Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Sukari 3000
Cement 22000
Umesoma na kuelewa nilichoandika? Na unaelewa kweli tunachojadili hapa?Malimbikizo ya stahiki zao haya kuwa statuory yalikuwa ni kwa hisani tu? Mlifanya nini kuhusu hili?
. Pesa za kununua ndege ili zije zipaki zipo.Rais wetu hataki vitu vya kupangiwa ataongeza mshahara 2027! yeye ni rais anayejiamini sana tofauti na waliomtangulia!
Tuambie sukar alikuuta mungapi na leo iko mungapi?Na ndio mnachokifanya hiki kupiga propoganda zilizojaa uzushi ili kuyumbisha msimamo wa Rais. Na akiyumba mnapata nafasi ya kumboa zaidi.
Huwezi kuficha ukweli kwamba moja ya vitu ambavyo JPM na serikali yacawamu ya 5bwamefanikiwa ni kudhibiti mfumuko wa bei. Isingesaidia saba kuongeza mishahara tena wakati mwengie kwa 20,000/- mpaka50,000/-.
Na matokeo ya kuongeza mshahara ya lete mfumuko wa bei unaokula ongezeko la matumizi ya mshahara jati ya 60,000/- mpaka 120,000/- Huu utakuwa ulaghai kwa wafanyakazi.
Hata uongeeje jomba Magufuli wananchi wameshafanya maamuzi wanakwenda kimsimika ikulu..no matter what...unapoteza muda wako bure nikwambie...rudini tena 2030 Kama mtakuwa Bado mpo salama..waambieni mabwana zenu huku watanzania wamekomaa..hawana mchezo
Hayo ni mtambo lisu umemkalia kichwani wafanyakazi ikitokea hivyo mjuwe bila lisu ilikuwa hanampango huoWewe unatolea mfano sukari ambayo biashara yake inaendeshwa na genge la mafisadi waliojichimbia mizizi ya mbuyu ndani ya mifumo ya uendeshaji wa serikali. Toa mfano wa unga wa sembe tuone.
Mkuu unahangaika na jitu linaloishi kwa shemeji yake litsjua saa ngapi kama kuna bidhaa zingine hazikamatiki? Saruji mikoani haishikiki leo jitu linakuja kupiga filimbi eti watu wasiongezwe mishahara ili kudhibiti mfumuko wa bei? Hebu libaki huko linasikilizia dadake akigugumia!Wewe unatolea mfano sukari ambayo biashara yake inaendeshwa na genge la mafisadi waliojichimbia mizizi ya mbuyu ndani ya mifumo ya uendeshaji wa serikali. Toa mfano wa unga wa sembe tuone.
Mzee huyu sidhani kama ana akili timamu!Huyu Mzee laghai na muongo wa kutupwa jalalani, haaminiki 2015 alisema hivyohivyo alipoingia madarakani kabadilika bila kupepesa macho, katili Sana!
Maslahi ya wafanyakazi ni masuala ya kisheria na si hiyari ya Raisi, aache upumbavu!
Hakuna nanna ni wa kupingwa chini tu huyu.
Amesema atapandisha mishahara
Haahaa kawadanganye vilaza huko, klabda unafanya kazi kwa jpmMimi Mtumishi wa Umma, nipata salary incliment 98,000/=, Mwaka 2016, salary incliment 102000 Mwaka 2017 up to date naendelea kupata.
Ubora wake Kiuchumi wa Mtumishi: Haijaongeza Mfumuko wa Bei, tofauti na zamani ukiongezewa 15,000 na bei ya kila bidhaa inapanda. Naamini mmenielewa JPM anaakili kuliko kikosi chote cha Mihemko Forum
Huyo mchague ww na mkeoWapinzania watauza nchi. Tusifanye makosa Oktoba 28. Chagua Magufuli ✅
Hakuna mtumishi wa umma hata mmoja atakayempa kura huyu dhalimu.Mgombeawa Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema sasa ni wakati wa kujali maslahi ya wafanyakazi wa Tanzania.
Amesema kwa miaka mitano aliyoongoza ameweza kufanya nchi ifike uchumi wa kati wa chini na hivyo kwa miaka mitano inayofuata ataanza kuboresha maslahi ya wafanyakazi.
Amesema hauwezi kuongeza mishahara wakati hauna hela ya kuongeza mishahara. Aidha amesema hao wanasema kuhusu kuongeza mishahara hawajawahi kutawala.
Amesema wengine vyama vyao wameshindwa hata kujenga ofisi za vyama vyao. Amesema kuzungumza ni rahisi kuliko vitendo.
Haa mwaka 2015 alisema zaidi ya hayo...tapeli huyoDr JPM kwenye kampeni zake Korogwe aliahidi kushughulikia maslahi na mishahara mara tu baada ya uchaguzi naomba watumishi wote tumuamini kwa vile ninavyomfahamu Rais wetu akiahidi hutekeleza.
Bahati nzuri ametoa sababu za kutopandisha mishahara kwa kipindi hicho kutokana na miradi ya kimikakati iliyokuwepo na inayoendelea ambayo inachukua fedha nyingi na ilihitaji kuweka msingi wa ujenzi wake.
Hata hivyo serikali ilikwisha punguza kodi ya PAYE na kuongeza take home kwa watumishi ambayo ni hatua nzuri yenye utashi wa kisiasa. Hivyo watumishi tupunguze hasira na visasi tumpigie kura Kiongozi wetu na Mkuu wa utumishi wa umma tarehe 28.10.2020.
Mimi mfanyakazi na nitamchagua. Wewe vipi wewe unatusemeaHakuna mfanyakazi atakaa achague huyu dhalimu. Anajidanganya tu.
Si alijifanya kuwafokea! Leo maji yamemfika shingoni ndo anaanza kutapatapa. Ameshachelewa yaani.