Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Vitambulisho vya Machinga sio lazima, acheni uongo

Ila wakumbuka lakini alipowaagiza wakuu wa mikoa kuuza hizo ID? Hata na kuwapa target za kuuza? Haya lakini sisi si Wadanganyika bana...
 
Wewe una vitambulisho au unafanya biashara gani kwanza.??

Tuulize tunaojua maana na umuhimunwa hivyo vitambulisho usituambie swala la wizi hapa wakati watu kwa mwaka tulikuwa tunaweza lipa hata milioni na kitu lakini saizi tunalipa elfu 20 tu acha ujinga wewe.

Bora tuibiwe tu lakini vitambulisho vimetusaidia
 
It is more than too late. Yaani mtu alishafanya "overwhelming demage" kwa walalahoi waliokuwa wengi, halafu leo ndio anakuja na kauli nyepesi namna hiyo! One term president, inatosha kwa maumivu uliyokwisha yaleta kwa Watanzania.
Unangalia wapi zimepelekwa hela za vitambulisho. Uliza hao waliokata vitambulisho je? Vinawanufaishaje hapo ndio utapata majibu na umuhim wake wakati huu wa kampeni. La sivyo utakuwa ni mropokaji uliejawa na wivu chuki na uroho na roho mbaya kwa wajasiliamali ambao Sasa wanatembea kifua mbele na vitambulisho vyao. Kwakifupi tu ni kwamba hiyo elfu ishirini wanayolipia ni kama kugalamia utengenezaji wa kile kikadi tu. Kwasababu hata benki ukipewa kikadi chao ni lazima ulipie elfu kumi. Hakuna wizi hapo ni chuki zako tu ndugu.
 
Hela yote wamezitumia kusambaza mapicha yao kila kona.

Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Una ushahidi nyau wewe.
Au unataka kutufananisha na saccos zenu hizo za kina Chiba hahhahah ambacho kinaombaomba pesa na kura ruzuki.
 
Huyu Magufuli akishinda urais,watanzania wenzangu tujiandae kulia.
Lia kabisa maana amesha shinda hatuwezi kumpa ambaye anatetea uvunjifu wa sheria. He wants Tanzania kuwa lawless society. Yaani wavuvi wavue wanavyotaka, wabadilisha fedha wafanye wanavyotaka, mwaandishi aandike kile anachotaka bila kuzingatia maadili ya taalum, mashoga wawe huru kufanya wanayotaka, wafugaji wakachunge mifugo kwenye hifadhi, wafanyabiashara wakwepe kodi na kina sheikh Ponda wafanye harakati za kigaidi.
Kwa sera hizi Magufuli ni bora aendelee kuwa Rais hata kwa kura moja...

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
Sema wananchi na sio Ccm mjomba kwanza Ccm tu ndio waliopiga kura hahahahah acha uchawi karaba hapa.
Sema alichaguliwa na wananchi
Wananchi walikuwa wanamtaka Mzee Membe jabali la Siasa Tanzania

CCM kwa jeuri zao na dharau zao wakatuletea Mhutu kutoka Goma zaire
 
Una ushahidi nyau wewe.
Au unataka kutufananisha na saccos zenu hizo za kina Chiba hahhahah ambacho kinaombaomba pesa na kura ruzuki.
Pisi kali una maneno makali njoo nyumbani nikule kama ugari na kachumbari wewe mtoto mwari.


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Kuna mambo yanasikitisha sana...
Ila kuna watu wanataabika kwa sababu hawana hivyo vitambulisho...



Cc: mahondaw
 
It is more than too late. Yaani mtu alishafanya "overwhelming demage" kwa walalahoi waliokuwa wengi, halafu leo ndio anakuja na kauli nyepesi namna hiyo! One term president, inatosha kwa maumivu uliyokwisha yaleta kwa Watanzania.
mbenge Mungu alisikia maombi yako, kweli amekuwa One Term President
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…