johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hofu imeshatanda.Mgombea urais wa JMT Dr Magufuli amesema watanzania wawe makini wanapopiga kura kwani uchaguzi huu ndio utaamua kuendelea kuwepo kwa Muungano au kuvunjika.
Source: Wasafi tv
Maendeleo hayana vyama!
Chadema na ACT wazalendo wanaamini katika serikali 3!How?
Nani kamwambia hayo?
Hizo hofu zinatokea wapi?
Huu ni uchaguzi ili kupata viongozi, muungano ni suala la kikatiba linalohitaji uamuzi wa pande mbili kutoka kwa wananchi.
Sasa sijajua logic yake ni ipi haswa?
How?
Nani kamwambia hayo?
Hizo hofu zinatokea wapi?
Huu ni uchaguzi ili kupata viongozi, muungano ni suala la kikatiba linalohitaji uamuzi wa pande mbili kutoka kwa wananchi.
Sasa sijajua logic yake ni ipi haswa?
Fake newsMgombea urais wa JMT Dr Magufuli amesema watanzania wawe makini wanapopiga kura kwani uchaguzi huu ndio utaamua kuendelea kuwepo kwa Muungano au kuvunjika.
Source: Wasafi tv
Maendeleo hayana vyama!
Muungano ni tunu!Yeye anaona kwamba Wazenji wakimchagua Seif basi muugano ndiyo baibai, na yeye kisha apa kwamba atalinda muungano kwa gharama yoyote, anadhani muungano ni tunu kutoka kwa Mungu.
Hakuna wa kuvunja muungano. Ahadi ya Chadema ni kuboresha muungano kwa kuweka serikali 3Mgombea urais wa JMT Dr Magufuli amesema watanzania wawe makini wanapopiga kura kwani uchaguzi huu ndio utaamua kuendelea kuwepo kwa Muungano au kuvunjika.
Source: Wasafi tv
Maendeleo hayana vyama!
Mgombea urais wa JMT Dr Magufuli amesema watanzania wawe makini wanapopiga kura kwani uchaguzi huu ndio utaamua kuendelea kuwepo kwa Muungano au kuvunjika.
Source: Wasafi tv
Maendeleo hayana vyama!
Bara Magufuli hashindi....Ikitokea Magufuli akashinda huku Tanganyika na Maalim Seifu akashinda kule Zanzibar Magufuli atavunja Muungano hawezi kufanya kazi na Maalim Seif wa ACT. Hii ndiyo tafasiri ya hiyo kauli ya Magufuli.
Na kiufupi Magufuli anajua Seifu atashinda na hajakuwa na uhakika kama wataweza kumpora tena ushindi wake maana yeye mwenyewe Magufuli hana uhakika wa kushinda kihalali.
Muungano upi?Mgombea urais wa JMT Dr Magufuli amesema watanzania wawe makini wanapopiga kura kwani uchaguzi huu ndio utaamua kuendelea kuwepo kwa Muungano au kuvunjika.
Source: Wasafi tv
Maendeleo hayana vyama!
Ole Gunnar Out! He must go. Samahani lakini
5 tayariAhaaaa ahaaaa, mpaka sasa ni 4-1. Manjesta shughuli wanayo.
Sawa sasa ulitaka watu wote waamini mnavyoamini CCMChadema na ACT wazalendo wanaamini katika serikali 3!