Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Sio hongo, mimi bado ni Rais, natangaza tenda ya barabara za mjini Itigi KM 10

Hii tume ni kituko, haina uwezo hats kidogo wa kumdhibiti jpm.Anavunja kanuni, sheria apendavyo
 
Anyway; wacha raia wafaidi ingawa ni pigo kwa ambao hawajashika dola
 
Asante Mh Rais JPM, mzalendo wa kweli mpenda maendeleo. TZ umeifanya imara umeleta maendeleo yanaonekana, umeboresha mifumo mbalimbali iliyokua inalegalega. watanzania tunakuamini tunakupa miaka mitano mingine uzidi kuiboresha nchi. JPM 2020
 
Tunataka barabara sio ahadi
Halafu nyie si hamtakagi mabarabaraπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Huyu mzee keshapoteana dadeki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

CCM mko wapi jamani??? Mzee anawavua nguo huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Anavunja sheria za uchaguzi waziwazi
Watu wasifanyiwe maendeleo kisa sheria zako za kipuuzi kwani uliambiwa magufuli amestaafu urais au yupo likizo?
 

A dictator in action without reasoning. What when it fires back against him in the court of law?
 
Nawakumbusha tena JPM bado ni Rais wa TZ mpaka muda huu tunavyochat hapa, ana uwezo wa kutekeleza jambo lolote la maendeleo muda wowote.
 
Huyu mzee keshapoteana dadeki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

CCM mko wapi jamani??? Mzee anawavua nguo hukuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Anavunja sheria za uchaguzi waziwazi


and you can do nothing about it, lofa
 
Hii tume ni kituko, haina uwezo hats kidogo wa kumdhibiti jpm.Anavunja kanuni, sheria apendavyo
Chadema mmekuwa wapumbavu ndo maana mbowe amekuwa ni ndugu mtazamaji tuu , yani watu wanafanyiwa maendeleo mnakuja kubwabwaja kama vile rais kawabaka.
 
Hata kama ni nje ya utaratibu lakini umuhimu wa siasa za upinzani ndiyo kama huu.

Hii nchi ina fedha, hawa watawala bila ya kuwekwa kwenye presha hawawezi leta maendeleo.
 
Kampen zikianza hatakiwi kufnya hivi na sheria
JPM bado ni Rais mpaka muda huu ana mamlaka ya kufanya jambo lolote la maendeleo kwa taifa, so kutangaza hiyo tenda ya barabara amefanya kama Rais na si mgombea. Tambua JPM mpaka muda huu ana kofia mbili 1. Rais wa TZ 2. Mgombea, so lazima ujue kutofautisha position zake hizi. Sawa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…