Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
magufuli mwenyewe hata muungano haujui,naye anasikia tu kama mimi
Huo ni muungano wa Godfathers katika harakati zao zao umafia , bila ya kuwepo muungano huo , wizi wao haufanyiki. Mkapa alijinyakulia ardhi zaidi ya ekari 60 000 za watu kule Morogoro.
Mwinyi hivyo hivyo amenyakuwa ardhi za watu zaidi ya ekari 60 000 huko Morogoro na huku Zanzibar hivyo hivyo amenyakuwa ardhi za watu. Magufuli hivyo hivyo huko Tanga amenyakuwa .
Bila Muungano madudu yao hayawezi kufichika na ndio wakawa wanapigania muungano uwepo kufa kupona wapate kulindana na kulinda mali zao