Pili Ni unyanyasaji mkubwa kwa mke wake aliyenae Sasa hivi. Hivyo wanawake wote,wakristo na waislam mkataeni mtu huyu.
Pia Wakristo wote mkataeni mtu huyu.

Kama angekua Ni muislam Haina shida,kwa imani ya kiislam Ni ruksa kuwa na mkezaidi ya mmoja angalau mwisho wanne.

Wito mtu asiefuata mafundisho au Sheria za Dini hastahili kuongozwa Taifa. Nawaomba waislam na wakristo wote tumkatae kwa Hilo.
Pia ni mnyanyasaji wa wanawake.
Amechomekea tu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Wapwa,

Magufuli anaendelea na kampeni zake, wakati wakiendelea kunadi sera, akachomekea kuwa akimaliza uraisi ataoa mwanamke wa pili Zanzibar hii ni baada ya kudokezwa na mzee Mwinyi kuwa siri ya yeye kuishi maisha marefu ni kuwa na wake wawili.

Hivi First Lady yuko Zanzibar au anaangalia TBC kama sisi?

Haki huinua taifa

====
View attachment 1589366
“Unajua Mzee Mwinyi aliniambia siri ya kuishi maisha marefu yeye ana miaka karibu 96 ni kuwa na Wanawake wawili, sasa mimi nina mmoja tu nikimaliza Urais nitaangaliaangalia kupata wa pili huku Zanzibar, nimeona mambo mazuri huku” amesema Magufuli akiwa Zanzibar
nchi imemshinda linawaza kuchomekea tu,hivi kumbe mbeya alimwambia sugu amfanyeje....vizuri
 
Back
Top Bottom