Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Vitambulisho vya Machinga sio lazima, acheni uongo

Uongo kasema hulazimishwi ukiona huwezi kununua kitambulisho acha mgambo wachukue vitu vyako au usiuze biashara yako.
 
wanajibia kwa kuvizia vizia, huko vichochoroni, na phd zao wakiitwa kwenye mdahalo wanajikausha kama hawasikii vile..
hehehe mdahalo utakuwa kwa lugha yoyote ata kwa kisukuma lissu yuko tayari...
Kweli Lissu anatisha, jamaa hauzi sera tena bali team nzima inafanya kazi ya kujibu hoja za Lissu japo hakuna mwenye ubavu wa kujibizana naye ana kwa ana
 
Mleta mada ndio anajua hilo leo,

Chadema wanachelewa sana kuelewa mambo,

Jambo linafanyika awamu ya nne wanakuja lielewa awamu wa tano,

Hata anayoyafanya sasa Magufuli watakuja muelewa awamu ya sita, mifano ipo mingi ni jambo la kuwavumilia tu hawa wapinzani tulionao kwani wanachelewa kuelewa mambo.
 
kama vle tunajua michango ya wabunge, ruzuku na saaahv wameanza kuchangisha wananchi pesa wanapeleka wap
 
Huoni aibu kushabikia ujinga?
 
TL piga humo humo,vipi kuhusu kupotea watu mbona hajibu?[emoji23][emoji23]


😂 😂 😂 😂
tunasoma bangi zenu aisee, kwan mmesahau kua nyie ndo wachangishaji wakubwa mpaka leo hatujui ruzuku znaenda wap, pesa za wanachama zmeenda wap, na mkaona haitoshi mmeanza changisha wananchi, hatujui pesa mnapeleka wap mjue
 
Huoni aibu kushabikia ujinga?


ivi bado mna imani na lissu? you wanna know who will win this election?
simple, skiliza apa influence ya 2015 ilitoka wap na voters walitoka wap! then do quick calculations for this year
 
Huyu mzee asitufanye sisi wajinga kama ma-ccm anayoyaburuza! Anakataaje wakati huku kwetu maafisa wa halmashauri wanafunga ofisi kwenda kuuza vitambulisho kwa lazima? Hivi nani ana ile clip ya RC wa Kigoma akifokeana na bibi muuza mbogamboga sokoni kuhusu vitambulisho vya machina tuweke hapa? Tena Lissu asipunguze hii kasi aliyoaanza nayo ambomoe kabisa huyu nguchiro mpaka aombepo! Mbona kuna mengi Lissu hataki kuyasema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…