GE2025 Dkt. Malisa awafungulia Kesi Rais Samia na IGP Wambura Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) The Hague

GE2025 Dkt. Malisa awafungulia Kesi Rais Samia na IGP Wambura Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) The Hague

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tajiri asiyetaka kushindwa, aliyepata ukwasi na kumiliki usafiri wa helicopter pia magari ya kifahari n.k Bw.Jean Pierre Bemba naye aliwahi kukumbana na mashtaka ICC na kuhukumiwa miaka 18 jela


View: https://m.youtube.com/watch?v=HPWPQdTtYqE

Aliyekuwa makamu wa rais wa DR Congo alipatikana na hatia kwa kushiriki katika kampeni ya ubakaji na mauaji katika Jamhuri ya Afrika ya Kati kuanzia 2002-03.

Hukumu yake ya miaka 18 jela baadaye ilitenguliwa baada ya kushinda rufaani aliyofungua
 
BREAKING NEWS

12 October 2025

Dr. Malisa files case against Tanzanian President Samia Suluhu Hassan and police head IGP Wambura at the International Criminal Court (ICC) in The Hague​

A member of the Revolutionary Party (CCM), Dr. Godfrey Malisa, has officially filed a case at the International Criminal Court (ICC) in The Hague, Netherlands, accusing the Tanzania leader, President Samia Suluhu Hassan and the Inspector -General of Police, IGP Camillus Wambura, of human rights violations, including kidnapping and killings, as well as other incidents that violate international law.

Dr. Malisa said that in the next 10 days, President Samia Suluhu Hassan and IGP Wambura will receive an official summons from the ICC an international court in the Hague to answer criminal charges.


View: https://m.youtube.com/watch?v=8WKgEg81Z28

Dr. Malisa files complaint in The Hague, naming President Samia and IGP Wambura. Watch the video See full analysis (in your chosen language spanish, English etc by clicking auto -translate on setting button on youtube )of this move and its implications for politics and justice in Tanzania.
 
Wababe wa kuumiza watu Sudan

06 October 2025

Judges at the International Criminal Court in The Hague are delivering their judgement in a landmark war crimes trial linked to Sudan’s Darfur conflict. The case centres on an alleged Janjaweed militia leader accused of committing atrocities. This is the ICC’s first judgement addressing crimes committed in Darfur...

View: https://m.youtube.com/watch?v=R7AK59eziuk
 
TESTIMONY:
Edgar Edson Mwakabela telling the whole story


View: https://m.youtube.com/watch?v=5GhS9HSzdrw
Edgar Edson Mwakabela says his life is in danger just days after he was kidnapped, tortured and narrowly escaped death after being shot in the head.

In an exclusive footage obtained by Mwazo TV, Mwakabela said he is still receiving threats from people who say they are not done with him yet.

He has blamed the police force for everything he is going through and has now said he is not ready to cooperate with the police
 
Without concrete evidence, nothing will be done. Unless international level disparagement and defamation was the trick.

Kuna askari wapelelezi wanasheria wa kimataifa wanaofanya doria mtandaoni na kuona ushahidi kibao wa ukatili wa vyombo vilivyo chini ya amiri jeshi mkuu

Pia wahanga waliokumbana na dhahama za mkono katili wa chuma wapo wa kutoa ushahidi wa makovu n.k kuisaidia mahakama ya ICC The Hague kuwa na uwezo wa kuandika chargesheet isiyokuwa na matobo inayowabana watuhumiwa moja kwa moja kwa mtiririko ya matukio pasi na kuacha nafasi ya shaka huku wakipata picha kamili ya matendo ya ukatili yalivyifanyika
 
Nchi haiwezi kukaa bila rais kamwe...ndo maana rais anakufa muda huu hayapiti masaa kaapishwa mwingine. Kwa sasa rais ni samia hata kama atashindwa uchaguzi ni mpaka atakapoapishwa rais mwingine hiyo November.
USA ukaa bila raisi kwa miezi kadhaa, inategemea na katiba yenu tu
 
... AFADHALI huyu amefungua kesi, kilichobaki ni ushahidi na kujiandaa kupambana na mawakili wa watuhumiwa mahakamani!
😅
NB: hivi Kuna anayejua fidia ya kimataifa kwa kumzushia mtu mambo ya ulongo na kumtweza utu wake?
 
USA ukaa bila raisi kwa miezi kadhaa, inategemea na katiba yenu tu
Mh, sio kweli mkuu. Nchi haiwezi ikakaa bila rais. Hiyo miezi kadhaa inakuwa ya kukabidhiana madaraka kati ya serikali iliyopo na ile iliyochaguliwa.
 
Uhalisia ni kwamba kifo cha Jemedari Magufuli, hakina uhusiano wowote na Samia wala Kikwete; hawahusiki.

Waliomuondoa Magufuli ni deep state, kwa ukaidi wake wa kuzuia chanjo.

Kwa masakitiko kama mfuasi wake baada ya kuanza kujiona mungu mtu na kutaka kuwaamulia watu maamuzi yao ya kuchanja kwa imani yake; he had to go (wewe sio mungu).

Similarly kutolewa kwa Samia itakuwa ni kutokana na uwezo wake mdogo wa kuendesha nchi, ambao umezua ufisadi, utekaji na mauaji ya raia wengi wanyonge kupindukia (hili la mauaji ndio linakera zaidi).

Piga ua ni lazima wamtoe, hilo wala halina ubishi.
Nani kakudanganya Tanzania kuna Deep state??
 
Mh, sio kweli mkuu. Nchi haiwezi ikakaa bila rais. Hiyo miezi kadhaa inakuwa ya kukabidhiana madaraka kati ya serikali iliyopo na ile iliyochaguliwa.

democrasia...

Alafu mwaka wa 2014, Rais Uhuru Kenyatta, kabla kuenda kwa kesi ya ICC kule Hague, alijiondoa madarakani kwa wiki moja na ndani ya hio wiki moja, Naibu wake Ruto alikua ndo rais wa nchi.... Kwahivyo haya mambo so mageni kwetu... Kunawezekana kukawa na tension flani lakini mwisho wa siku katiba itafatwa
-----------



Uhuru's ICC shocker as Ruto gets power to act
www.standardmedia.co.ke
www.standardmedia.co.ke
Uhuru left Harambee House with only three vehicles. Security chiefs and top Government officials were holed up in the Office of the President briefing acting President Ruto on national matters. Uhuru leaves for The Hague today.

At around 6.10pm, Ruto left Harambee House in the presidential motorcade complete with police outriders, privileges he has hitherto never enjoyed.


The President told legislators he had decided to invoke Article 147 of the Constitution to name Ruto as acting Head of State so as to separate the person of Uhuru Kenyatta as an individual and Uhuru Kenyatta the President.

Article 147(3) of the Constitution of Kenya spells out that when the President is absent or temporarily incapacitated, and during any other period that the President decides, the Deputy President shall act as the President.

"Let it not be said that I'm attending the status conference as the President of Kenya. Nothing warrants my being in court. I will go to The Hague on Wednesday, not as President of Kenya. I invoke Article 147 by appointing Deputy President William Ruto acting President of Kenya," he said.

The President further explained to MPs that the decision to hand power to his deputy was meant to ensure that the sovereignty and democratic will of Kenyans would not be subjected to a foreign jurisdiction.

"I have chosen not to put the sovereignty of this nation on trial. I received notice to attend a status conference at the ICC. This is not a time for us to be tense, it is time for us to be proud of the democracy we have built," he said.

He assured Kenyans that his presence in court would not in any way "injure the person of a President", adding that his decision to attend the status conference in The Hague should not raise confusion and anxiety but instead make Kenyans proud of the democracy they have built, and the law-abiding country Kenya has become.

"So, to all those who are concerned that my personal attendance of the status conference compromises the sovereignty of our people, or sets a precedent for the attendance of presidents before the court, be reassured, this is not the case."

By transferring power to his deputy, the President sought to free himself to honour his obligations to the ICC, appease his African Union counterparts who are opposed to a sitting President being paraded in the dock and give momentum to his defence team's legal fight with chief prosecutor Fatou Bensouda
 
Sasa we dhani kama unaweza badilisha maafisa usalama watatu kirahisi (na idara ikachukulia poa).

Halafu uweke mtu wako kwa malengo ya kuharibu, nchi. Udhani usalama wa taifa hovyo wameridhia hizo dharau.

Sio muda sijui length ila before 2030 ndio utajua Captain Tesha ni nani; na kama sakata la Imran Kombe ilikuwa bahati mbaya.
Hakuna unachojua, Kojoa ulale
 
TOKA MAKTABA :
6 Oktoba 2014


RAIS UHURU KENYATTA - WAHESHIMIWA NACHUKUA HATUA HII YA KIHISTORIA, KUKAIMISHA MADARAKA YA URAIS KWA MH. RUTO ILI NIENDE ICC THE HAGUE UHOLANZI KUJITETEA

View: https://m.youtube.com/shorts/ITgd_NJ_ulY
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ataelekea katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu huko Hague, Uholanzi kuheshimu wito kuhusu madai yake ya kuhusika katika kuandaa ghasia za baada ya uchaguzi wa 2007. Rais Kenyatta alitoa tangazo hilo katika kikao maalum cha pamoja katika Bunge la Kitaifa la Kenya na Seneti. Pia alimteua naibu wake William Ruto kukaimu kama Rais akiwa hayupo. Hii hapa ripoti ya Chris Ocamringa. Kwa habari zaidi tembelea


View: https://m.youtube.com/watch?v=D8Odn8ne-SQ
 
TOKA MAKTABA
8 Oktoba 2014

Kuwasili kwa mheshimiwa Rais. Uhuru Kenyatta katika mahakama ya ICC huko The Hague (Okt. 8, 2014)

View: https://m.youtube.com/watch?v=TBvoKy1LG74

Mh. Uhuru Kenyatta akiwasili katika Mahakama ya ICC mjini The Hague, tarehe 8 Oktoba 2014 kufuatia wito wa mahakama hiyo ya kimataifa kumtaka afike
 
Deep state kivipi? Wanafaidika vipi na hiyo chanjo? Acheni hizo, Samia ni wa ovyo kupindukia, siyo uwezo mdogo tu wa kuendesha nchi. Hana elimu ya kutosha na hana haiba ya uongozi.

kwani huyo baba yenu Nyerere alikuwa na elimu gani zaidi ya kuwaletea mwenge ??
 
Zamani nikiwa sehemu fulani niliwahi kufuatilia barua yangu fulani kufika kwenye hiyo ofisi wakaniambia barua imetoka na mtu wa masijala akatoa taarifa kwangu kabla barua kufika kwa walengwa. Nikajua maombi yangu hayajakubaliwa.

Nikarudi kwetu nikaongea na mtu wa masijala nikaiteka ile barua juu kwa juu kabla haijafika kwa wafanya maamuzi.

Huu mfano wangu hauhusiani na hii issue ya Dr Malisa ya kupeleka barua The Hague na kutangaza kabla ya barua kufika.
 
Without concrete evidence, nothing will be done. Unless international level disparagement and defamation was the trick.
Mmauaaji,utekaji,kauli,maagizo,hata ya juzi kuushughulikia mashabiki zake menyewe walioenda kuujaza uwanja wa kampeni,kushindwa kutoa japo kauli juu ya uuwqaji na. Utelaji,kama,kifo ni kifo,katiba ni kakijitabu mkipiga huku tunashinda kule.shahidi zipo kama zote ,ila ajabu na kweli watahongwa hata yale mataifa makubwa ili mashitaka yasisomwe kwa watajwa kwa gharama ya kuuzaa taifa letu.!
 
Back
Top Bottom