Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Uchaguzi huu ndio utaamua kama tuendelee au tusiendelee na Muungano

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mgombea urais wa JMT, Dkt. Magufuli amesema watanzania wawe makini wanapopiga kura kwani uchaguzi huu ndio utaamua kuendelea kuwepo kwa Muungano au kuvunjika.

Chanzo: Wasafi tv

Maendeleo hayana vyama!
 
How?
Nani kamwambia hayo?
Hizo hofu zinatokea wapi?
Huu ni uchaguzi ili kupata viongozi, muungano ni suala la kikatiba linalohitaji uamuzi wa pande mbili kutoka kwa wananchi.

Sasa sijajua logic yake ni ipi haswa?
 
Chadema na ACT wazalendo wanaamini katika serikali 3!
 
How?
Nani kamwambia hayo?
Hizo hofu zinatokea wapi?
Huu ni uchaguzi ili kupata viongozi, muungano ni suala la kikatiba linalohitaji uamuzi wa pande mbili kutoka kwa wananchi.

Sasa sijajua logic yake ni ipi haswa?

Yeye anaona kwamba Wazenji wakimchagua Seif basi muugano ndiyo baibai, na yeye kisha apa kwamba atalinda muungano kwa gharama yoyote, anadhani muungano ni tunu kutoka kwa Mungu.
 
Mgombea urais wa JMT Dr Magufuli amesema watanzania wawe makini wanapopiga kura kwani uchaguzi huu ndio utaamua kuendelea kuwepo kwa Muungano au kuvunjika.

Source: Wasafi tv

Maendeleo hayana vyama!
Fake news
 
Muungano ni tunu!
 
Mgombea urais wa JMT Dr Magufuli amesema watanzania wawe makini wanapopiga kura kwani uchaguzi huu ndio utaamua kuendelea kuwepo kwa Muungano au kuvunjika.

Source: Wasafi tv

Maendeleo hayana vyama!
Hakuna wa kuvunja muungano. Ahadi ya Chadema ni kuboresha muungano kwa kuweka serikali 3
 
Mgombea urais wa JMT Dr Magufuli amesema watanzania wawe makini wanapopiga kura kwani uchaguzi huu ndio utaamua kuendelea kuwepo kwa Muungano au kuvunjika.

Source: Wasafi tv

Maendeleo hayana vyama!

Ikitokea Magufuli akashinda huku Tanganyika na Maalim Seifu akashinda kule Zanzibar Magufuli atavunja Muungano hawezi kufanya kazi na Maalim Seif wa ACT. Hii ndiyo tafasiri ya hiyo kauli ya Magufuli.

Na kiufupi Magufuli anajua Seifu atashinda na hajakuwa na uhakika kama wataweza kumpora tena ushindi wake maana yeye mwenyewe Magufuli hana uhakika wa kushinda kihalali.
 
Hatuvunji muungano bali tunauboresha hasa kwa ukandazwaji uliopo kwa ndugu zetu wa Zanzibar.

Rasimu ya Tume ya Jaji Warioba itaanza kufanya kazi ilipoishia immediately Tais Lissu akishaapishwa!!

Watanzania mwanga huo waja. ....kumeshakucha !! Tupeni mashuka!!
 
Ikitokea Magufuli akashinda huku Tanganyika na Maalim Seifu akashinda kule Zanzibar Magufuli atavunja Muungano hawezi kufanya kazi na Maalim Seif wa ACT. Hii ndiyo tafasiri ya hiyo kauli ya Magufuli.

Na kiufupi Magufuli anajua Seifu atashinda na hajakuwa na uhakika kama wataweza kumpora tena ushindi wake maana yeye mwenyewe Magufuli hana uhakika wa kushinda kihalali.
Bara Magufuli hashindi....
 
Mgombea urais wa JMT Dr Magufuli amesema watanzania wawe makini wanapopiga kura kwani uchaguzi huu ndio utaamua kuendelea kuwepo kwa Muungano au kuvunjika.

Source: Wasafi tv

Maendeleo hayana vyama!
Muungano upi?

Uchaguzi huu ndio utamua ikiwa zanzibar iendelee kuwa colony la Tanganyika au iwe nchi huru.
 
Huu ndio uchaguzi utakaoamua ikiwa zanzibar iendelee kuwa Colony la Tanganyika au irudishe uhuru wake ilioupoteza mwaka 1964 kwa njama za muungano.
 
Back
Top Bottom