GE2025 Dkt. Malisa awafungulia Kesi Rais Samia na IGP Wambura Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) The Hague

GE2025 Dkt. Malisa awafungulia Kesi Rais Samia na IGP Wambura Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) The Hague

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa kuongezea Tanzania imesaini Mkataba wa Roma wa kuanzishwa kwa ICC ila haijaridhia (kuratify) hivyo siyo mwanachama wa ICC. Ukiwa siyo mwanachama wa ICC huwezi kushtakiwa katika Mahakama hiyo.
Hakiki vyanzo vyako upya

Kutoka website ya ICC wameorodhesha nchi wanachama kutoka Afrika ambao wapo chini ya ICC pamoja na tarehe walizojaza huo mkataba. Sisi tuliingia 20 August 2002

Hapa nimekuwekea full
1760297068875.png
 
Kwa kuongezea Tanzania imesaini Mkataba wa Roma wa kuanzishwa kwa ICC ila haijaridhia (kuratify) hivyo siyo mwanachama wa ICC. Ukiwa siyo mwanachama wa ICC huwezi kushtakiwa katika Mahakama hiyo.
  • Signed: December 29, 2000
  • Ratified: August 20, 2002
 
Walivyokua hawana akili wanaweza kupita nae juu juu kama kipanga anavyo pita na kuku
 
nimemuwazia sana huyu mzee siku za hivi karibuni kutokana na ukimya wake, nilidhani samia na mwanae walishamteka. nafarijika kumuona bado yupo salama na mwenye energy ya kutosha
 
Hakiki vyanzo vyako upya

Kutoka website ya ICC wameorodhesha nchi wanachama kutoka Afrika ambao wapo chini ya ICC pamoja na tarehe walizojaza huo mkataba. Sisi tuliingia 20 August 2002

Hapa nimekuwekea full View attachment 3487716

Wanajaribu kujinasua kutoka ICC lakini ndiyo hivyo wamesahau kuwa hawakusoma ule mkataba neno kwa neno na uvivu wa kusoma sasa wamenasa si Nassoro Katuga wala Ofisi ya Wakili mkuu wa Tanzania inaweza kuwanasua kutoka katika ukatili walioufanya huku walitia saina mkataba wa Rome wa ICC The Hague

TOKA MAKTABA :

12 Machi 2025
Manila, Philippines

Mahakama ya Juu ya Philippines inakataa ombi dhidi ya Raisi wa zamani. Duterte kukamatwa | ANC

View: https://m.youtube.com/watch?v=APTIWcAyVU8

Mahakama ya Juu ya Ufilipino inakataa ombi lililotaka kuzuia kukamatwa kwa rais wa zamani Duterte..
 
Kule hata wapeleke kina Katuga na DPP hawatoboi

Na venyewe hoja zao ni za kitoto usikute wakapinga ushahidi uliokusanywa wakisema "Mheshimiwa Jaji hizo video na picha ni AI"
 
Tena ili kuwafikia kwa urahisi kuwafanya hao ICC wapate attention waharakishe ingependekezwa kufanyike petition ya wadau kuongeza nguvu kuwa tag, waweke mawasiliano yao eidha page za social media watu waanze kuwatumia baadhi ya ushahidi kupitia DM na kwenye kila post ambayo imeripoti ishu ya utekaji tuwatag.

Hili likifanyika kwa nguvu wataona kweli kuna kitu hakipo sawa ebu tuizingatie hii kesi tu explorer mengine ambayo hatujayajua.

TLS huu ndio ulikuwa muda wao wa kutumia ile report yao sasa.
 
Dr. Malisa amefuata njia ya raia wa the Philippines waliomfuangulia kesi rais wao mstaafu.
Hata raia wa The Philippines hawakufungua kesi wenyewe ICC. Walipeleka ushahidi wao kwa ICC Prosecutor. Prosecutor aliposhawishika alichukua hatua stahiki.
Anaongea tu hakijamlamba bado

Huo uamiri jeshi ni huku kwetu, kwa wenzetu kule ni mjumbe wa nyumba 10

Unafikiri kwanini waliswekwa kwenye coaster siku ile?

View attachment 3487673
Jamaa nyuso zao zimejaa haya. Chura Kiziwi alitaka hata kufunika uso wake kwa mkono!😁
 
Hata raia wa The Philippines hawakufungua kesi wenyewe ICC. Walipeleka ushahidi wao kwa ICC Prosecutor. Prosecutor aliposhawishika alichukua hatua stahiki.

Jamaa nyuso zao zimejaa haya. Chura Kiziwi alitaka hata kufunika uso wake kwa mkono!😁
Ccm walivyo kwasasa lazima Watamteka.
 
Hivi individual anaweza kufungua kesi au kureport tu?
Individual hawezi kufungua case. They can only submit "information" and ICC Prosecutor ndo ataamua kama Kuna case.

Icc jurisdiction ipo kwenye 1. Genocide 2. Crime against humanity 3. Crimes of aggression 4. War crimes.

Ukiangalia vizuri hapo ni kama Malisa hajawasiliana na lawyer wake.
 
Kama ni kweli basi Mwenyezi Mungu amjalie afya na uzima tele huyo Dr. Malisa kwa kusimamia na kutetea haki za wananch kwa vitendo.
Na kwa mchango wake huo muhimu sana na wakati sahihi kabisa, utakumbukwa daima katika historia ya nchi hii.

Samia na huyo nguruwe wake IGP watakuwa ni watu wa kwanza kabisa toka Tanzania kushtakiwa katika mahakama hiyo.

Na la muhimu zaidi; ni wakati sahih kabisa kwa vile tunaelekea kwenye kilele cha ukombozi wa nchi hii. Oktoba 29 wakitumia polisi kuwaumiza waTanzania, kesi itazidi kuwa na nguvu zaidi.
 
Individual hawezi kufungua case. They can only submit "information" and ICC Prosecutor ndo ataamua kama Kuna case.

Icc jurisdiction ipo kwenye 1. Genocide 2. Crime against humanity 3. Crimes of aggression 4. War crimes.

Ukiangalia vizuri hapo ni kama Malisa hajawasiliana na lawyer wake.
Whatever it may be, attention to what is happening here has been raised; and focus will be kept on what follows in the future especially as we approach October 29, and thereafter.
 
Piga ua ni lazima wamtoe, hilo wala halina ubishi.
Watu wameshikilia buyu la asali; halafu mtu kama wewe usiyejuwa lolote unakuja kujivimbisha humu!

Lakini naomba unisome tofauti kidogo. Maelezo yako mengine leo yamenyooka vya kutosha. Naona hizi ni siku njema zako ndani ya mwezi.
Magufuli ni Uviko tu, hakuna jambo jingine llolote; lakini hiyo haiondoi uwezekano wa Samia na Kikwete kuwa tayari walikuwa wamemweka kwenye mipango yao; iliyo timizwa na Uviko.
 
Safi sana naandaa ushahidi wa mauaji ya kibiti yaliyompa aijipi cheo cha juu wakati ni la saba tu na uwezo wake haujai hata bakuli la uji, nautuma siku chache zijazo! Nilikuwa huko wakati haya yanatokea na nilipoteza ndugu na jamaa wengi sana

Aisee
 
Mambo yametimia, imebidi akimbilie huko

TOKA MAKTABA :

Mambo ni mengi : makala hii kwa wasomaji wafahamu sababu kibao za GenZ Madagascar kuona wanasalitiwa

Opinionista​

We have a European citizen as head of SADC – and no one seems to care​

By Nadia Gava

25 September 2025

On 17 August 2025, the 45th SADC Heads of State Summit and Government took place in Antananarivo, Madagascar. The summit elected Andry Rajoelina, President of Madagascar, as Chairperson of SADC. He’ll hold this rotating position for the next year, after which South Africa’s Cyril Ramaphosa will take over.

View attachment 3487695
Photo : Andry Rajoelina, President of Madagascar, and Chairperson of SADC.

Rajoelina’s appointment is significant because of one shocking fact all SADC heads of state seem to conveniently forget: he is a French citizen. To be clear, he doesn’t hold dual citizenship of France and Madagascar; he is solely a French citizen. To be even clearer, we currently have a European citizen at the helm of SADC. And no one seems to care.

According to Article 42 of the Malagasy Nationality Code, a Malagasy citizen who voluntarily acquires a foreign nationality loses their Malagasy citizenship.

In 2023, shortly before the Malagasy national elections, a media frenzy broke out when it was revealed that Rajoelina had obtained French citizenship as far back as 2014, a fact he wilfully concealed. Madagascar was a French colony from 1896 to 1960. READ MORE :

Bagamoyo,
I humbly, invite you and everyone to cast your eyes on Uganda there is something more than what seem on the surfaces. The next general election of Uganda in 2026 Museven may be voted out. I don't know I say this but BoBy Wines campaign has accumulated all the grassroots behind him. Museven should act very keenly.
 
Back
Top Bottom