Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hujamsikia yeye Samia akisema yeye ndo Amiri Jeshi Mkuu hakuna wa kuleta fujo ?Kunaanza kupambazuka!....
Lakini kwa sasa Tanzania hakuna raisi, hii kesi ingefunguliwa mapema kabla ya kampeni
Ukishapewa hiyo Samansi, watakudaka tu, Kumbuka Charles Taylor, na mbio zote akadakwa.Hujamsikia yeye Samia akisema yeye ndo Amiri Jeshi Mkuu hakuna wa kuleta fujo ?
Alikuwa kwenye kampeni sasa amiri jeshi mkuu si ndo Rais, unasemaje hatuna Rais?
Deep state kivipi? Wanafaidika vipi na hiyo chanjo? Acheni hizo, Samia ni wa ovyo kupindukia, siyo uwezo mdogo tu wa kuendesha nchi. Hana elimu ya kutosha na hana haiba ya uongozi.Uhalisia ni kwamba kifo cha Jemedari Magufuli, hakina uhusiano wowote na Samia wala Kikwete; hawahusiki.
Waliomundoa Magufuli ni deep state, kwa ukaidi wake wa kuzuia chanjo.
Kwa masakitiko kama mfuasi wake baada ya kuanza kujiona mungu mtu na kutaka kuwaamulia watu maamuzi yao chanjo kwa imani yake; he had to go
Similarly kutolewa kwa Samia itakuwa ni kutokana na uwezo wake mdogo wa kuendesha nchi, ambao umezua ufisadi, utekaji na mauaji ya raia wanyonge kupindukia (hili la mauaji ndio linakora zaidi).
Piga ua ni lazima wamtoe, hilo wala halina ubishi.
kwani yupo wapi?Sitoshangaa kusikia na huyu Mzee wamemteka.
Sitoshangaa kusikia kuwa yuko Tanzaniakwani yupo wapi?
sasa si yatamkuta ya Polepole?Sitoshangaa kusikia kuwa yuko Tanzania