Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 4,476
- 9,583
Kama bado yupo nchini awe makini
Akipotea ndo itakuwa mbaya sana. Ndo ICC itakuwa na evidence live
Kama bado yupo nchini awe makini
Kunaanza kupambazuka!....
Lakini kwa sasa Tanzania hakuna raisi, hii kesi ingefunguliwa mapema kabla ya kampeni
Uwezekano ni mkubwa sana.sasa si yatamkuta ya Polepole?
deep state hao huwa wakina nani tuache story za vijiweni kuna Mambo yapo sasa deep state wangekuepo yasingekuepo Achana na masuala ya Deep stateUhalisia ni kwamba kifo cha Jemedari Magufuli, hakina uhusiano wowote na Samia wala Kikwete; hawahusiki.
Waliomuondoa Magufuli ni deep state, kwa ukaidi wake wa kuzuia chanjo.
Kwa masakitiko kama mfuasi wake baada ya kuanza kujiona mungu mtu na kutaka kuwaamulia watu maamuzi yao ya kuchanja kwa imani yake; he had to go (wewe sio mungu).
Similarly kutolewa kwa Samia itakuwa ni kutokana na uwezo wake mdogo wa kuendesha nchi, ambao umezua ufisadi, utekaji na mauaji ya raia wengi wanyonge kupindukia (hili la mauaji ndio linakera zaidi).
Piga ua ni lazima wamtoe, hilo wala halina ubishi.
Haha 😂 Leo umejitahidi ku comments bila kuegemea upande wowote, swali la Msingi hoa DS watatekeleza missions bila vitendea KAZI ie personal's.Uhalisia ni kwamba kifo cha Jemedari Magufuli, hakina uhusiano wowote na Samia wala Kikwete; hawahusiki.
Waliomuondoa Magufuli ni deep state, kwa ukaidi wake wa kuzuia chanjo.
Kwa masakitiko kama mfuasi wake baada ya kuanza kujiona mungu mtu na kutaka kuwaamulia watu maamuzi yao ya kuchanja kwa imani yake; he had to go (wewe sio mungu).
Similarly kutolewa kwa Samia itakuwa ni kutokana na uwezo wake mdogo wa kuendesha nchi, ambao umezua ufisadi, utekaji na mauaji ya raia wengi wanyonge kupindukia (hili la mauaji ndio linakera zaidi).
Piga ua ni lazima wamtoe, hilo wala halina ubishi.
Hayadeep state hao huwa wakina nani tuache story za vijiweni kuna Mambo yapo sasa deep state wangekuepo yasingekuepo Achana na masuala ya Deep state
Pole Sana Kwa kuondokewa na ndugu, kuna watu TZ weledi wao ni wa hovyo Sana, sijui inakuwaje Hadi wanapanda Hadi kuwa wakuu wa vyombo vya ulinzi. Kuna mengi hatuyajui.Safi sana naandaa ushahidi wa mauaji ya kibiti yaliyompa aijipi cheo cha juu wakati ni la saba tu na uwezo wake haujai hata bakuli la uji, nautuma siku chache zijazo! Nilikuwa huko wakati haya yanatokea na nilipoteza ndugu na jamaa wengi sana
Atapotea mapema tuu.....watekaji wapo kaziniAliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godfrey Malisa, amefungua rasmi kesi Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) iliyoko The Hague, Uholanzi akiwashitaki Rais Samia Suluhu Hassan na Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Camillus Wambura, kwa madai ya uvunjaji wa haki za binadamu, ikijumuisha vitendo vya kutekwa na kuuliwa kwa watu, pamoja na matukio mengine yanayokiuka sheria za kimataifa.
Dkt. Malisa amesema kuwa katika siku 10 zijazo, Rais Samia na IGP Wambura watapata wito rasmi kutoka ICC wa kuitwa kujibu mashitaka ya jinai.
Ikumbukwe Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma, Agosti 22, 2025, ilitupilia mbali shauri lililofunguliwa na Mchungaji Dkt. Godfrey Malisa aliyepinga uhalali wa Samia na mgombea mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Soma pia
Sasa we dhani kama unaweza badilisha maafisa usalama watatu kirahisi (na idara ikachukulia poa).Haha 😂 Leo umejitahidi ku comments bila kuegemea upande wowote, swali la Msingi hoa DS watatekeleza missions bila vitendea KAZI ie personal's.
Kunaanza kupambazuka!....
Lakini kwa sasa Tanzania hakuna raisi, hii kesi ingefunguliwa mapema kabla ya kampeni
Muda wote nchi inakuwa chini ya Rais.Kunaanza kupambazuka!....
Lakini kwa sasa Tanzania hakuna raisi, hii kesi ingefunguliwa mapema kabla ya kampeni
Umesahau kitu kimoja Bashar Askari wake walivua nguo za jeshi na kumsaliti Rais wao,Asad former president wa Syria alifunguliwa kesi kama hiyo miaka 12 iliyopita mpk leo hajafanywa chochote.
Al Bashir, former president wa Sudan alifunguliwa kesi kama hiyo miaka 10 iliyopita na hati ya kumkamata ikatolewa , lkn mpk leo hajakamatwa.
Netanyahu kishajadiliwa mpk Baraza la usalama la Umoja wa kimataifa lkn mpk leo anaendelea kuwashenyenta watu wa Gaza.
Dawa ya Samia ni uMadagascar na kumTraore tu.
Hujamsikia yeye Samia akisema yeye ndo Amiri Jeshi Mkuu hakuna wa kuleta fujo ?
Alikuwa kwenye kampeni sasa amiri jeshi mkuu si ndo Rais, unasemaje hatuna Rais?
HAPA UMEMALIZA.(hili la mauaji ndio linakera zaidi).