Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Vitambulisho vya Machinga sio lazima, acheni uongo

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Vitambulisho vya Machinga sio lazima, acheni uongo

"....Maendeleo hayana chama...".... mkichagua.... mtajuta....huwezi mpa chakula...mtoto...wa jirani......"
,.. hamjiulizi kwanini lami,.. iliishia jimboni kwa Kagi.... hamna taa za barabarani....
 
Kiukweli huyu Mzee ni kichomi!! Ni pasua kichwa! Mara nyingi kauli zake zinaleta tu mvurugano. Hajabobea kabisa kwenye siasa.

Hakika Mzee Kingunge Ngombale Mwiru (Rip) aliona mbali!!!
 
Kiukweli huyu Mzee ni kichomi!! Ni pasua kichwa! Mara nyingi kauli zake zinaleta tu mvurugano. Hajabobea kabisa kwenye siasa.

Hakika Mzee Kingunge Ngombale Mwiru (Rip) aliona mbali!!!
Umenikumbusha ya Kingunge juu ya huyu john. Shime watanzania tumpige chini huyu mtu. Tutajuta.
 
Kitambulisho Cha machinga wakat kinatoka ilikua sio lazima kwamfano mm nipo na biashara ya samk ambapo ushuru tulikua tunalipa ila ukiwa na kitambulisho haulipi wakikuta hauna kitambulisho unalipa ushuru km kawaida Sasa Jambo km linaoption kwann uamini nilazima?
 
Atanyanyasa watu mpk shetani ashangae

Mungu aepushe mbali. Hatutarajii tena kuona utekaji, mauaji ya kutatanisha, watu kupotelea kusikojulikana, nk kuendelea kushamiri nchini mwetu.
 
Huyu anatabia za Uongo.
Leo utasikia selikali yake imetoa ajila milioni 8.
Viwanda Elfu nane 8

Leo atakwambia hajawahi kwenda ulaya wala nje ya nchi.
Kesho atasema nimezunguka sana ulaya.
CCM wamekurupuka na kutuletea Raisi wa awamu moja mwenye Amnesia
 
Back
Top Bottom