Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Vitambulisho vya Machinga sio lazima, acheni uongo

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Vitambulisho vya Machinga sio lazima, acheni uongo

Hii nchi tumepitia ubatizo wa moto yan
1:Kutoka 2017 aliposema mkaguzi kuwa haoni matumizi ya 1.5T Mpaka leo hatuna hesabu ya serikari na matumizi yake
2: Tukumbuke Deni la Taifa limefika 64Trillion toka 40Trillion alizoziaacha Mhe kikwete
3: Wafanyakazi waliokuwa wamebakiza muda mchache wamedhulumiwa stahiki zao na bado wanataka kudhulumiwa kwa kikokotoo kipya
4: Pesa hiyo ya kipalata haina takwimu ni pesa ngap na hataki kusema
5:Maisha yetu magumu wafanyakazi hawajapewa stahiki zao wala malimbikizo wala kupandishwa mshahara
6: Deal za watu wasiojulikana kutuliza wapinzani wake live and direct
7: Vijana hawana ajir na hataki kusikia hilo wakti nchi yetu baaada sana kuhusi swala la ajir💯
Yako mengi sana Huyu mzee hafai ni mwizi💯🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
 
Utetezi wa Magu umekaa kitoto sana. Hauna chembe yoyote ya mantiki.
Hoja ni kuwa Vitambulisho vya machinga ni vya nini, kwanini havitolewi bure, Pesa ya kuvinunua inakwenda wapi, kwanini kila mwaka mtu avinunue?

Yaani kitambulisho hakina jina wala picha ya muhusika halafu kina expire baada ya mwaka!

Huo ni utapeli wa Ikulu au Ujasiriamali wa mzee Meko.
Mbaya zaidi unanunua bila risiti na wala hatujui hela za vile vitambulisho zilikusanywa na mamlaka gani na zimetumika kwenye nini???

Unaweza kuta hela za vitambulisho ndo hizi zinatumika sasaivi na CCM kwenye kampeni kuwalipa kina Zuchu na kubeba watu wahudhurie mikutano ya Jiwe
 
Huyu Magufuli akishinda urais,watanzania wenzangu tujiandae kulia.

1600746951344.png

apo vp kwann usijiandae mapema majibu unayo
 
Mbaya zaidi unanunua bila risiti na wala hatujui hela za vile vitambulisho zilikusanywa na mamlaka gani na zimetumika kwenye nini???

Unaweza kuta hela za vitambulisho ndo hizi zinatumika sasaivi na CCM kwenye kampeni kuwalipa kina Zuchu na kubeba watu wahudhurie mikutano ya Jiwe

kwani nyie pesa mnazochangisha wananchi tunajua mnapeleka wap? vipi mnazochangisha wananchama wenu? ruzuku je? mbna hazina maelezo mpaka leo, ujue ni pesa za wananchi izo pia
 
kwani nyie pesa mnazochangisha wananchi tunajua mnapeleka wap? vipi mnazochangisha wananchama wenu? ruzuku je? mbna hazina maelezo mpaka leo, ujue ni pesa za wananchi izo pia
Kwani ripoti ya CAG imesema lolote juu ya pesa za michango ya Chadema??? Tuanzie hapo
 
Huyu mzee Hana haya, juzi juzi bi mkubwa kanipigia simu mtendaji wa Kijiji kaja na sungusungu kumkamata kwamba Hana kitambulisho cha magufuri. Nikamuuliza kwani unafanya bihashara gani? Akajibu jioni watu kijijin wanakusanyika kwangu kuangalia taarifa ya habari na mpira, kwa vile na yeye ni ccm nikamwambia mliyataka wenyewe. Bahati nzuri mtoto wake wa kike akamtumia iyo elfu 20, lakini Mimi nilitaka wamsumbue kwanza maana hawa wazazi wetu wanazingua sanaaaaaa!
Raisi hana kosa ila watendaji wake wa chini ndiyo wanamuharibia!!
 
Mleta mada ndio anajua hilo leo,

Chadema wanachelewa sana kuelewa mambo,

Jambo linafanyika awamu ya nne wanakuja lielewa awamu wa tano,

Hata anayoyafanya sasa Magufuli watakuja muelewa awamu ya sita, mifano ipo mingi ni jambo la kuwavumilia tu hawa wapinzani tulionao kwani wanachelewa kuelewa mambo.
Yani bora hata usingejibu, maana umeharibu kabisaaaaa

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Mradi wa vitambulisho vya machinga ulibuniwa ili kuipatia CCM pesa. Pesa hiyo, kwa mwaka huu ndiyo inayotumika kugharamia kampeni za CCM. Kwa hiyo mwaka huu ni machinga ndio waliojwezesha CCM kufanya kampeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm wamechanganyikiwa ,wewe rais usitufanye sisi watanzania wajinga, hadharani unaongea sio lazima, vikao vyenu vya ndani unawaambia ma DC na ma Rc ole wake asiye malizia vitambulisho vyake. Huku chini ma dc wanawalazimisha watu. Sina tu ile clip ya RC nadhani wa mwanza a
 
Huyu mzee Hana haya, juzi juzi bi mkubwa kanipigia simu mtendaji wa Kijiji kaja na sungusungu kumkamata kwamba Hana kitambulisho cha magufuri. Nikamuuliza kwani unafanya bihashara gani? Akajibu jioni watu kijijin wanakusanyika kwangu kuangalia taarifa ya habari na mpira, kwa vile na yeye ni ccm nikamwambia mliyataka wenyewe. Bahati nzuri mtoto wake wa kike akamtumia iyo elfu 20, lakini Mimi nilitaka wamsumbue kwanza maana hawa wazazi wetu wanazingua sanaaaaaa!
Wanazingua ungezaliwa!?

Acha masikhara na kitu "WAZAZI"
Pimbi wewe!
 
Geita,mtaa wa mgusu wamewalizimisha wamajinga na wamama wauza samaki kulipa hela ya kitambulisho pia na kutishia kuwafukugia na kuwafukuza kwenye biashara zao..hakika lissu amemkaba meko mpka basi.
 
Huyu mzee Hana haya, juzi juzi bi mkubwa kanipigia simu mtendaji wa Kijiji kaja na sungusungu kumkamata kwamba Hana kitambulisho cha magufuri. Nikamuuliza kwani unafanya bihashara gani? Akajibu jioni watu kijijin wanakusanyika kwangu kuangalia taarifa ya habari na mpira, kwa vile na yeye ni ccm nikamwambia mliyataka wenyewe. Bahati nzuri mtoto wake wa kike akamtumia iyo elfu 20, lakini Mimi nilitaka wamsumbue kwanza maana hawa wazazi wetu wanazingua sanaaaaaa!
Ukweli ni kwamba watu wananyanyasika sana na hivyo vitambulisho visivyo na hata picha
 
vitambulisho mtu anakata mwenyewe ni Sh 20000'' Dkt John Magufuli, Mgombea urais kwa tiketi ya CCM.
Hapa ndio tunajua kiongozi ni mkweli au sio mkweli, wamachinga wanafuatwa na kuambiwa kama hawana vitambulisho wasionekane maeneo ya biashara halafu anasema sio lazima kweli, aache uongo amezidiwa na sera kumbana kama chupi
 
Back
Top Bottom