Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli ongea na wazee, wakuu wa Taifa! Sioni mwisho mwema kama nabii

Huku mitandaoni tunapiga kelele..lkn utashangaa Magu ameshinda kwa kishindo. Watz wanafiki sana
Watz siyo wanafiki bali hawa walioko hapa JF wengi sana wapo Ulaya na Marekani wala hawajui yaliyoko mitaani wakiona nyomi ya kutengeza wanafikiri mitaani kukohivyo.
 
Mh Rais, pole kwa mihangaiko ya kupiga kampeni ila nina neno moja juu yako usiku Waldo nalo ni siri japo sio Siri baada yakuandika hapa.

Hali inayoendelea hata tukiwa wanafiki na kuwa tumekunywa maji ya bendera mwisho pumzi zitakata na zikikata mashambulizi yatakuwa makali zaidi kuliko wakati huu tuna nguvu.

Asikudanganye mtu, hali sio hali, yani hata kama ni kwa goli la mkono, ila mtiti huu utakusumbua katk awamu yako ya pili kiasi utahisi kila mtu ni msaliti.

Kuna hali sio ya kawaida huku uraiani, yani watu wamejawa na machungu kiasi hawana pa kupumulia ila tu 28.10.2020.

Majeshi na idara za usalama hawatoweza kudhibiti hili vuguvugu na wakiweza basi watu wengi watakuwa silence jambo litazidi kuibuwa vuguvugu jingine baya zaidi, jambo litazigawa idara zako za ushauri.

Uongozi ni kuacha alama na ili ufanikiwe kubali yaishe, kaa na waliokuweka vua urais wako omba ushauri Ila kumbuka shida ipo nyingine Nani wakukupa honest feedback kwa aina ya uongoz wako mkali sana Mzee wangu hapa tafuta MTU tu akusaidie upewe honest feed back japo sijui kama utaipata Mungu akusaidie.

Pamoja umefanya yote mazuri Ila trust me umeshindwa ishi mioyoni mwa Watanzania. Embu jiulize why? Umeme umetadanza kama uyoga, maji kama yote, mahospitali kama yote, madege, reli.

Yani hakuna mahali hujagusa, umefanya mambo makubwa sana ila umeshindwa kula na kipofu, sasa kipofu kapata kipofu aliewahi kuona hapo zamani Ila baadae akawa kipofu. Amewaambia vipofu wenzake huko sio, hiyo njia sio, wamemwamini ani ni shida ukiweka Jiwe na Magi watu wanapigia Kura Jiwe. Why umesahau wakolon walitupa shanga Sisi tukawapa madini?

Ona sasa mziki huu jamaa Hana bango Hana vyombo vya habari Ila ameteka nchi kweupe.

Waite wazee wakushauri maana najuwa uchaguzi huu hautokuwa Rahisi kama tunavyodhani.

Kamanda unaongelea mtaa gani? Hahahaha mimi naomba muwepo humu hadi tarehe 30 mwezi wa tisa......
 
  • Thanks
Reactions: UCD

Hovyooooo, ujinga mtupu huu, upumbavu kabisa huu
 
Acha kupotosha ndugu..kagusa kila kitu wapi?? Mishahara hajapandisha kwa miaka mitano mfululizo..ana maana huyo??
Spana tu.
 
Acha uongo, watu wanamkubali Magufuli 100% kwa 100%, safari hii atavunja rekodi ya ushindi
 
Mh Rais, pole kwa mihangaiko ya kupiga kampeni ila nina neno moja juu yako usiku Waldo nalo ni siri japo sio Siri baada yakuandika hapa.

Hali inayoendelea hata tukiwa wanafiki na kuwa tumekunywa maji ya bendera mwisho pumzi zitakata na zikikata mashambulizi yatakuwa makali zaidi kuliko wakati huu tuna nguvu.

Asikudanganye mtu, hali sio hali, yani hata kama ni kwa goli la mkono, ila mtiti huu utakusumbua katk awamu yako ya pili kiasi utahisi kila mtu ni msaliti.

Kuna hali sio ya kawaida huku uraiani, yani watu wamejawa na machungu kiasi hawana pa kupumulia ila tu 28.10.2020.

Majeshi na idara za usalama hawatoweza kudhibiti hili vuguvugu na wakiweza basi watu wengi watakuwa silence jambo litazidi kuibuwa vuguvugu jingine baya zaidi, jambo litazigawa idara zako za ushauri.

Uongozi ni kuacha alama na ili ufanikiwe kubali yaishe, kaa na waliokuweka vua urais wako omba ushauri Ila kumbuka shida ipo nyingine Nani wakukupa honest feedback kwa aina ya uongoz wako mkali sana Mzee wangu hapa tafuta MTU tu akusaidie upewe honest feed back japo sijui kama utaipata Mungu akusaidie.

Pamoja umefanya yote mazuri Ila trust me umeshindwa ishi mioyoni mwa Watanzania. Embu jiulize why? Umeme umetadanza kama uyoga, maji kama yote, mahospitali kama yote, madege, reli.

Yani hakuna mahali hujagusa, umefanya mambo makubwa sana ila umeshindwa kula na kipofu, sasa kipofu kapata kipofu aliewahi kuona hapo zamani Ila baadae akawa kipofu. Amewaambia vipofu wenzake huko sio, hiyo njia sio, wamemwamini ani ni shida ukiweka Jiwe na Magi watu wanapigia Kura Jiwe. Why umesahau wakolon walitupa shanga Sisi tukawapa madini?

Ona sasa mziki huu jamaa Hana bango Hana vyombo vya habari Ila ameteka nchi kweupe.

Waite wazee wakushauri maana najuwa uchaguzi huu hautokuwa Rahisi kama tunavyodhani.

Historia ya ccm imekuwa inajirudia kwa kila mwaka hasa kwa kipindi cha pili cha Uraisi.mgombea huwa anapata kura chini ya zile alizopata kwenye awamu ya kwanza .rudi nyuma angalia maraisi waliotangulia.lakini ikiwa raisi alipata 57%kwenye kipindi cha kwanza basi kipindi cha pili inabidi ajiande kisaikolojia.Tukumbuke kipindi hiki hata ndani ya ccm kuna walioumizwa kupundikia so wanayo yao mioyoni mwao.wanaendelea kuona mwenyekiti amekuwa mmbabe sana.chama kimebaki kwenye secretariate.na wale wajumbe wenyewe wamachukizwa sana na kupinduliwa baadhi ya maamuzi yao juu ya wagombea mbalimbali kiasi wakaonekana hawana maana tena.huu ni utaratibu uliojeruhi wana-ccm wengi kuliko wasio wanaccm.ukirudi nje ya chama hali ni mbaya sana kwa hali ya mazingira ya wafanyakazi,nadhani kipindi hiki ndiyo kinachoongoza kwa watumishi kuomba kustaafu ndani ya miaka 55,kwa sababu wengi wemehikuta kuendelea na utumishi wa uma utawaletea ugonjwa wa moyo.rudi kwenye halmashauri zetu zimechoka kupindukia wanapewa maagizo ya kutekeleza matamko mbalimbali ya kisiasa wakati huohuo serikali kuu ilishaacha kupeleka hela kwenye halmashauri toka 2016.vyanzo vingi vya mapato ktk halmashuri pia vimechukuliwa na serikali kuu.

Ukimsikiliza mkurugenzi wa halmashauri yoyote utamuonea huruma.hata mkurugenzi yoyote wa taasisi ya uma sasa anafanya kazi kama digi digi -hofu tupu kwa kweli.

Ukirudi kwenye sekta binafsi bado hali siyo nzuri hasa utaratibu wa sasa wa TRA,kuwapiga faini ,kwa kisingizio cha ukwepaji wa kodi toka miaka ya nyuma.najiuliza walikuwa wapi hawa TRA huko nyuma kufuatilia huo ukwepaji wa kodi.ndiyo maana wengi wa wafanyabiashara smart wameamua kufunga biashara zao kuepusha upepo huu wa hovyo upite kwanza

Wengi hawapendi upinzani,kwa sababu nao hawana chochote walichokifanya cha ku washawishi wanachi.ila wananchi sasa wanaona bora ya zimwi usiolijua kuliko lile unalojiua lakini limekutesa sana tayari.
 
Anatufokea kama watoto zake bwana[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]hatumtakiiiiiiiiiiii
 
Hata hao vyombo vya ulinzi wanataka mafao baada ya utumishi serikalini na mishahara Kama haiongezeki na mafao yatakuwa madogo Sasa wao niwajinga?
 
Mh Rais, pole kwa mihangaiko ya kupiga kampeni ila nina neno moja juu yako usiku Waldo nalo ni siri japo sio Siri baada yakuandika hapa.

Hali inayoendelea hata tukiwa wanafiki na kuwa tumekunywa maji ya bendera mwisho pumzi zitakata na zikikata mashambulizi yatakuwa makali zaidi kuliko wakati huu tuna nguvu.

Asikudanganye mtu, hali sio hali, yani hata kama ni kwa goli la mkono, ila mtiti huu utakusumbua katk awamu yako ya pili kiasi utahisi kila mtu ni msaliti.

Kuna hali sio ya kawaida huku uraiani, yani watu wamejawa na machungu kiasi hawana pa kupumulia ila tu 28.10.2020.

Majeshi na idara za usalama hawatoweza kudhibiti hili vuguvugu na wakiweza basi watu wengi watakuwa silence jambo litazidi kuibuwa vuguvugu jingine baya zaidi, jambo litazigawa idara zako za ushauri.

Uongozi ni kuacha alama na ili ufanikiwe kubali yaishe, kaa na waliokuweka vua urais wako omba ushauri Ila kumbuka shida ipo nyingine Nani wakukupa honest feedback kwa aina ya uongoz wako mkali sana Mzee wangu hapa tafuta MTU tu akusaidie upewe honest feed back japo sijui kama utaipata Mungu akusaidie.

Pamoja umefanya yote mazuri Ila trust me umeshindwa ishi mioyoni mwa Watanzania. Embu jiulize why? Umeme umetadanza kama uyoga, maji kama yote, mahospitali kama yote, madege, reli.

Yani hakuna mahali hujagusa, umefanya mambo makubwa sana ila umeshindwa kula na kipofu, sasa kipofu kapata kipofu aliewahi kuona hapo zamani Ila baadae akawa kipofu. Amewaambia vipofu wenzake huko sio, hiyo njia sio, wamemwamini ani ni shida ukiweka Jiwe na Magi watu wanapigia Kura Jiwe. Why umesahau wakolon walitupa shanga Sisi tukawapa madini?

Ona sasa mziki huu jamaa Hana bango Hana vyombo vya habari Ila ameteka nchi kweupe.

Waite wazee wakushauri maana najuwa uchaguzi huu hautokuwa Rahisi kama tunavyodhani.
Maendeleo yana vyama
 
Hiyo ndiyo Hali halisi. Kama JPM atashinda 🥺😤 na akaendela na Siasa zake hizihizi....2025 hakutakuwa na CCM
Hata mimi naona hivyo kama kutakuwa na uvumilivu wa wabongo basi mwaka huu ni wa mwisho kuivumilia ccm,personally naomba Magu akitangazwa mshindi japo sina imani kwamba atashinda kihalali na akaendelea na siasa zake na visasi,kunyanyasa watu,kujifanyia mamiradi yasiyo na tija kwa watu,kujifanya mtu wa Mungu wakati ni muigizaji nk nk hali ya maisha itazidi kuwa mbaya na kundi kubwa la maelfu ya vijana watakuwa kitaa bila kazi hapo ndipo 2025 ule mwisho wao utawadia.
Trust me na wapinzani wamtunze TL ili by that time CDM itakuwa na nguvu kupita kiasi kumbukeni generation zinabadilika.Unfortunately ilani ya ccm haijibu basic reforms bado inajadili yale yale ya kujenga jenga bila kuangalia welfare ya watu,afu uzuri huyu jamaa hawezi badilika maana bado anatoa vitisho vya chuki na ubaguzi kwa wapiga kura eti wasipochagua ccm.Mungu mbaliki TL
 
The whole truth. TumainEl nini kinakufanya umkatie tamaa Jpm ikiwa ana Tume, Jeshi, MaDED wote wake. Nini hasa kinakufanya uone kama atafeli??
Hao wote uliowataja nao wana mioyo na wana hofu sio rahisi kupindua meza kwenye shinikizo kubwa wanaweza kusema nchi ni bora kuliko kuharibu nchi kwa ajili ya mtu 1,so huwezi kuwa na uhakika maana hakuna ajuaye siri ya moyo wa mtu,muulize AL bashir,mutharika,yule wa Mali na wengine wengi kwa hiyo awe makini .Unadhani kwa nini na yeye kawa na hofu kwani humuoni kwamba anajitutumua tu maana shida kubwa aliaminishwa na wanafiki ambao wako radhi kumpamba na kumlamba miguu ili tu wapate vyeo vya ulaji.
 
Pole kwa msongo wa mawazo.
Uhalisia ni kwamba Magu amewakonga nyoyo wanyonge na amewaudhi majizi.
Hakuna mgonjwa yeyote atakaye sema ovyo kwa Magu.
Huo ndiyo uhalisia 91% wanampa kura ya ndiyo.
Mfamaji haishi kutapatapa, angewakonga nyoyo angeanza kupiga magoti kuomba kura? Kwa kiburi chake kile...endelea kujifariji!
 
Back
Top Bottom