Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Vitambulisho vya Machinga sio lazima, acheni uongo

Huyu mzee Hana haya, juzi juzi bi mkubwa kanipigia simu mtendaji wa Kijiji kaja na sungusungu kumkamata kwamba Hana kitambulisho cha magufuri. Nikamuuliza kwani unafanya bihashara gani? Akajibu jioni watu kijijin wanakusanyika kwangu kuangalia taarifa ya habari na mpira, kwa vile na yeye ni ccm nikamwambia mliyataka wenyewe. Bahati nzuri mtoto wake wa kike akamtumia iyo elfu 20, lakini Mimi nilitaka wamsumbue kwanza maana hawa wazazi wetu wanazingua sanaaaaaa!
 
Yaani amesahau wale wakuu wa mikoa na wilaya alivyowalazimisha kuwauzia wamachinga kwa nguvu. Chini ya JK ukandamizaji umezidi tofauti na tulivyodhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…