Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Sio hongo, mimi bado ni Rais, natangaza tenda ya barabara za mjini Itigi KM 10

Kwa hiyo unataka kazi za uraisi zisimame hadi uchaguzi upite? Katiba inamruhusu kuendelea na majukumu yake ya kiraisi hadi mpya atakapoapishwa
Jibu swali alikuwa wapi hadi atoe leo siku ya kampeni???
 
Sio rushwa ni utekelezaji wa bajeti ya mwaka huu nliyopitishwa na bunge la june mwaka huu

Utekelezaji wa bajeti huwa hausimami kwa sababu ya uchaguzi

Hata bajeti ya tume ya mwaka huu wanayotumia ni iliyoidhinishwa na bunge la June
Akitoa pesa kwa Tume na kusema , Mpango uko wapi, peleka pesa tume haraka Kaijage anataka kuchapisha karatasi za kura.


Bado chadema watasema Rushwa wakati ni utekelezaji wa bajeti waliyokimbia kuipitisha
 
Inaeleweka yeye ndiyo rais wa JMT ni yeye amiri jeshi mkuu, ni yeye paymaster namba 1, ni yeye mwajiri namba 1 na ni yeye mzalendo namba moja
 
Alikuwa Tabora, sasa leo kafika Itigi kanena. Wewe ulitaka awe wapi?

Maswali mengine ya kizembe
Umeelewa swali??? Alikuwa wapi siku zote??? Mwaka wa fedha umeanza mwezi wa Saba???
 
Alikuwa wapi kutoa maagizo kabla ya kampeni???

Daaah CCM kwisha Habari yenu 😂😂😂
Anatekeleza bajeti ya mwaka wa fedha July 2020 hadi June, 2021. Tatizo nyie chadema hamkuipitisha hii bajeti mlisepa kwa kuogopa kuambukizwa COVID 19 kwa hiyo hata kumbukumbu hamnayo. Chadema majanga
 
Kwa Hali ulivyo hata ujenge barabara za lami nchi nzima.kura upati . Maisha ya watu na familia zao ni mbaya Sana. Oct 28,hutaamini mwaka huu
 
Pumzi imekata hadi anatumia kiki ya barabara.

Hatufai hata kwa miezi miwili huyu!
Tulia dawa ikuingie, wewe endelea kusubiri maendeleo ya watu. Hii ya barabara haiwahusu kabisaa!
Barabara Ni maendeleo yavitu!
 
Pumzi imekata hadi anatumia kiki ya barabara.

Hatufai hata kwa miezi miwili huyu!
Tulia dawa ikuingie, wewe endelea kusubiri maendeleo ya watu. Hii ya barabara haiwahusu kabisaa!
Barabara Ni maendeleo yavitu!
 
Hii ndio Bashiru aliizungumzia kutumia dola kupata kura! Chandimu msinune Magu ni Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, badala kupoteza mda kushitaki NEC tumieni huu mda kutuelezea Sera zenu tukiwapa ridhaa mipango yenu ni nini, mtafanya nini, kivipi nk! Magu 5 tena!
 
Nimependa alipokazia 'mimi bado ni rais" Mwenye masikio na asikie!
 
Umeelewa swali??? Alikuwa wapi siku zote??? Mwaka wa fedha umeanza mwezi wa Saba???
Nimekuelewa vizuri sana, nimekujibu kizembe kama wewe ulivyouliza kizembe. Mtu mjinga akiuliza swali la kijinga kwa mtu mwenye akili ukimjibu kistaarabu utaonekana wewe mjinga.

Sasa nakujibu alipokuwa kwa akili.

Bajeti ya mwaka wa fedha 2020/2021 inaisha lini?
Utekelezaji wa Ilani ya CCM mwakak 2015 hadi 2020 unaisha lini?

Ukishajibu hayo maswali ndio utajua alipokuwa.
 
Sio rushwa ni utekelezaji wa bajeti ya mwaka huu nliyopitishwa na bunge la june mwaka huu

Utekelezaji wa bajeti huwa hausimami kwa sababu ya uchaguzi

Hata bajeti ya tume ya mwaka huu wanayotumia ni iliyoidhinishwa na bunge la June
... tangu lini order ya peleka fedha pale; peleka kule hata kama ni utekelezaji wa bajeti ikatolewa kwenye majukwaa ya kampeni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…