PostGE2025 Dkt. Malisa: Rais Samia ajiuzulu kabla ya Disemba 9 au Akabili Maandamano makubwa ambayo hayajawahitokea Barani Afrika

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Katika video aliyo-post kwenye chaneli yake ya YouTube, aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godfrey Malisa ameeleza maazimio ya Kamati ya Kitaifa ya Kurejesha Haki na Amani katika Nchi Yetu (Tanzania) baada ya kutangaza kuundwa kwa kamati hiyo siku chache zilizopita. Amesema kuwa Watanzania wanataka serikali ya mpito, baada ya kikao kikubwa kilichofanyika Dar es Salaam na wengine kushiriki kwa njia ya mtandao, na kwamba msimamo wa kamati ndiyo msimamo wa Watanzania wengi sasa.

"Kamati imeagiza kabla ya kufika Disemba 9, Rais Samia uwe umekisha kukabidhi madaraka kwa kamati ya mpito. Kama hilo halitatekelezwa, na hili halina mjadala, bila step down kabla ya tarehe 9, au mambo yafuatayo yanakwenda kujitokeza uking’ang’ania kuwa madarakani, utambue kwamba sasa hivi tunavyozungumza vyombo vya ulinzi na usalama baadhi yao wamo kwenye ndani ya hii kamati na wanaunga mkono kauli hizi tunazozitoa."

"Sasa kama utang’ang’ania madaraka, itakapofika tarehe 9 Disemba kutakuwa na maandamano ambayo hajawahi kutokea katika bara la Afrika. Maandamano yatakayotokea tarehe 9, sijui wewe utakimbilia wapi?"

Maandamano hayajawahi kuwa mbinu salama ya kupata mabadiliko!!

Spinning ndio njia nzuri.plus check and balance za kimedani ndio zitasaidia kupata mageuzi nchini!!

Bado naamini idara haijawa corrupted kiasi Cha maandamano.kiwa the best way ya mageuzi nchini!!

Jpm aliingia Kwa mfumo huo huo kama samiah na Bado tuliamini idara inaweza ku neutralize hali kipindi Hali ya inch ikiwa hivi ilivyo sasa!

Kwanini.tusiiachie idara ifanye smooth transition kama kipindi kile Cha 2020 Hadi march 2021!!?

Kuandamana hapana,tuta destabilize Kila kitu tulichokikenga kwa miaka mingi!!

Mnisikie wajameni!
 
Muda sio rafiki.
 
Noted... nimekuelewa vizuri sana mashaka ya sasa ni kuwa kwenye system "inner circle" Kuna athari kubwa za sychophants angalia tu leakage ya sensitive information ilivyo utaona
 
Maandamano hayajawahi kuwa mbinu salama ya kupata mabadiliko!!

Spinning ndio njia nzuri.plus check and balance za kimedani ndio zitasaidia kupata mageuzi nchini!!

Bado naamini idara haijawa corrupted kiasi Cha maandamano.kiwa the best way ya mageuzi nchini!!

Jpm aliingia Kwa mfumo huo huo kama samiah na Bado tuliamini idara inaweza ku neutralize hali kipindi Hali ya inch ikiwa hivi ilivyo sasa!

Kwanini.tusiiachie idara ifanye smooth transition kama kipindi kile Cha 2020 Hadi march 2021!!?

Kuandamana hapana,tuta destabilize Kila kitu tulichokikenga kwa miaka mingi!!

Mnisikie wajameni!
Huu ushauri Kaa nao mwenyewe. Watanganyika wameamua kama huyu Samia hataki kuachia madaraka basi watamtoa atake asitake Kwa lazima.
 
Hii statement inaonesha "Gen-Z" wanatumika kama chambo tu.
Ninukuliwe hivi; "nyuma ya kila kitu kuna kila kitu".
Watu wa CCM huwa mnachekesha. Ninyi kwenu kila anayewapinga ni anatumika. Mmeua maelfu ya watu, mnanuka rushwa, mnateka kila kukicha, halafu watu wakipandwa na hasira juu ya mambo haya ni wanatumika? Shida kweli
 
Hii statement inaonesha "Gen-Z" wanatumika kama chambo tu.
Ninukuliwe hivi; "nyuma ya kila kitu kuna kila kitu".

Maandamano hayajawahi kuwa mbinu salama ya kupata mabadiliko!!

Spinning ndio njia nzuri.plus check and balance za kimedani ndio zitasaidia kupata mageuzi nchini!!

Bado naamini idara haijawa corrupted kiasi Cha maandamano.kiwa the best way ya mageuzi nchini!!

Jpm aliingia Kwa mfumo huo huo kama samiah na Bado tuliamini idara inaweza ku neutralize hali kipindi Hali ya inch ikiwa hivi ilivyo sasa!

Kwanini.tusiiachie idara ifanye smooth transition kama kipindi kile Cha 2020 Hadi march 2021!!?

Kuandamana hapana,tuta destabilize Kila kitu tulichokikenga kwa miaka mingi!!

Mnisikie wajameni!
Wana wanaona hiyo smooth transition mnaichelewesha sana.
 
Mkuu idara Iko corrupted kwa kiwango kikubwa, mpaka cdf kulalamika sio jambo la kitoto ujue,

Wazalendo wanaofanya kazi kubwa ya kukusanya taarifa, alafu zinaemfikia sio mtanzania na kama akiwa mtanzania ni mwana mtandao.

So solution nini , kuchimbua shina na mizizi yake kwa nguvu kubwa
 
Maandamano hayajawahi kuwa mbinu salama ya kupata mabadiliko!!

Spinning ndio njia nzuri.plus check and balance za kimedani ndio zitasaidia kupata mageuzi nchini!!

Bado naamini idara haijawa corrupted kiasi Cha maandamano.kiwa the best way ya mageuzi nchini!!

Jpm aliingia Kwa mfumo huo huo kama samiah na Bado tuliamini idara inaweza ku neutralize hali kipindi Hali ya inch ikiwa hivi ilivyo sasa!

Kwanini.tusiiachie idara ifanye smooth transition kama kipindi kile Cha 2020 Hadi march 2021!!?

Kuandamana hapana,tuta destabilize Kila kitu tulichokikenga kwa miaka mingi!!

Mnisikie wajameni!
Mawazo ya kipumbavu . Unashindwa hata kuelewa kwanini katiba inaruhusu maandamano? Haitakiwi hiyo system na bibi yenu. HATUWATAKI.
 
Maandamano hayajawahi kuwa mbinu salama ya kupata mabadiliko!!

Spinning ndio njia nzuri.plus check and balance za kimedani ndio zitasaidia kupata mageuzi nchini!!

Bado naamini idara haijawa corrupted kiasi Cha maandamano.kiwa the best way ya mageuzi nchini!!

Jpm aliingia Kwa mfumo huo huo kama samiah na Bado tuliamini idara inaweza ku neutralize hali kipindi Hali ya inch ikiwa hivi ilivyo sasa!

Kwanini.tusiiachie idara ifanye smooth transition kama kipindi kile Cha 2020 Hadi march 2021!!?

Kuandamana hapana,tuta destabilize Kila kitu tulichokikenga kwa miaka mingi!!

Mnisikie wajameni!
Rudia kusoma ulichokiandika
 
Napingana na wewe mkuu kwa dhana kuwa CCM walijipanga kuvuruga uchaguzi huku wakijua kuwa watanganyika ni wajinga,watavuruga na baadae watawaomba waje kwenye maridhiano hewa.

Sasa kama jamii kubwa haikubali maridhiano,ni Bora huyu mzanzibar ambaye ndo anaonekana kikwazo akae pembeni,kaua watanganyika maelfu kwa maelfu harafu watu wakae kimya,is it possible!?

Naunga maandamano kama njia ya kumtoa Samia madarakani,na yeye kujibakiza madarakani aandae jeshi lake kutuua
 
Watu wa CCM huwa mnachekesha. Ninyi kwenu kila anayewapinga ni anatumika. Mmeua maelfu ya watu, mnanuka rushwa, mnateka kila kukicha, halafu watu wakipandwa na hasira juu ya mambo haya ni wanatumika? Shida kweli
Sio wao Mkuu bali ni HOFU kuu ndani yao!
 
Back
Top Bottom