Ccm ya bashiru imekuwa kama muslim brotherhoodNi wabinafsi sana, halafu wanaongoza kuchana picha za wenzao.Ccm ikiendelea kubaki madarakani itakuwa chama cha kigaidi
Uwe tayari na lile sualaHuyu Magufuli akishinda urais,watanzania wenzangu tujiandae kulia.
Ukinunua dai risiti, ukiuza toa risiti.Yeah, ameyasema hayo muda mfupi uliopita huku akisisitiza elimu itolewe juu ya suala hilo.
Ni katika mfululizo wa kujibu Tundu Lissu.
Nakumbuka kina Ally Hapi walijiapiza kuwa hawajajiandaa kushindwa kumaliza vitambulisho walivyopewa wawakabidhi wafanya biashara ndogo ndogo kwa malipo ya fedha halali shilingi elfu ishirini tu za kitanzania KWA MWAKA.
My take!
Wakuu, kama tutakuwa serious kweli basi hili suala la vitambulisho vinavyolopiwa Tshs. 20000 ni wizi mtupu maana hiyo kodi haina draft yoyote kisheria! Yani hata ukienda mahakamani au bungeni hayo malipo hayatambuliki kisheria! Huu ni wizi wa mchana kweupe.
Mbaya zaidi wala haijuilikani inakoenda, mahesabu yake, ukaguzi wa matumizi yake. Yani ni mambo ya hovyo hovyo tu ya uongozi wa ufalme.
Sijui Bunge la Ndugai tulililipa ili liifanyie nini nchi. Huyu Spika Mungu atakuja kumpa funzo maana hakuwahi kulinda hadhi ya bunge lake!
Havilazimishwi wakati mwezi wa 7 hapa juzi tu nilitishiwa kuwekwa selo miezi sita na faini ya elfu hamsini? Asitufokee wala asituone wajinga
Sasa atakataza hata wabunge kufanya mikutano kwenye majimbo yao. Yaani hizo hotuba zake sitaki kusifikiria zitakavyokuwa.Atakuwa na hasira sio za kawaida. Na hivi ni mwenye visasi, haki tujiandae kweli si utani
Haahaa lissu nooma.
Dah, watu mpo vizuri! Hapa umemaliza mchezo!Kwani hawawezi kufanya biashara bila kitambulisho? Yeye si angeamuru tu machinga wasibugudhiwe bila kuwatoza gharama ya kitambulisho.
haya majizi yakishindwa uchaguzi itakua nifuraha sana kwa wananchi
Duh hata weweHuyu Magufuli akishinda urais,watanzania wenzangu tujiandae kulia.
Na wewe pia,duhAtatukomoa kweli ,ana roho ya visasi
Kila ulimi utakiri!Siku ya mwisho kila goti litapigwa