GE2025 Dkt. Malisa awafungulia Kesi Rais Samia na IGP Wambura Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) The Hague

GE2025 Dkt. Malisa awafungulia Kesi Rais Samia na IGP Wambura Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) The Hague

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godfrey Malisa, amefungua rasmi kesi Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) iliyoko The Hague, Uholanzi akiwashitaki Rais Samia Suluhu Hassan na Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Camillus Wambura, kwa madai ya uvunjaji wa haki za binadamu, ikijumuisha vitendo vya kutekwa na kuuliwa kwa watu, pamoja na matukio mengine yanayokiuka sheria za kimataifa.

Dkt. Malisa amesema kuwa katika siku 10 zijazo, Rais Samia na IGP Wambura watapata wito rasmi kutoka ICC wa kuitwa kujibu mashitaka ya jinai.

Ikumbukwe Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma, Agosti 22, 2025, ilitupilia mbali shauri lililofunguliwa na Mchungaji Dkt. Godfrey Malisa aliyepinga uhalali wa Samia na mgombea mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Soma pia
 
Uhalisia ni kwamba kifo cha Jemedari Magufuli, hakina uhusiano wowote na Samia wala Kikwete; hawahusiki.

Waliomuondoa Magufuli ni deep state, kwa ukaidi wake wa kuzuia chanjo.

Kwa masakitiko kama mfuasi wake baada ya kuanza kujiona mungu mtu na kutaka kuwaamulia watu maamuzi yao ya kuchanja kwa imani yake; he had to go (wewe sio mungu).

Similarly kutolewa kwa Samia itakuwa ni kutokana na uwezo wake mdogo wa kuendesha nchi, ambao umezua ufisadi, utekaji na mauaji ya raia wengi wanyonge kupindukia (hili la mauaji ndio linakera zaidi).

Piga ua ni lazima wamtoe, hilo wala halina ubishi.
 
Safi sana naandaa ushahidi wa mauaji ya kibiti yaliyompa aijipi cheo cha juu wakati ni la saba tu na uwezo wake haujai hata bakuli la uji, nautuma siku chache zijazo! Nilikuwa huko wakati haya yanatokea na nilipoteza ndugu na jamaa wengi sana
 
Uhalisia ni kwamba kifo cha Jemedari Magufuli, hakina uhusiano wowote na Samia wala Kikwete; hawahusiki.

Waliomundoa Magufuli ni deep state, kwa ukaidi wake wa kuzuia chanjo.

Kwa masakitiko kama mfuasi wake baada ya kuanza kujiona mungu mtu na kutaka kuwaamulia watu maamuzi yao chanjo kwa imani yake; he had to go

Similarly kutolewa kwa Samia itakuwa ni kutokana na uwezo wake mdogo wa kuendesha nchi, ambao umezua ufisadi, utekaji na mauaji ya raia wanyonge kupindukia (hili la mauaji ndio linakora zaidi).

Piga ua ni lazima wamtoe, hilo wala halina ubishi.
Deep state kivipi? Wanafaidika vipi na hiyo chanjo? Acheni hizo, Samia ni wa ovyo kupindukia, siyo uwezo mdogo tu wa kuendesha nchi. Hana elimu ya kutosha na hana haiba ya uongozi.
 
Back
Top Bottom