The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Mimi ni kamanda ila ninae tumia akili, inatakiwa tutii sheria za nchi.Nyie inzi wa kijani mumezowea kubebwa
Mwana ccm katika ubora wake•Lakini ni waongo na waache uongo… hata sasa unaweza kuja hapa jengo la Mwalimu Nyerere Dar es Salaam, tuko kwenye kikao tunaendelea kupitia hizo rufaa•
•Waache kutusumbua, sasa wao wanapiga kelele tungetoa hizo rufaa haraka hata hao wabunge wao wasingerudi, waache uzandiki, upuuzi na uongo•View attachment 1570397
Kwahiyo nisheria gani iliyotumika kuzuiya mikutano miaka 5Mimi ni kamanda ila ninae tumia akili, inatakiwa tutii sheria za nchi.
Ananini la kusema huyo wakati yy mwenyewe ccm•Lakini ni waongo na waache uongo… hata sasa unaweza kuja hapa jengo la Mwalimu Nyerere Dar es Salaam, tuko kwenye kikao tunaendelea kupitia hizo rufaa•
•Waache kutusumbua, sasa wao wanapiga kelele tungetoa hizo rufaa haraka hata hao wabunge wao wasingerudi, waache uzandiki, upuuzi na uongo•View attachment 1570397
Hilo nimelisema hapa? Nazungumzia hii mada mezani. Tumia ubongo acha papara.Kwahiyo nisheria gani iliyotumika kuzuiya mikutano miaka 5
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Maji ya shingo kwa CCM Sasa NEC mnaanza kuwa beba.... Tulieni dawa iingieMkurugenzi wa Uchaguzi Dkt Charles Mahera amesema kwamba "Kama tume tunaweza kuamua kuwafungia hata kufanya kampeni, wagombea wa vyama ambao kazi yao ni kusambaza matusi na sio sera kwa kuwa sheria ipo na imetaja adhabu, tunatoa rai wabadilike na kuzingatia maadili ya uchaguzi waliyosaini"
''Kama watu walikuwa wamemchagua mtu atatangazwa kama kashinda, hatumtangazi mtu kwa shinikizo la watu, watu wauze sera zao ili wananchi wawachague kwa manufaa yao na si ya watu wa nje'
Dkt. Mahera ameyasema hayo kwenye kikao na watoa huduma ya Habari Mitandaoni leo Sep 15, 2020, ambapo pia amewataka kutumia kalamu na taaluma yao kulinda amani ya nchi kwa kufuata miongozo na taratibu za kutangaza habari za uchaguzi mkuu.
Yeye mwenyewe aonyeshe mfano wa kuwajibika kwa kujiuzulu nafasi aliyonayo kutokana na matamshi yake yanayoonyesha kuegemea CCM,matamshi ambayo yamesambaa katika mitandao ya kijamii.
Its too lateNaona washaanza kumsaidia bwana yule kufanya kampeni.
Mahela unachokitafuta utakipata .Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt Charles Mahera amesema kwamba "Kama tume tunaweza kuamua kuwafungia hata kufanya kampeni, wagombea wa vyama ambao kazi yao ni kusambaza matusi na sio sera kwa kuwa sheria ipo na imetaja adhabu, tunatoa rai wabadilike na kuzingatia maadili ya uchaguzi waliyosaini"
''Kama watu walikuwa wamemchagua mtu atatangazwa kama kashinda, hatumtangazi mtu kwa shinikizo la watu, watu wauze sera zao ili wananchi wawachague kwa manufaa yao na si ya watu wa nje'
Dkt. Mahera ameyasema hayo kwenye kikao na watoa huduma ya Habari Mitandaoni leo Sep 15, 2020, ambapo pia amewataka kutumia kalamu na taaluma yao kulinda amani ya nchi kwa kufuata miongozo na taratibu za kutangaza habari za uchaguzi mkuu.
Halafu Mahela alivyotukanwa na Jerry Murro mbona hakumzuia kuwa DC ?Its too late