Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Safi kabisa, ila kwa upande wangu nafikiri hatukupaswa kuwashitaki, ilitupasa tuwateke na kuwafyekelea mbali kwa miko yetu wenyewe.
Wanasemaga kuti la mazoea ndio linamdondoshaga mgema.Aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godfrey Malisa, amefungua rasmi kesi Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) iliyoko The Hague, Uholanzi akiwashitaki Rais Samia Suluhu Hassan na Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Camillus Wambura, kwa madai ya uvunjaji wa haki za binadamu, ikijumuisha vitendo vya kutekwa na kuuliwa kwa watu, pamoja na matukio mengine yanayokiuka sheria za kimataifa.
Dkt. Malisa amesema kuwa katika siku 10 zijazo, Rais Samia na IGP Wambura watapata wito rasmi kutoka ICC wa kuitwa kujibu mashitaka ya jinai.
Ikumbukwe Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma, Agosti 22, 2025, ilitupilia mbali shauri lililofunguliwa na Mchungaji Dkt. Godfrey Malisa aliyepinga uhalali wa Samia na mgombea mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Soma pia
Kuna namna wameshika vizuri mabeberu wakikosea wataenda the Hague ni vile tu hawajawazingua mabeberu, kumbuka hata Netanyahu kashaitwa the Hague lakini so far hakuna kilichofanyikaAmna kitu wakina Mseveni na Kagame wangekua wamefungwa au sio wanachama ICC huwa ni Wahuni
Mzee Malisa afanye homework yake vizuri juu ya namna ICC inavyofanya kazi zake.Aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godfrey Malisa, amefungua rasmi kesi Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) iliyoko The Hague, Uholanzi akiwashitaki Rais Samia Suluhu Hassan na Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Camillus Wambura, kwa madai ya uvunjaji wa haki za binadamu, ikijumuisha vitendo vya kutekwa na kuuliwa kwa watu, pamoja na matukio mengine yanayokiuka sheria za kimataifa.
Dkt. Malisa amesema kuwa katika siku 10 zijazo, Rais Samia na IGP Wambura watapata wito rasmi kutoka ICC wa kuitwa kujibu mashitaka ya jinai.
Ikumbukwe Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma, Agosti 22, 2025, ilitupilia mbali shauri lililofunguliwa na Mchungaji Dkt. Godfrey Malisa aliyepinga uhalali wa Samia na mgombea mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Soma pia
Muambie asafiri kwenda nchi wanachama wa ICC uone kazi. Atakamatwa na kufikishwa mahakamani kujibu mashitaka yanayomkabili. Kimsingi, huyo hana tena uhuru wa kusafiri atakavyo!Asad former president wa Syria alifunguliwa kesi kama hiyo miaka 12 iliyopita mpk leo hajafanywa chochote.
Al Bashir, former president wa Sudan alifunguliwa kesi kama hiyo miaka 10 iliyopita na hati ya kumkamata ikatolewa , lkn mpk leo hajakamatwa.
Netanyahu kishajadiliwa mpk Baraza la usalama la Umoja wa kimataifa lkn mpk leo anaendelea kuwashenyenta watu wa Gaza.
Dawa ya Samia ni uMadagascar na kumTraore tu.
Anaongea tu hakijamlamba badoHujamsikia yeye Samia akisema yeye ndo Amiri Jeshi Mkuu hakuna wa kuleta fujo ?
Alikuwa kwenye kampeni sasa amiri jeshi mkuu si ndo Rais, unasemaje hatuna Rais?
KabisaKama bado yupo nchini awe makini
Tajiri asiyetaka kushindwa, aliyepata ukwasi na kumiliki usafiri wa helicopter pia magari ya kifahari n.k Bw.Jean Pierre Bemba naye aliwahi kukumbana na mashtaka ICC na kuhukumiwa miaka 18 jela
View: https://m.youtube.com/watch?v=HPWPQdTtYqE
Aliyekuwa makamu wa rais wa DR Congo alipatikana na hatia kwa kushiriki katika kampeni ya ubakaji na mauaji katika Jamhuri ya Afrika ya Kati kuanzia 2002-03.
Hukumu yake ya miaka 18 jela baadaye ilitenguliwa baada ya kushinda rufaani aliyofungua
Wamtoe nani sasa? Deep state au?Uhalisia ni kwamba kifo cha Jemedari Magufuli, hakina uhusiano wowote na Samia wala Kikwete; hawahusiki.
Waliomuondoa Magufuli ni deep state, kwa ukaidi wake wa kuzuia chanjo.
Kwa masakitiko kama mfuasi wake baada ya kuanza kujiona mungu mtu na kutaka kuwaamulia watu maamuzi yao ya kuchanja kwa imani yake; he had to go (wewe sio mungu).
Similarly kutolewa kwa Samia itakuwa ni kutokana na uwezo wake mdogo wa kuendesha nchi, ambao umezua ufisadi, utekaji na mauaji ya raia wengi wanyonge kupindukia (hili la mauaji ndio linakera zaidi).
Piga ua ni lazima wamtoe, hilo wala halina ubishi.
Bagamoyo juzi ulileta makala ya Rais wa Madagascar kuwa ana urai la wa France aisee leo naona maandamano yamechachamaa kaenda kujifucha ktk ubalozi wa ufaransa.
Mambo yametimia, imebidi akimbilie hukoBagamoyo juzi ulileta makala ya Rais wa Madagascar kuwa ana urai la wa France aisee leo naona maandamano yamechachamaa kaenda kujifucha ktk ubalozi wa ufaransa.
His decision to keep this information secret was obviously driven by his desire to run in the election, something he should not have been allowed to do, seeing as Article 46 of the Malagasy Constitution states that all candidates for the presidential election must be Malagasy nationals.
Conflict of interest
It is further worth noting that France, with full knowledge of Rajoelina’s citizenship, sent observers to the 2023 elections. The organisation, Internationale de la Francophonie, mounted an electoral assessment mission for the 2023 presidential election and issued a public report in June 2025 illustrating ongoing French-speaking institutional oversight and support to electoral processes.
The conflict of interest here seems obvious: a former colonial power observing the election of its former colony in which the prime candidate is one of its own citizens.
Rajoelina is no stranger to controversy. In 2009, he took power through a military-supported coup d’état, ousting the then President Marc Ravalomanana. The coup threw the country into a political crisis and ultimately led to the signing of the historic SADC-mediated “Roadmap for Ending the Crisis in Madagascar” in September 2011.
In essence, the roadmap is an agreement initiated by SADC laying the road to peace in Madagascar and addressing the question of elections. It provided recommendations to support progress towards long-term peace and stability.
Rajoelina and Ravalomanana were, as part of the agreement, prevented from contesting the 2013 elections. At the time, the African Union stated in a press conference that “perpetrators of unconstitutional change of government cannot participate in the elections organised to restore democratic order. The (Peace and Security) Council stressed that the AU (would) not recognise the Malagasy authorities which would be elected in violation of the relevant AU and SADC decisions.”
The 2013 elections went ahead relatively smoothly, but Rajoelina and Ravalomanana returned to face off in the 2018 elections, which Rajoelina won despite widespread allegations of fraud and election rigging.
Breach of AU charter
His unconstitutional ousting of Ravalomanana put him in breach of the African Union Charter on Democracy, Elections and Governance, which, if applied by the AU and/or SADC, would have prevented his assuming the presidency.
Despite the AU’s strong views on the legitimacy of Rajoelina’s presidency following the coup, and in the run-up to the 2013 elections, there is no reporting indicating that they took issue with his re-appointment in the most recent two elections.
Their initial condemnation of a president who took power through an “unconstitutional change of government” is irreconcilable with their seemingly silent acquiescence to his re-appointment and continued stay in office.
Nor is there any indication that they take issue with the revelation that he is legally no longer a Malagasy citizen and, therefore, in terms of the country’s own constitution, ineligible for the position of president.
A similar silence echoes within SADC: all recent reports indicate that SADC acknowledges Rajoelina’s presidency and has, if not expressly, then at least tacitly, ratified his election through its actions, most notably the decision to not only proceed with the SADC Summit of Heads of State in Madagascar, but also elect Rajoelina as chairperson of SADC.
On a continent that still faces the legacies of colonialism, it is mindboggling that our institutions and leaders are accepting what is, in effect, a pseudo-colonial leader as chairperson of one of our most significant political organs.
Why does it matter?
First and foremost, from a legal and policy perspective, Rajoelina is an unconstitutional president. This cannot be disputed, even if Madagascar’s own High Constitutional Court declared that it is “not competent to say and judge whether Rajoelina Andry Nirina has lost Madagascar nationality”.
The court’s refusal to deal with at least two cases concerning Rajoelina’s citizenship (and, in effect, fraud) only shows that the judiciary has been captured.
Second, if the continent’s strongest institutions cannot enforce their own regulations, what legitimacy does the organisation and its leadership hold?
In an instance such as Rajoelina’s illegal coup, the AU is empowered to condemn and impose certain sanctions, such as the temporary suspension of the country from participating in the policy organs of the AU.
Importantly, the AU stipulates that persons taking part in unconstitutional changes of government cannot participate in subsequent elections to restore constitutional order. Rajoelina acceded to the pressure and stood back from the 2013 election (which was an election to restore constitutional order), but the fact that he was allowed to run for a second and third term (despite restrictions in Madagascar’s constitution limiting presidential terms to two) begs the question: who will hold our leaders accountable?
There are reports that Rajoelina is seeking to amend the Malagasy constitution to allow him to run for another term. If he could succeed in his bid for the presidency of Madagascar as a French citizen, who is to stop him from amending the constitution? This compromises the legitimacy and stability of democracy on the entire continent.
French influence in Africa
Third, there is the problem of President Emmanuel Macron and French influence in Africa.
One example of how French influence is already (or still) negatively impacting Madagascar can be seen in Rajoelina’s handling of the so-called Scattered Islands. These five islands are nature preserves covering a total land area of 43km2, and each comes with an exclusive economic zone, giving the governing country rights to resources in more than 640,000km2 of nearby waters and possible gas reserves.
The islands are scattered through the Mozambique Channel, which is a major transit route for international trade. It is rich in gas and oil and is an important trade route.
However, for Malagasy citizens, the islands hold not only environmental and heritage importance, but also serve as a symbol of France’s continued hold over the country, and calls for total sovereignty have increased. Recently, President Macron and Rajoelina met in Paris to discuss the future of these islands, governed by France, but claimed by Madagascar since the island nation’s independence from France in the 1970s.
While the outcome of these talks has not yet been publicised, it serves as evidence of the strong hold France has over Madagascar and may call into question Rajoelina’s interests as a French citizen.
There has also been ample reporting on President Macron’s April 2025 visit to Madagascar (the first French diplomatic visit to Madagascar in more than 20 years) during which several agreements and memoranda of understanding were signed regarding French investment in and support for Malagasy energy infrastructure, agriculture and education.
The reporting does not, however, indicate what France gets in return for its support. Perhaps continued control over a few islands?
In Madagascar, there’s a saying, “tenim-bazaha tsy miverina indroa”, which roughly translates to “a white man never gives his word twice”. The saying indicates a refusal to repeat oneself, but it carries a deep-seated scepticism toward foreign (colonial) powers and the promises they make.
As a French citizen at the head of an African state and one of the continent’s most influential regulatory bodies, it is crucial to ask: whose interests does Rajoelina protect? DM
Daily Maverick did offer the AU an opportunity to respond. They did not do so despite being given a week, we will add their comment should they opt to do so.
N.B
Nadia Gava is an admitted attorney and Senior Associate at Concentric Alliance, a conflict and dispute resolution practice. She completed her post-graduate LLB studies at the Institute for International Human Rights at Abö Akademi in Finland, and recently graduated from Harvard Law School’s Program on Negotiation.
DM
Raia au taasisi wanaweza kuwasilisha taarifa kwa Ofisi ya Mwendesha Mashtaka (DPP wa mambele), lakini si kufungua kesi moja kwa moja.Hivi individual anaweza kufungua kesi au kureport tu?
Kwa kuongezea Tanzania imesaini Mkataba wa Roma wa kuanzishwa kwa ICC ila haijaridhia (kuratify) hivyo siyo mwanachama wa ICC. Ukiwa siyo mwanachama wa ICC huwezi kushtakiwa katika Mahakama hiyo.Mzee Malisa afanye homework yake vizuri juu ya namna ICC inavyofanya kazi zake.
Mtu binafsi hawezi kufungua case ICC directly. Anachoweza ni kuwasiliana na Office of The Prosecutor (Office ya Mwendesha Mashitaka wa ICC) ili kuwasilisha kwao ushahidi alionao.
Baada ya ICC Prosecutor kupokea ushahidi na kushawishika kufanya investigation zaidi, atafanya hivyo. Uamuzi wa whether or not to file a case (prosecutorial discretion) ni wa ICC Prosecutor.
ICC Prosecutor akiamua kutokungua mashitaka, Mzee Malisa hana locus standi ya kuyafungua hayo mashitaka.
Akisema swala la usalama wake amemuachia Mungu baaasi Mafwele si muda atapita naye.Sitoshangaa kusikia na huyu Mzee wamemteka.
Ndio kina Nani hao deep state ?Waliomuondoa Magufuli ni deep state, kwa ukaidi wake wa kuzuia chanjo.