magufuli mwenyewe hata muungano haujui,naye anasikia tu kama mimi
Kwa mara ya kwanza magufuli anasema ukweli maana ACT wakishinda hakuna muungano tena kila Nchi itajitegemea Wazanzibar waliopo Tanganyika watasalia Tanganyika na kuwa Raia wa Tanganyika utaundwa muungano wa kisasa kama ule wa UK kila Taifa kuwa huru na mambo yakeHii kauli inanena makubwa sana.
Tumaini linapofifia katika jambo ulilotia imani , kauli za namna hii lazima zisikike.
Seif zenji, lissu BaraMgombea urais wa JMT, Dkt. Magufuli amesema watanzania wawe makini wanapopiga kura kwani uchaguzi huu ndio utaamua kuendelea kuwepo kwa Muungano au kuvunjika.
Chanzo: Wasafi tv
Maendeleo hayana vyama!
Ana Cheti Cha kuzaliwa?Zanzibar ni ya Maalim Seif na Tanganyika ni ya Tundu Lissu.
Magufuli aangalie tu namna ya kuishi vizuri akishaenda kijijini kwake chato.
Watatumia mfumo wa muungano wa farume za kiaraabu kila taifa kuwa na uhuru wa mambo yake siyo kuingiliana kama hapo awaliSeif zenji, lissu Bara
Tuliwaambia tupitishe Katiba ya serikali 3 wakang'ang'ana na maslahi ya kakikundi kadogo
Ona Sasa wamechanganyikiwa
Lisu alishasema chadema hawana maslahi na Zanzibar!Chadema na ACT wazalendo wanaamini katika serikali 3!
Lisu kasema hawana maslahi na Zanzibar,Hakuna wa kuvunja muungano. Ahadi ya Chadema ni kuboresha muungano kwa kuweka serikali 3
Hawana maslahi na uchaguzi kwa sababu ana amini mgombea wao hawezi kushindana na kushinda! Au wewe ulielewaje kilaza wa lumumba?Lisu kasema hawana maslahi na Zanzibar,
Unaichukuliaje hii kauli.?
Uchaguzi huu utaamua kama tunahitaji maendeleo chini ya udikteta au tunahitaji maendeleo tukiwa huru kuendelea na maisha mengineKweli Maendeleo hayana Chama.View attachment 1590253
Labda gharama ya damu zenuTutaulinda Muungano kwa gharama yeyote ile.
Mungu ibariki Tanzania.
Ameona isharaHow?
Nani kamwambia hayo?
Hizo hofu zinatokea wapi?
Huu ni uchaguzi ili kupata viongozi, muungano ni suala la kikatiba linalohitaji uamuzi wa pande mbili kutoka kwa wananchi.
Sasa sijajua logic yake ni ipi haswa?
Zanzibar ni ya Maalim Seif na Tanganyika ni ya Tundu Lissu.
Magufuli aangalie tu namna ya kuishi vizuri akishaenda kijijini kwake chato.
Tunu ndio mdudu gani?!Muungano ni tunu!
Haki!Tunu ndio mdudu gani?!
Tangu lini CCM ikajua haki?Haki!